Mbona kila siku mnaenda kusoma kwaoKwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grownto suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Kwani hao kwao ni marekani Hadi ushoboke? Au wamekwambia wanashida ya ukimbizi Kama Lissu?Safi sana, Jaji Mitungi na Mahera
Sio suala la yeye kasema nini na kwamba akiondoka ofisini jambo hilo linakufa. Marekani ni ofisi inayotekeleza Sera zao.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Hata sisi hapa tupo tumejiuliza ila kuna mwenzangu hapa akanionesha hii.Kwahiyo huyo Pompeo kimemuuuma Uingereza kupewa Mgodi wa Nikel au. Aache Wivu wa kike Uchaguzi umeisha maisha yanaendelea aache kutuvuruga.
Ahaaa... Yani mtoto wa Mahera apate tabu kisa baba kazuiwa kwenda USA?Tatizo la hawa wakubwa sio wao , watakaoumia ni WATOTO wao ....wengi wana watoto na ndugu wanaoishi ..huko , na marekani hapao ndio huwa wankomoa , washirika wao wa kibishara etc
Upuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Kwa hiyo unafikiri Mahera atakosa ugali mezani kwake kwa kuzuiwa kwenda Marekani?Sio suala la yeye kasema nini na kwamba akiondoka ofisini jambo hilo linakufa. Marekani ni ofisi inayotekeleza Sera zao.
Manyang'au yaliyo haribu uchaguzi yasubiri moto huo. Hili linaathiri na familia zao, washirika wao wa kibiashara kama wanafanya na hata pesa zao zilizoko huko.
Hongera sana Mzee Pompeo kwa "uzalendo" wako kwa Tanzania yetu, hakika vikwazo tuu havitoshi labda mngetumia ile mbinu kama mliyofanya kwa Noriega kule Panama!
Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Kwahiyo bashite sasa kwa vile haendi USA basi maisha kwake ni magumu anakosa hadi ugali eti eee?Huwa ni pamoja na familia yake huwa ni totally ban kuviondoa huwa sio rahisi, means USA wataiona kwenye youtube Kama bashite.Bashite hawezi ondolewa vikwazo eti kwa sababu ni raia ambae hawezi muamrisha mambo sasa au kutumia wanajeshi kuvamia cloud,vile ni vyake milele.
Tatizo si nani, serikali ndio ipo juu ya kila kitu na wanaamini katika uhuru wa kujieleza na ipo ktk katiba yao, kama akitokea mtu yoyote au taasisi yoyote, ikitaka kuminya uhuru wa mtu wa kujieleza,kama serikali lazima mchukue hatua, sababu US wao wanaamini katik uhuru wa kujieleza, lkn kwa Trump mbona wapo kimya.Nani wameifungia account ya Twitter ya Trump ?
Tatizo sio ya aliyekuwepo TATIZO NI KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA WA MTU,ambao kila siku wana uhubiri.
Kwamba haujui kwanini account ya Trum ilifungwa?
For sure. Hizi bans zinahusisha watoto wao na wake zao pia. Na kama kuna walioko USA teari, wanapewa deportation notice. European Union always inafuatana na USA, naamini itakuwa hivyo for the most part.Hivyo vikwazo na visiache wake zao, watoto wao, ndugu zao na wote wenye vinasaba na msababishi wapigwe total ban kuingia USA na Europe. Maana wakicheza na nyani wao ndio uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi usababishwao na watu wachache waliokosa malezi Bora utotoni.
Safi sana, Jaji Mitungi na Mahera