Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Wanaoumia ni ni walipa kodi wa MarekaniWe jamaa vipi? Yaani unaumia hasara ya USA kwenye battle field?
Israel huwa wanfyata bila Shosti yake marekani.Nilitaka hii show iwe kwa hao papai Israel zaidi
Kwa akili zako unafikiri hiyo US$ 1 Trilion yote inaenda kwenye vita ya Iran?USA mwaka huu kapanga defense budget ya almost $1 trillion hadi NATO wenyewe hawaamini hela yote hii America anaenda ifanyia nini.
Mkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo? Kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongojiBlack hawk?? Unajua pesa za USAID $40b ambazo Trump alizifuta zinaninua ammunition ngapi????
Marekani ishafeliIran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani.
Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu:
Kasi kubwa (High Speed)Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana, jambo linalopunguza muda wa mifumo ya ulinzi kuyagundua, kuyafuatilia na kuyazuia.
Uwezo wa kubadili mwelekeo (Maneuverability)Makombora hayo yanaweza kubadilisha njia wakati wa safari angani, hali inayofanya yawe magumu zaidi kutabirika na kuzuiliwa na mifumo ya ulinzi wa anga.
Pia uwezo wa Iran ku-attack sensitive sites ni top notch
Hatua hii imeongeza mjadala kuhusu uwezo mpya wa Iran wa kukabiliana na teknolojia za kisasa za ulinzi wa anga.
Bad news ni kwamba Marekani na washirika wake wanazidi kuishiwa interceptors Iran inajichapia tu mamaè
Baada ya kichapo hicho kutoka kwa Waajemi maafisa ulinzi wa MAGA wanasema huenda kuna mkono wa Mchina na Mrusi. Huu mwaka Trumplet kayatimba.
CREDIT: WSJ
Unapush ajenda ya udini kwenye mada isiyo ya kidini?Story za, maislam shida sana, sasa hii ni nini,
Hahahahahahaha mwamba ww una IQ kubwa saaana, ila shida una deal na watu wenye uelewa mdogo mnoo, ndo maana kuna wengine tayari wameshahusisha dini kwenye andiko lakoo, unapoteza muda tuu kuwaelimishaMkuu nani alikwambia nchi huwa inaendeshwa hivyo kwa hoja hizi za kiwaki hauwezi hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
Iko hivi: Kupunguza misaada ya USAID hakukuwa kwa sababu ya kununua ammunition
Ilikuwa ni hoja ya kupunguza matumizi na kubadilisha vipaumbele vya sera
Bajeti ya kijeshi na USAID ni mifuko tofauti yenye malengo tofauti
USA ni mjinga sana anadhani Iran bado wako kwenye 80 hajui Iran yuko mbali sana kwa Technology atadai China na Mrusi wanamsaidia sababu kisha zidiwa ili asichekwe na mataifa hahaha
Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
Una hoja ya kitoto sana!Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
Wanajeshi wawili kufa sioni shida
Ukiangalia data za wanajeshi wa Marekani waliokuwa wanakufa kwenye vita ya Afghanistan kuanzia Obama mpaka withdrawal 2021, utagudua hakuna jipya
Uwepo wa taifa la Iran mpaka saa hii ni ushindi tosha.Warushe kombora Washington kama ana huo uwezo
Hizo base anazopiga sio silaha ya mwisho ya Marekani
Na Marekani atazirejesha.
Hivi ukisema Iran kashinda vita, kashinda vita kwenye Nini?
Rais wa Iran kauliwa.
Waziri wa Ulinzi Kailuwa
Viongozi wakuu wa majeshi wameuliwa.
Eti Iran anashangilia kupiga base ya USA 🤣
😃😆🤣Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki
Ulinzi utakokuwa guaranteed utakuwa ni upi?Sahihi kabisa, anachofanya Iran ni kuidhoofisha Marekani
Hizo bases zinavyozidi kuchakazwa ndivyo Marekani uwepo wake M.E unazidi kuwa mgumu
Na hii itafanya hao vibaraka waanze kuona ulinzi wa Marekani sio guaranteed
Acha hizo kambi zipigwe ili utawala wa kishenzi wa Iran ukishadondoka, mapambano yakiisha hiyo fidia italipwa tu.Iran inashambulia pale ambapo vikosi vya adui viko karibu yake, utamruka adui aliye karibu yako uende mbali?
Kupiga Washington haisaidii kitu, Marekani anaishambulia Iran akitokea bases zake zilizo M.E. Na Iran inatwanga vinu hapohapo M.E
Mbona huwa hamzungumzii uwezo wa Iran kuzichabanga kambi za Mmarekani na hasara wanayopata?
Washia feki wa mwembe yanga wajue kwamba Iran inarudi kwenye zama za mawe na hela ya kuijenga upya nchi yao hawana.
Wanarusha makombora kwenye kambi ambazo hazina chochote zimebaki magofu tu wakati yeye nchi inageuzwa Gaza.