Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Assassins wa siku hizi ni wajinga wajinga hasa... nilishangaa ishu ya Sativa kushindw kudedishwa. Hata huko USA pia sniper kashindwa kumdondosha mtu ambaye alikuwa hana movement yoyote ile.. (Static position).

Ok umemkosa, na watu (Walinzi) wamekuja kufanya Covering. Why usitumie heavy guns kupenetrate bullet from one body to another..?

Inasifika USA wana highend tools why mlio wa risasi usikike? Hakuna stealth mechanism iliyotumika (kiwambo)?

Or ni warning tu hawakutaka kumuua?
 
Wanasema ukifanikiwa kusikia mlio wa risasi basi ujue umepona, ime kukosa.

Usipo sikia chochote kwisha habari yako.
 
Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Alikutukana!? Kuambiwa ukweli siku hizi Ni matusi
 
Nafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Uko sahihi, sniper Tena USA hawezi kufanya kosa kama hilo kumjeruhi tuu kama lengo lilikuwa kumuua.
N kama ilivyotokea kwa Lissu ilikuwa n kupewa ujumbe tuu na sio kuuawa.
 
Mkuu Nyani Ngabu hizo risasi zilizo makosa Trump mbona hazikuwa umiza watu waliokuwa mkutanoni na ukiangalia alivyokuwa amesimama kwa kugeuka imekuwaje aumie sikio la kulia tu .

USSR
Target Sio kumuua, ila kuna ujumbe alitakiwa kupewa
 
Assassins wa siku hizi ni wajinga wajinga hasa... nilishangaa ishu ya Sativa kushindw kudedishwa. Hata huko USA pia sniper kashindwa kumdondosha mtu ambaye alikuwa hana movement yoyote ile.. (Static position).

Ok umemkosa, na watu (Walinzi) wamekuja kufanya Covering. Why usitumie heavy guns kupenetrate bullet from one body to another..?

Inasifika USA wana highend tools why mlio wa risasi usikike? Hakuna stealth mechanism iliyotumika (kiwambo)?

Or ni warning tu hawakutaka kumuua?
Kwamba shooter alikuwa anaenda vitani mpaka ashike heavy guns, ambazo kwa USA ni prohibited pia.
 
Back
Top Bottom