Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

Uchumi wa Marekani wamiliki wakubwa ni Israel kama kwetu hapa wamiliki wakubwa wa uchumi mkubwa ni wageni mabilionea wahindi,waarabu na wapemba

Marekani ni wayahudi
Uongo.

Wamarekani zaidi ya milioni 300 ndo wanachangia uchumi wa Marekani!
 
Unaongea porojo wewe kampuni kubwa lipa kodi marekani ni za wayahudi

Hata hiyo world Bank na IMF ni wayahudi wenye hisa nyingi

Chuo kikuu cha kwanza cha Dar es salaam kilijengwa na Rockefelller myahudi mununuzi wa almasi wa jumla dunia nzima bure kama sehemu ya Corporate responsibility to Community hakujenga Nyerere

Wao ndio walikuwa wanunuzi wa almasi za mwadui
 
Hao wote ni Wayahudi?
Ndiyo
Kwa nini hawapo Tel Aviv, Jerusalem, na Haifa, lakini wote wapo Marekani?
Kwa sababu zile zile zinazofanya wewe Mtanzania unakuwaga US badala ya Kolandoto Shinyanga!
Marekani ndo mwenye hela, silaha, na uwezo mkubwa kupitiliza kuliko hako ka Israel.
Ni kweli, ila ni kwa sababu ya mchango mkubwa wa vumbuzi nyingi za kisasa kabisa za technology za hao Wayahudi pamoja na kodi zao kubwa kwa serikali ya huko kutokana na utajiri wao mkubwa sana
 
Unaweza ukawa na mtaji ila usiwe na akili ya kuongeza hela nyngne kupitia huo mtaji.
Google imetoka kununua technology ya Israel kwa Dollar Billion 35.
Kumbuka YouTube ni wazo liloibiwa kutoka kwa Israel (Metacafe - mwaka 2003)
Technology nyingi kubwa zimegunduliwa na Mu-Israel
 
What?

Porojo ni kudai Israel ndo inaibeba Marekani 🤣.

FOH.
 
Porojo tu.

Ipo siku mtadai Israel ndo ilivumbua binadamu.

Sitoshangaa pia mkidai siku moja kuwa Julius Nyerere naye alikuwa Myahudi 🤣.
 
Uongo Nenda search biggesr taxpayers wa USA hizo kampuni anamiliki nani biggest shareholders? Kisha angalia origin zao Familly tree origin
Kwa nini sasa hizo familia zisirudi huko Israel zijenge uchumi wa Israel?
 
Mimi sio kiazi labda utakuwa wewe
 
Chanzo cha mapato ya israel ni nini haswa maana kuendesha tu iron domes nchi yetu ingekuwa ICU. Achilia mbali kubonda mchi kadhaa ndani ya kipindi cha chini ya miaka 5

Huku mambo ya nchi yakiendelea kama kawaida
Brains. Nyimwa vyote ujaliwe watoto wenye brains zenye madini. Hata huko mbinguni tunakoamini ni makazi yasiyo na mfano hakuna madini, wala mafuta wala sijui nini. Ni brains tu zimejaa mule!
 
Haujajibu swali, nimekuuliza kwa nini USA iko karibu na Israel pengine kuliko mataifa mengine?.
Zingatia neno "pengine".

Hapa ninategemea unipe sababu siyo kunitajia nchi nyingine ambayo iko karibu na Israel
Nimekwambia kwamba si kweli.

Inaonekana tu hivyo kwa sababu huko Mashariki ya Kati Israel imezungukwa na maadui na kila mara kuna mizozo ambayo huifanya Marekani ihusike.

Narudia tena, inaonekana hivyo kwa sababu ya hali ilivyo huko Mashariki ya kati.

Lakini ukiangalia ukweli [facts] utagundua kwamba Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kuliko hata Israel.

Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kwa sababu za kihistoria ambayo iko dhahiri kabisa.

Kigumu kueleweka hapo ni nini?
 
Mnapenda sana conspiracy hata kama mambo ya dhahiri.

Marekani ndo super power pekee hapa duniani.

Israel siyo super power. Israel ni nchi inayoitegemea Marekani.

Period, end of story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…