Marekani hatutakuwa na uwezo wa kumzuia Israel Tena iwapo Iran watashambulia

Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Weka ushahidi solid tuamini ulichoandika, vijana wengu kweye hili la Israel vs Iran mmegubikwa na ushabiki uliokithiri.
 
Hivi we kiongozi uliyeandika Uzi huu unafikiria Nini??

Yaani marekan iwazuie Israel kufanya mashambuliz Iran na wawaruhusu kuyafanya Gaza??

Iran sio kama hao wengine, yaan wale ni viburi wenzao na hawaelew Chcht kama unavofikiria ww
Si ndio hapo sasa? 😂 Yaani Marekani aache kuizuia Israel isishambulie Gaza kuua wasio na hatia ije kuizuia isishambulie Iran?? Sarcasm
 
iran si ajibu tu sisi wanazi tunataka israel afute ayatollah na ushenz wake
 
Uomgo Israel hawawezi na marekani anajaribu kamakawaida yake ya propaganda hata yeye aingie mstari wa mbele kama alivyoingia gaza hataweza
 
Iran hatuongei sana, tunafahamu kuwa Israel hawezi kurusha hata jiwe mbele yetu na vita hii tunapambana na USA kwa kivuli cha Israel tutaichakaza USA ikiwa hapohapo Israel
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Inashangaza Iran haoni hilo wakati mkuu Chitiva uko Mchambiawima na unalijua hilo😂
 
Hivi vichekesho vinarushwa Chanel gani?
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Duh kwahio wewe huku unaekaa mbagala maji matitu umeliona hilo kazi kwelikweli
 
Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
Nanukuu: "Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel".
Ni sawa na Iran inavyovisaidia vikundi vya Hezbollah, HAMAS, Houthi n.k. ili vikundi hivyo vionekane ni wababe wa vita lakini Israel keshaliona hilo.
 
Hahahaa ncheke kwanza.
Hilo tangazo limetoka Tel Aviv kama lilivyo likachapishwa Washington. Hapo Israel inaogopa kichapo kingine kutoka Iran kwa hivyo wanajidai USA katoa onyo. Iran haitishwi na USA wala Israel na kichapo kinakuja
 
Marekani ama Israel, hakuna anayeweza kuingia fullscale war na Iran. Huyu jamaa anamiliki siraha za nuclear NATO na washirika wengine wanalitambua Hilo.
Nani ambaye hamiliki hizo silaha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…