Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Mkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo? Kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji

Iko hivi: Kupunguza misaada ya USAID hakukuwa kwa sababu ya kununua ammunition

Ilikuwa ni hoja ya kupunguza matumizi na kubadilisha vipaumbele vya sera

Bajeti ya kijeshi na USAID ni mifuko tofauti yenye malengo tofauti
Mjinga haambiwi maana
Acha apotee, dunia tubaki wachache wenye uerevu
 
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.

Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:

​
  • Kasi kubwa (High Speed)​
Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
​
  • Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)​
Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.

Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch

Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.

Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè

Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.


CREDIT: WSJ​
Good job Iran
 
Wanajeshi wawili kufa sioni shida

Ukiangalia data za wanajeshi wa Marekani waliokuwa wanakufa kwenye vita ya Afghanistan kuanzia Obama mpaka withdrawal 2021, utagudua hakuna jipya
Wawili?!!
Kafuatilie Tena.
Na kawaida idadi kamili hupunguzwa au huongezwa kutegemeana malengo.
Propaganda war.
 
Back
Top Bottom