Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki
Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki
Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki
Wanajeshi wawili kufa sioni shida
Bila kusahau na QartarIran ipige vituo vya mafuta na nishati ya Umeme kwa nchi za, Bahrain, USA, Kuwait, Jordan, Oman na Saudi Arabia.
Akifanya hivyo, hizo nchi zitamtaka US asepe zake
Sahihi kabisa, anachofanya Iran ni kuidhoofisha MarekaniIran ipige vituo vya mafuta na nishati ya Umeme kwa nchi za, Bahrain, USA, Kuwait, Jordan, Oman na Saudi Arabia.
Akifanya hivyo, hizo nchi zitamtaka US asepe zake
Unafikiri inapopigwa base hasara ni vifo tu vya wanajeshi?Wanajeshi wawili kufa sioni shida
Ukiangalia data za wanajeshi wa Marekani waliokuwa wanakufa kwenye vita ya Afghanistan kuanzia Obama mpaka withdrawal 2021, utagudua hakuna jipya
Iran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
We jamaa vipi? Yaani unaumia hasara ya USA kwenye battle field?Unafikiri inapopigwa base hasara ni vifo tu vya wanajeshi?
Kwenye hizo kambi kuna silaha zenye thamani ya billions of dollars
Unajua thamani ya Black Hawk helicopters zilizoangamizwa hapo Jordan?
Story za, maislam shida sana, sasa hii ni nini,Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.
Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:
Kasi kubwa (High Speed)Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch
Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.
Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè
Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.
CREDIT: WSJ
Wacha wachapwe tu hao wanaharamuIran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.
Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:
Kasi kubwa (High Speed)Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch
Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.
Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè
Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.
CREDIT: WSJ
Warushe kombora Washington kama ana huo uwezoIran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?
Kupiga Washington haisaidii kitu, Marekani anaishambulia Iran akitokea bases zake zilizo M.E. Na Iran inatwanga vinu hapohapo M.E
Mbona huwa hamzungumzii uwezo wa Iran kuzichabanga kambi za Mmarekani na hasara wanayopata?
Nilitaka hii show iwe kwa hao papai Israel zaidiNi raha kusikia Marekani na shosti yake Israel wakipelekewa moto.