Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Kila Kutoka 125 mpaka 10 ni 115
Kutoka 145 mpaka 30 ni 115.
Ndio maana nikasema kila upande umeshusha kwa 115% na pause ya siku 90.
 
Kila
Kutoka 125 mpaka 10 ni 115
Kutoka 145 mpaka 30 ni 115.
Ndio maana nikasema kila upande umeshusha kwa 115% na pause ya siku 90.
Sasa kabla hapo kumbuka china alikuwa anapiga hela ndeeeeefu bila kikwazo chochote.
 
Hii ni kama cease fire ya 90 days wapumue kwanza.


Kwa mchina kukubali cease fire kwa rate kubwa huku yeye akiileta mpaka 10% naona hayupo tayari kumpoteza USA.
China iliweka tarrifs 125% U.S.A 145% walisema wataishia 125% hawatopanda zaidi ya hapo maana itakuwa ni utoto na haina maana.
 
Sasa kabla hapo kumbuka china alikuwa anapiga hela ndeeeeefu bila kikwazo chochote.
Unaelewa vizuri haya makubaliano ya kupunguza tariffs kwa 115% kwa mataifa yote 2 yatarudisha hali iliyokuwa kabla ya Trump kupandisha tariffs kwa China kuanzia April 02?

Kimsingi mataifa yote yatapunguza tariffs hadi kufikia 10% na yote yatapunguza kwa 115%

Ukitaka kuelewa kwa nini inaonekana tariffs ya Marekani kwa China ni 30% na ya China kwa Marekani ni 10%

Omba uelekezwe
​
 
Wapo.

Lakini Marekani inaongoza kutishia wananchi wake wasitoke nje ya Marekani.

Wamarekani siku hizi wanazamia mpaka Tanzania, ndio washindwe China
Acha porojo Aisee! Ila kama zina faida kwako unaweza endelea nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…