Believe me hii ndege ilikuwa hit by missile,ila sema kwa bahat mbaya. Iran wanajua sema wanahide.Hata wao wanajuta mioyoni mwao. I think it is time Iran waseme Sorry kwa raia waliokufa.Yah hili ndio lakuangalia ila sidhanii kama kuna any missile ilo hit hio ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
........Someni kwa makini habari yenyewe ndio mje kutoa maoni, sio mnaleta ushabiki kila sehemu, inasemekana ndege ilidondoshwa kwa bahati mbaya na makombora ya ulinzi wakizani ni ndege ya kivita au drones za marekani, sio kwa kwa makombora yaliyokuwa yanashambulia kambi za Marekani Iraq
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wata fnya uchunguzi na ukweli naamini utapatikanaBelieve me hii ndege ilikuwa hit by missile,ila sema kwa bahat mbaya. Iran wanajua sema wanahide.Hata wao wanajuta mioyoni mwao. I think it is time Iran waseme Sorry kwa raia waliokufa.
Canada imesema ushahidi wote umeonyesha ndege iliyotoka Ukraine imedunguliwa na Iran,
Kwa kisingizioo au ukweli Iran poleni ,Iraq ilikuwa na nguvu kuliko nye,nahurumia sana Iran,hii kikombe ni zaidi ya uwezo wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
citing & documenting sources may seem like busywork.Canada imesema ushahidi wote umeonyesha ndege iliyotoka Ukraine imedunguliwa na Iran,
Kwa kisingizioo au ukweli Iran poleni ,Iraq ilikuwa na nguvu kuliko nye,nahurumia sana Iran,hii kikombe ni zaidi ya uwezo wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww na hao Canada nyoote ni vibaraka wa US, watu wanapiga hela kwa kampuni zao(boeng) ili zisionekane kama ni mbovu nyinyi mnakuja kuilamu Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wamelipa?Hata US ilishawahi kutungua ndege ya Iran iliyokua inatoka Tehran to Dubai na kuua abiria wote 290,so hakuna kipya hapo.
dodge
citing & documenting sources may seem like busywork.
P'se acknowledge the source at the end of your piece.
Canada imesema... ni maneno ya kijiweni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio US nayo ililipua makusudi sio?
Hata US ilishawahi kutungua ndege ya Iran iliyokua inatoka Tehran to Dubai na kuua abiria wote 290,so hakuna kipya hapo.
dodge
Ni kweli,we akili yako anaijua bata mzinga.
dodge