Huwez kujua maana we uko dunia ya tatu. Fanya tafit Hollywood CNN au mavyuo makubwa yote utakuja kugundua hawa jamaa walizama kwenye project kubwa miaka mingi kuanzia elimu burudan sanaa michezo siasa nknk. Kuna ulimwengu mwingine tunaishi nao wewe huwez kuuona. Ndio maana ya wenye nchi na wananchi. Jiulize mbona kila penye mafuta dhahabu au gesi usipokubaliana nao kuna vita. Unafikiri hao waarabu hapo Middle East wanaipenda Israel. Watafanyaje sasa jamaa kashikilia mshipa mkubwa wa moyo. Jews run the world bro. Na ndio vita yao na Iran hataki kukubaliana nao. Iraki ilikuwa ishakalishwa baada ya kumuondoa mzee Hussein.Hizi kauli za Rostchild family ni STUPID CONSPIRACY ambazo kijana asiyeweza kufikiria out of box ndio anaweza akaziamini.
๐๐๐๐Vijana wa siku hizi AISEE kwa kumezeshwa ujinga.
Hizo unazozisemea wewe zote nilisoma hakuna jipya hapo zaidi ya CONSPIRACY.Huwez kujua maana we uko dunia ya tatu. Fanya tafit Hollywood CNN au mavyuo makubwa yote utakuja kugundua hawa jamaa walizama kwenye project kubwa miaka mingi kuanzia elimu burudan sanaa michezo siasa nknk. Kuna ulimwengu mwingine tunaishi nao wewe huwez kuuona. Ndio maana ya wenye nchi na wananchi. Jiulize mbona kila penye mafuta dhahabu au gesi usipokubaliana nao kuna vita. Unafikiri hao waarabu hapo Middle East wanaipenda Israel. Watafanyaje sasa jamaa kashikilia mshipa mkubwa wa moyo. Jews run the world bro. Na ndio vita yao na Iran hataki kukubaliana nao. Iraki ilikuwa ishakalishwa baada ya kumuondoa mzee Hussein.
Na ni walewale jihadists ambao waga mnasema kwamba Marekani hana lolote, sasa tushike lipi.โBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Kama hujui 70% ya wamarekani ni wayahidi...Bila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Haya maneno tulianza ongea kitambo sana. Wao naona wanagonga tuAaaagh wapi.
Hao wanajeshi buku nne sawa na bei ya kunywea supu ya kuku hawatatisha lolote.
Ile dozi ya makombora 300 itaongezeka,pia kule kaskazini Galilaya Wazayuni hamisheni hadi kuku na Bata maana Hizbollah ikishaanua matanga ya msiba kazi mnayo.
kabisa,nadhani mpk kesho germany,UK na NATO kiujumla watakuwa washatuma na wao ni muunganiko wa kupigana na IranBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Iran sio Syria au Palestina.Haya maneno tulianza ongea kitambo sana. Wao naona wanagonga tu
Sasa us anawashinda nini ninyi warabu wote wa duniaBila Marekani myahudi ni mwepesi sana
Usishangae bwana kwani hayo ndio madhara ya kugonga kichwa chini mara kwa mara kwa muda mrefu lazima utapata mental derangement syndrome.Burundi impige Israel? Matumizi mabaya ya bando lako.
tunachojua mmarekan ndiye anayemsaidia israel kama wanajiweza hao 70% wangerudi kwao kutetea nchi yao kule marekani wanafanya nini!!!Kama hujui 70% ya wamarekani ni wayahidi...
Hivi nyie hamueleweki si mnasemaga iran anamuweza marekani sa wasiwasi uko wapi si ndo iran akawabonde wote Israel marekani na nato wake wote au vp...kabisa,nadhani mpk kesho germany,UK na NATO kiujumla watakuwa washatuma na wao ni muunganiko wa kupigana na Iran
Acheni kulialia, nendeni mkawatoe wanawake na watotoHao ndo wanampa Kiburi Yahudi kuwa kama kichaa mwenye rungu pale.
We kuku, elewa ฤทupigana na myahidi ni sawa na kupigana na Dunia- maana wamesambaa kote hata hapa Africa wapo kibao.kabisa,nadhani mpk kesho germany,UK na NATO kiujumla watakuwa washatuma na wao ni muunganiko wa kupigana na Iran
Haya wakapigwe sasa iran naye si ana urusi, hezbolla, hamas, iraq kaz kwao sasakabisa,nadhani mpk kesho germany,UK na NATO kiujumla watakuwa washatuma na wao ni muunganiko wa kupigana na Iran
Haya maneno tumeanza yaongea muda sana jamaa wanajigongea tu. Walimuua mpaka msaidizi wa hayatollah hawa manyang'au.Iran sio Syria au Palestina.
Uliza USA na Iraq 1980-1988 walipoivamia with full out force na wakashindwa vita.
Unadhani Iran ni wepesi wepesi!?
Miaka 45 mpaka sasa USA kaishindwa hiyo nchi.
Kaa jidanganye.
hutakuja sikia kitu kama hicho waarabu washaamua ubaya ubwela,unganeni mashoga wote duniani ila lazma mchezeshewe dyudyuHaya wakapigwe sasa iran naye si ana urusi, hezbolla, hamas, iraq kaz kwao sasa