Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

Kwaiyo Iranian ipo na machaguo kibao ya kutwanga ktk eneo🤠

Marekani kaambiwa ww piga Airport piga Visima vyovyote piga Bandari piga Majengo marefu piga mashine za kusafishia maji piga viwanda

Lkn jua Iranian inakwenda kumwaga Ugali kwa washirika wako👈
wenye dhamana yako ya ulinzi kikamilifu👈

mbaya zaidi sisi tunapiga zaidi ya kile umepiga ndani ya Iranian ✍️
 
Mnapendaga kujipa faraja fake
Marekani amefika hapo Iran akauwa magaidi na wafadhili wake ikiwemo gaidi mkuu Ayatollah.
Kama Iran ana msuli arushe hata mkuki pale Washington, kama Marekani alivovuruga Tehran
Iran haina kambi Cuba kama marekani alivyofungua kila bara otherwise wangeshambulia. Hivi hujui kushambulia ubalozi wa nchi au kambi ya jeshi ni sawa na kushambulia nchi husika? Au hujui hilo
 
Unataka kusema kwamba Iran ana uwezo wa kupiga hadi USA ila ni strategy tu ndo maana ameanza kupiga hizo military base za US hapo ME?
 
Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki

Labda mpaka uandikwe kimatumbi na wazungu wenyewe ndio utaamini ?


 
Bases za US nyingi ya hizo alihamisha vifaa!..

Ukiangalia Iran ilikuwa inavurumusha makombora na drones hata 500 kwa siku ila sasa hivi hata 50 hamna.

Itafika wakati wairan wataanza kula majani maana USA anampukuchua taratibu.
.
Ona kinachompata Putin, Ukrain inajipigia tu hadi ndani kabisa. Sasa hivi warusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta.
Usicheze na west kabisa.
 
USA imefika hapo ilipo sababu ya vita
Alafu unawahurumia raia kulipa kodi?
 
Endelea tu kujipa moyo na maneno ya uongo!!!
 
Vijana kuanzia miaka 18-24 sheria ishapitishwa wajiandae kuingia mzigoni.
CIVIL WAR inatia miguu yake State.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…