Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.

Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:

​
  • Kasi kubwa (High Speed)​
Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
​
  • Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)​
Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch

Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.

Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè

Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.

CREDIT: WSJ​
Hivi kuna vita america alienda pigana mwenyew akashinda???

Na kuna nchi iliwahi pigana na muajemi ikashinda ukiachana na empire
 
Mkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo? Kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji

Iko hivi: Kupunguza misaada ya USAID hakukuwa kwa sababu ya kununua ammunition

Ilikuwa ni hoja ya kupunguza matumizi na kubadilisha vipaumbele vya sera

Bajeti ya kijeshi na USAID ni mifuko tofauti yenye malengo tofauti
Nenda nao taratibu mkuu maana coment zao nyingi zimejaa mihemko
 
Iranian anakupiga kivitendo na kiakili ktk izo kambi za Marekani kwenye Gulf States ile ya Jordan na Syria ndio zipo mbali zaidi kuliko izi zengine!

Manake Iranian kimsingi inaweza kuzifuta kabisa izo Kambi za Marekani lkn Wairani hawataki kufanya ivyo.

Iranian inataka kutumia ujumbe kwanza kwa Marekani kuwa tunaweza kukutwanga lkn tumenyuti ili kutoa nasafi ya Diplomasia

JE kwanini Diplomasia tukumbuke Iranian inadai madai yake mengi kwa Marekani pesa zake nk!

Ukiondoshewa vikwazo na Marekani ni Ushindi mkubwa zaidi kuliko Ushindi wa vitani👈

Sababu Marekani inaweza kufunga kambi zake lkn bado Marekani itaendelea kukuekea vikwazo ujue bado utapitia magumu zaidi sababu Iranian inategemea kuuza nje

Wanunuzi ndio wanabanwa na Sheria za Marekani👈

kwaiyo
Sasa Iranian inamchapa Mdeni wake kwa hatua ili Marekani mwisho agundue uwezo wao kijeshi hauwezi kuwapa kile Marekani wanakitaka kwa Iranian👈

na Marekani ije kwenye njia ya Diplomasia kufikia Makubaliano👈

tukumbuke Makubaliano yoyote apa lazima mnufaika ni Iranian tu
sio Marekani!

Marekani lengo lake kuu ni kuitwaa Iranian na Rasilimali zake zote ikiwemo na fursa mpya ya mlango wa Hormuz!

Kuvikosa ivyo vitu ni kashindwa kwa Marekani mojakwamoja👈

Iranian haitaki chaguo la Vita Sababu inataka pamoja na yote bado wamvutie Marekani kwenye Diplomasia ya kuondoshewa vikwazo 👈

Kwaiyo Iranian mpakasasa inawabutua kambi zao lkn sio kuwafuta kabisa hapana!!

ukiwafuta kabisa ujue na Diplomasia umeifuta kabisa👈

Iranian inataka kumshinda adui kona zote lkn kwasasa faida ipo zaidi kumshinda ki Diplomasia ili zigo la vikwazo vikuondoke na ulipwe madai yako👈
MOU ifatwe maana sioni sababu ya marekani kuanzisha tena hii vita
 
Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
Adui yupo mlangoni nihangaike na aliepo mbali wanini
Waache Ayatollah kaishafyekwa na kaishazikwa na maisha iran bado yanaendelea
Ila kambi za magaidi wa kiamerika na vibaraka wake zinapelekewa moto hata wasife ila kambi zinakufa sio mbaya
 
Kwaiyo Iranian ipo na machaguo kibao ya kutwanga ktk eneo🤠

Marekani kaambiwa ww piga Airport piga Visima vyovyote piga Bandari piga Majengo marefu piga mashine za kusafishia maji piga viwanda

Lkn jua Iranian inakwenda kumwaga Ugali kwa washirika wako👈
wenye dhamana yako ya ulinzi kikamilifu👈

mbaya zaidi sisi tunapiga zaidi ya kile umepiga ndani ya Iranian ✍️
 
Washia feki wa mwembe yanga wajue kwamba Iran inarudi kwenye zama za mawe na hela ya kuijenga upya nchi yao hawana.

Wanarusha makombora kwenye kambi ambazo hazina chochote zimebaki magofu tu wakati yeye nchi inageuzwa Gaza.
Ela hawana kivp maana kama marehemu alichukua nchi ikiwa ya ovyo na silaha duni na bado akapigana na iraq miaka saba akaishi na vikwazo miaka 47 lakini leo hii Iran ile ya 1979 sio ya leo ambayo kiuhalisia uchumi wa iran kwa nchi za africa baadhi au zote hakuna mwenye uwezo wa kuufikia
 
Unafikiri inapopigwa base hasara ni vifo tu vya wanajeshi?

Kwenye hizo kambi kuna silaha zenye thamani ya billions of dollars

Unajua thamani ya Black Hawk helicopters zilizoangamizwa hapo Jordan?
Ulivyoandika ni kama wao Iran hawapigwi kabisa.
 
Rubio anazungumzia diplomasia kwa sasa,Qatar anaomba pause walau ya siku kumi,silaha alizokusanya marekani huko mashariki ya kati mwezi wa cease fire Iran kazibutua hadi rada,sasa hivi marekani anakusanya ndege zake ulaya

Aibu kubwa yani Marekani ile na Jesh lake tumedanganywa sana juu ya uwezo wa Marekani!!!

Sasa Marekani ikiona inapigwa inakimbilia Ceasefire si aibu kubwaa ngoja wagawane kina Echolima1 nk
Beberu wao kashikwa ndevu anakokotwa kwenye MOTO
na Ayatollah😂😂.
 
Hii vita naona Iran anaichelewesha kuisha kwa makusudi.

Iran ajikite kupiga makombora yake kwenye Maeneo yenye nishati ya Umeme, vyanzo vya maji na vituo vya uchimbaji mafuta na kwenye Airports na Bandari kwenye nchi za UAE, Kuwait, Qartar, Jordan, Saudi Arabia, Oman, Bahrain, Iraq, Israel na meli zinazojaribu kukatiza Pale Straight of Homurz apeleke moto ule wa kisaqa sawa kwenye Maeneo hayo ndani ya wiki Mbili mfululizo, yaani mbona hizo nchi zitamtaka Marekani asepe
 
Aibu kubwa yani Marekani ile na Jesh lake tumedanganywa sana juu ya uwezo wa Marekani!!!

Sasa Marekani ikiona inapigwa inakimbilia Ceasefire si aibu kubwaa ngoja wagawane kina Echolima1 nk
Beberu wao kashikwa ndevu anakokotwa kwenye MOTO
na Ayatollah😂😂.

Watu hatufahamu kuhusu Chama cha Trump cha Republican, yaani hichi Chama ni cha Mabeberu haswa, na wanatajirika kupitia Vita hususani Yale Makampuni yanayotengeneza silaha za vita, Hawa Mabeberu Wana hisa nyingi Sana kwenye hizo Kampuni

Hivyo hii vita ya Iran Vs. USA ni biashara na Kuna faida inatengenezwa tena kubwa sana, yaani hii vita hadi iishe wale Mabeberu wa Republican watakuwa wametajirika Sana.

Maana kampuni zinazotengeneza silaha Marekani haziruhusiwi kumuuzia nchi nyingine yeyote Baki ni Serikali ya Marekani pekee hivyo bajeti ya silaha vita ya Marekani Mwaka huu imeongezeka Sana na Republican wanapiga hela kweli kweli
 
Washia feki wa mwembe yanga wajue kwamba Iran inarudi kwenye zama za mawe na hela ya kuijenga upya nchi yao hawana.

Wanarusha makombora kwenye kambi ambazo hazina chochote zimebaki magofu tu wakati yeye nchi inageuzwa Gaza.
Kichwa pumbu, mlokole mavi
Hakuna kitu eeh....

Iranian anakupiga kivitendo na kiakili ktk izo kambi za Marekani kwenye Gulf States ile ya Jordan na Syria ndio zipo mbali zaidi kuliko izi zengine!

Manake Iranian kimsingi inaweza kuzifuta kabisa izo Kambi za Marekani lkn Wairani hawataki kufanya ivyo.

Iranian inataka kutumia ujumbe kwanza kwa Marekani kuwa tunaweza kukutwanga lkn tumenyuti ili kutoa nasafi ya Diplomasia

JE kwanini Diplomasia tukumbuke Iranian inadai madai yake mengi kwa Marekani pesa zake nk!

Ukiondoshewa vikwazo na Marekani ni Ushindi mkubwa zaidi kuliko Ushindi wa vitani👈

Sababu Marekani inaweza kufunga kambi zake lkn bado Marekani itaendelea kukuekea vikwazo ujue bado utapitia magumu zaidi sababu Iranian inategemea kuuza nje

Wanunuzi ndio wanabanwa na Sheria za Marekani👈

kwaiyo
Sasa Iranian inamchapa Mdeni wake kwa hatua ili Marekani mwisho agundue uwezo wao kijeshi hauwezi kuwapa kile Marekani wanakitaka kwa Iranian👈

na Marekani ije kwenye njia ya Diplomasia kufikia Makubaliano👈

tukumbuke Makubaliano yoyote apa lazima mnufaika ni Iranian tu
sio Marekani!

Marekani lengo lake kuu ni kuitwaa Iranian na Rasilimali zake zote ikiwemo na fursa mpya ya mlango wa Hormuz!

Kuvikosa ivyo vitu ni kashindwa kwa Marekani mojakwamoja👈

Iranian haitaki chaguo la Vita Sababu inataka pamoja na yote bado wamvutie Marekani kwenye Diplomasia ya kuondoshewa vikwazo 👈

Kwaiyo Iranian mpakasasa inawabutua kambi zao lkn sio kuwafuta kabisa hapana!!

ukiwafuta kabisa ujue na Diplomasia umeifuta kabisa👈

Iranian inataka kumshinda adui kona zote lkn kwasasa faida ipo zaidi kumshinda ki Diplomasia ili zigo la vikwazo vikuondoke na ulipwe madai yako👈
Mkuu hivi kwanini unapenda kuiandika Iran kama Iranian? Ama mimi ndiye sielewi..

Maana Iranian ni utaifa kwa ninavyoelewa..
 
Back
Top Bottom