SureHata mimi nafikiria hivyo. Too sad. Watu wasio na kosa lolote wamekufa. Iran lazima ahide hii. Maana kishasema black boxes zimeharibika. I believe this in not true. Iam strongly conviced that,the plane was hit by one of the Missiles.
Iran walitunguliwa ndege yao ya kiraia na US mwaka 1988 .flight 655 kwa bahati mbaya...ilikuwa majonzi makubwa. Sasa nao wamefanya lilelike kwa Ukrain kwa makosa..watajielezajeBelieve me hii ndege ilikuwa hit by missile,ila sema kwa bahat mbaya. Iran wanajua sema wanahide.Hata wao wanajuta mioyoni mwao. I think it is time Iran waseme Sorry kwa raia waliokufa.
Mkuu njoo tena usome maoni yako hapa!Haingii akilini Iran auwe wananchi wake zaidi ya 80 waliokua abiria ndani ya hiyo ndege.marekani acheni kufanya watu hatuna akili. Ayatulaah kaza hapohapo hawa wanatafuta pa kitokeaa
Mi nashaur watumie nuclear km ya iroshima ikibidiHata mimi nafikiria hivyo. Too sad. Watu wasio na kosa lolote wamekufa. Iran lazima ahide hii. Maana kishasema black boxes zimeharibika. I believe this in not true. Iam strongly conviced that,the plane was hit by one of the Missiles.
Tuseme imedunguliwa,then wanatakaje?
dodge
Tuseme imedunguliwa,then wanatakaje?
dodge
Hivi kipindi kile US walivyotungua ile ya ndege ya abiria ya Iran walilipa kama kiasi gani hivi?..itabidi serikali ya Iran ilipe pesa nyingi sana.
Kweli mkuu.....ni bahati mbaya.
..Iran hawakudhamiria.
Hivi kipindi kile US walivyotungua ile ya ndege ya abiria ya Iran walilipa kama kiasi gani hivi?
dodge
..masuala ya US vs Iran ni tofauti.
..ndege iliyotunguliwa ni ya Ukraine.
..na taifa hilo halina ugomvi au mgogoro na Iran.
Mimi nimeuliza US alivyotungu ya Iran alilipa kiasi gani?
Maana inshu ni ile ile Ndege ya Abiria ndio imetunguliwa'friendly fire' haijalishi nani katungua.
dodge
Ulitarajia USA na UK wasemeje? Kwamba ndege za boeng ni mbovu?MPYA: Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema taarifa zao za kiintelijensia zinaonyesha kuwa Ndege iliyoanguka juzi ndhini Irani na kuua watu 176 wakiwemo raia 63 wa Canada ilitunguliwa na Iran
> Rais Trump pia amedai ana wasiwasi na chanzo cha ajali hiyo
..sijui alilipa kiasi gani.
..lakini yeyeto anayetungua ndege ya abiria anapaswa kuwalipa waathirika.