Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.

Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:

​
  • Kasi kubwa (High Speed)​
Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
​
  • Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)​
Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch

Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.

Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè

Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.

CREDIT: WSJ​
 
Iran ipige vituo vya mafuta na nishati ya Umeme kwa nchi za, Bahrain, USA, Kuwait, Jordan, Oman na Saudi Arabia.

Akifanya hivyo, hizo nchi zitamtaka US asepe zake
Sahihi kabisa, anachofanya Iran ni kuidhoofisha Marekani

Hizo bases zinavyozidi kuchakazwa ndivyo Marekani uwepo wake M.E unazidi kuwa mgumu

Na hii itafanya hao vibaraka waanze kuona ulinzi wa Marekani sio guaranteed
 
Wanajeshi wawili kufa sioni shida

Ukiangalia data za wanajeshi wa Marekani waliokuwa wanakufa kwenye vita ya Afghanistan kuanzia Obama mpaka withdrawal 2021, utagudua hakuna jipya
Unafikiri inapopigwa base hasara ni vifo tu vya wanajeshi?

Kwenye hizo kambi kuna silaha zenye thamani ya billions of dollars

Unajua thamani ya Black Hawk helicopters zilizoangamizwa hapo Jordan?
 
Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
 
Iran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?

Kupiga Washington haisaidii kitu, Marekani anaishambulia Iran akitokea bases zake zilizo M.E. Na Iran inatwanga vinu hapohapo M.E

Mbona huwa hamzungumzii uwezo wa Iran kuzichabanga kambi za Mmarekani na hasara wanayopata?
 
Unafikiri inapopigwa base hasara ni vifo tu vya wanajeshi?

Kwenye hizo kambi kuna silaha zenye thamani ya billions of dollars

Unajua thamani ya Black Hawk helicopters zilizoangamizwa hapo Jordan?
We jamaa vipi? Yaani unaumia hasara ya USA kwenye battle field?

USA mwaka huu kapanga defense budget ya almost $1 trillion hadi NATO wenyewe hawaamini hela yote hii America anaenda ifanyia nini.

Black hawk?? Unajua pesa za USAID $40b ambazo Trump alizifuta zinaninua ammunition ngapi????
 
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.

Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:

​
  • Kasi kubwa (High Speed)​
Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
​
  • Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)​
Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch

Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.

Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè

Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.

CREDIT: WSJ​
Story za, maislam shida sana, sasa hii ni nini,
 
Wacha wachapwe tu hao wanaharamu
 
Iran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?

Kupiga Washington haisaidii kitu, Marekani anaishambulia Iran akitokea bases zake zilizo M.E. Na Iran inatwanga vinu hapohapo M.E

Mbona huwa hamzungumzii uwezo wa Iran kuzichabanga kambi za Mmarekani na hasara wanayopata?
Warushe kombora Washington kama ana huo uwezo
Hizo base anazopiga sio silaha ya mwisho ya Marekani
Na Marekani atazirejesha.
Hivi ukisema Iran kashinda vita, kashinda vita kwenye Nini?
Rais wa Iran kauliwa.
Waziri wa Ulinzi Kailuwa
Viongozi wakuu wa majeshi wameuliwa.
Eti Iran anashangilia kupiga base ya USA 🤣
 
Back
Top Bottom