Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

We jamaa vipi? Yaani unaumia hasara ya USA kwenye battle field?
Wanaoumia ni ni walipa kodi wa Marekani

Billions of dollars zinatumika kwenye unnecessary wars and conflicts wakati gharama za maisha, huduma na matengenezo ya miundombinu vinaendelea kuwa changamoto Marekani

Wamarekani wengi wanauliza kama sehemu ya fedha hizo ingeweza kuelekezwa zaidi kwenye kuboresha maisha ya ndani wangekuwa na ustawi mkubwa sana

Nowdays kukuta potholes kwenye highways za NYC imekuwa the new normal
 
USA mwaka huu kapanga defense budget ya almost $1 trillion hadi NATO wenyewe hawaamini hela yote hii America anaenda ifanyia nini.
Kwa akili zako unafikiri hiyo US$ 1 Trilion yote inaenda kwenye vita ya Iran?

Kiasi kikubwa cha bajeti ya ulinzi hakimaanishi ni pesa za kupoteza tu

Kinaenda kwenye teknolojia, mishahara ya wanajeshi, utafiti, silaha na kulinda maslahi ya Marekani duniani
 
Black hawk?? Unajua pesa za USAID $40b ambazo Trump alizifuta zinaninua ammunition ngapi????
Mkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo? Kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji

Iko hivi: Kupunguza misaada ya USAID hakukuwa kwa sababu ya kununua ammunition

Ilikuwa ni hoja ya kupunguza matumizi na kubadilisha vipaumbele vya sera

Bajeti ya kijeshi na USAID ni mifuko tofauti yenye malengo tofauti
 
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.

Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:

​
  • Kasi kubwa (High Speed)​
Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
​
  • Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)​
Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch

Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.

Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè

Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.


CREDIT: WSJ​
Marekani ishafeli
 
Mkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji

Iko hivi: Kupunguza misaada ya USAID hakukuwa kwa sababu ya kununua ammunition

Ilikuwa ni hoja ya kupunguza matumizi na kubadilisha vipaumbele vya sera

Bajeti ya kijeshi na USAID ni mifuko tofauti yenye malengo tofauti
Hahahahahahaha mwamba ww una IQ kubwa saaana, ila shida una deal na watu wenye uelewa mdogo mnoo, ndo maana kuna wengine tayari wameshahusisha dini kwenye andiko lakoo, unapoteza muda tuu kuwaelimisha
 
Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran

Iranian anakupiga kivitendo na kiakili ktk izo kambi za Marekani kwenye Gulf States ile ya Jordan na Syria ndio zipo mbali zaidi kuliko izi zengine!

Manake Iranian kimsingi inaweza kuzifuta kabisa izo Kambi za Marekani lkn Wairani hawataki kufanya ivyo.

Iranian inataka kutumia ujumbe kwanza kwa Marekani kuwa tunaweza kukutwanga lkn tumenyuti ili kutoa nasafi ya Diplomasia

JE kwanini Diplomasia tukumbuke Iranian inadai madai yake mengi kwa Marekani pesa zake nk!

Ukiondoshewa vikwazo na Marekani ni Ushindi mkubwa zaidi kuliko Ushindi wa vitani👈

Sababu Marekani inaweza kufunga kambi zake lkn bado Marekani itaendelea kukuekea vikwazo ujue bado utapitia magumu zaidi sababu Iranian inategemea kuuza nje

Wanunuzi ndio wanabanwa na Sheria za Marekani👈

kwaiyo
Sasa Iranian inamchapa Mdeni wake kwa hatua ili Marekani mwisho agundue uwezo wao kijeshi hauwezi kuwapa kile Marekani wanakitaka kwa Iranian👈

na Marekani ije kwenye njia ya Diplomasia kufikia Makubaliano👈

tukumbuke Makubaliano yoyote apa lazima mnufaika ni Iranian tu
sio Marekani!

Marekani lengo lake kuu ni kuitwaa Iranian na Rasilimali zake zote ikiwemo na fursa mpya ya mlango wa Hormuz!

Kuvikosa ivyo vitu ni kashindwa kwa Marekani mojakwamoja👈

Iranian haitaki chaguo la Vita Sababu inataka pamoja na yote bado wamvutie Marekani kwenye Diplomasia ya kuondoshewa vikwazo 👈

Kwaiyo Iranian mpakasasa inawabutua kambi zao lkn sio kuwafuta kabisa hapana!!

ukiwafuta kabisa ujue na Diplomasia umeifuta kabisa👈

Iranian inataka kumshinda adui kona zote lkn kwasasa faida ipo zaidi kumshinda ki Diplomasia ili zigo la vikwazo vikuondoke na ulipwe madai yako👈
 
Warushe kombora Washington kama ana huo uwezo
Hizo base anazopiga sio silaha ya mwisho ya Marekani
Na Marekani atazirejesha.
Hivi ukisema Iran kashinda vita, kashinda vita kwenye Nini?
Rais wa Iran kauliwa.
Waziri wa Ulinzi Kailuwa
Viongozi wakuu wa majeshi wameuliwa.
Eti Iran anashangilia kupiga base ya USA 🤣
Uwepo wa taifa la Iran mpaka saa hii ni ushindi tosha.
Uwepo wa IRGC mpaka saa hii ni ushindi tosha.
Uwepo wa serikali kamili ya Iran mpaka saa hii ni ushindi tosha.
Sikia, Iranians are fighting for their existence, USA are fighting this war for pride!

Binti yangu wa miaka 4 anaelewa hili, ila wewe kilaza AKA mbumbumbu AKA zuzu hauwezi kuelewa, ili uelewe tunahitaji wataalamu wa Elon Musk waje wapasue hilo fuvu, waondoe hiyo gray matter kwa hilo fuvu, waweke device yenye akili mnemba AKA AI ndani yake.
 
Washia feki wa mwembe yanga wajue kwamba Iran inarudi kwenye zama za mawe na hela ya kuijenga upya nchi yao hawana.

Wanarusha makombora kwenye kambi ambazo hazina chochote zimebaki magofu tu wakati yeye nchi inageuzwa Gaza.
 
Sahihi kabisa, anachofanya Iran ni kuidhoofisha Marekani

Hizo bases zinavyozidi kuchakazwa ndivyo Marekani uwepo wake M.E unazidi kuwa mgumu

Na hii itafanya hao vibaraka waanze kuona ulinzi wa Marekani sio guaranteed
Ulinzi utakokuwa guaranteed utakuwa ni upi?
 
Iran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?

Kupiga Washington haisaidii kitu, Marekani anaishambulia Iran akitokea bases zake zilizo M.E. Na Iran inatwanga vinu hapohapo M.E

Mbona huwa hamzungumzii uwezo wa Iran kuzichabanga kambi za Mmarekani na hasara wanayopata?
Acha hizo kambi zipigwe ili utawala wa kishenzi wa Iran ukishadondoka, mapambano yakiisha hiyo fidia italipwa tu.
 
Washia feki wa mwembe yanga wajue kwamba Iran inarudi kwenye zama za mawe na hela ya kuijenga upya nchi yao hawana.

Wanarusha makombora kwenye kambi ambazo hazina chochote zimebaki magofu tu wakati yeye nchi inageuzwa Gaza.

Iranian inasema nikipigwa popote chochote namm napiga jiran mwenye kambi ya Adui👈

kwaiyo Kisheria Marekani kazi anayo!!

Sababu yeye ndio mwenye dhamana ya kuwalinda washirika wake👈

Sasa Marekani inapiga Daraja mfano wa Kalavati uko Iranian👈

Iranian inaenda kubutua Daraja zuri la kisasa uko kwa washirika🤠

Dhamana ya ulinzi ya Marekani kwa washirika ipo wapi apo???

Kwasasa Muirani nikama kampeleka Shuleni Mwarabu kujua Utapeli wa mlinzi wake😇😇
 
Back
Top Bottom