Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Mazingira ya siasa za Marekani yamekuwa ya mgawanyiko mkubwa sana(polarized) katika mstari wa vyama viwili kiasi kwamba hata katika matukio ambayo mwanasiasa angeweza kuvuna kura za huruma tu kama hili la kushambuliwa kwa Trump inakuwa vigumu sana kwa jambo hilo.

Tayari inaonekana kundi kubwa la Wamarekani wakikebehi tukio zima kama igizo fulani tu(staged), hivyo ni sahihi kusema mshale wa siasa za uchaguzi hautabadilika sana kuelekea November
 
Wa hivyo hawakosekani mkuu, we hujawahi kusikia watu wanasema 2pac ali fake kifo?
Kama ilikuwa staged imekuwaje yule muuaji kauwawa?
 
Hawawezi kumshinda kwa kura!

Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.

Sasa wanataka kumuua!

Democraps.
Nyani umekosa credibility sana; linapokuja swala la Trump unaandika vitu pumba sana.
(1) Uchaguzi haujafanyika, wewe umejuaje kuwa ameshinda kura?
(2) Kesi zote alizonazo sababu zake zinajulikiana kabisa. Ungekuwa ni wewe umefanya makosa aliyofanya sasa hivi ungekuwa jela.
(3) Marekani chini ya 2nd Ammendment ni nchi violent sana. Hakuna siku imepita bila watu kurusha risasi. Siku zote viongozi wa republican hutuambia kuwa gun violence ni sababu ya mental health. Sasa wewe kabla hata hujamjua shooter ni nani na motive yake ilikuwa ni nini, umeanza kutoa lawama za kisiasa.

Unaamini siasa za republicans vibaya; wao wenyewe viongozi wa republicans pamoja na kampeini ya trump hawajasema shooting hiyo ni politically motivated wewe unaleta hapa maneno kama mtu asiyekuwa na ubongo.
 
Hawawezi kumshinda kwa kura!

Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.

Sasa wanataka kumuua!

Democraps.
Democrats walimshinda kwa kura mwaka 2020. Hiyo sio hoja. La msingi zaidi ni kusubiri majibu ya uchunguzi.

Shambulio linachunguzwa kama assassination attempt. Which is obvious ukizingatia mazingira ya tukio lenyewe.

Hata hivyo, hili tukio kwa kiasi kikubwa linaweza kuathiri public opinion in favor of Trump kwenye uchaguzi ujao.
 
Sasa Kama walimshinda kwa kura hiyo 2020 hizo lawfare zote za nini?
 
... kumbe siko peke yangu @Lethergo!
🤡
 
Ila akili za watu wengine bana!

Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?

Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
 
WADAU WANAJIULIZA
Watu waovu Wamejaribu kumuondoa katika mbio za uchaguzi, wamemchafua ktk media zote, wamejaribu kumfunga jela lakini mikakati hiyo yote ikafeli, na sasa wamejaribu kuondoa uhai wake Donald Trump ...

Kwanini marais chama cha Republican ndiyo wanawindwa sana historia inaonesha Theodore Roosevelt, Ronald Reagan na sasa Donald Trump wote wa Rwpublican ....


View: https://m.youtube.com/watch?v=oAFOFOLVOPg
TOKA MAKTABA:

Theodore Roosevelt apona kwa miujiza kufuatia shambulizi


At about 8:10 p.m., standing just feet from Roosevelt, Schrank raised his gun, took aim, and fired. The bullet penetrated Roosevelt’s heavy overcoat and ripped through the right side of his chest. Inside the breast pocket were two items that absorbed the impact and undoubtedly saved Roosevelt’s life. The first was a thick fifty-page speech manuscript folded in half. Behind that was a metal eyeglass case in which Roosevelt kept his spectacles. ..... Read more: source: https://blogs.loc.gov/headlinesandh...ms-that-saved-the-life-of-theodore-roosevelt/


Ronald Reagan naye anusurika
Mlinzi asimukia A-Z katika siku hiyo walifanya majukumu yao vipi

View: https://m.youtube.com/watch?v=31Q52_rc2IA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…