Huyu huyu China ambaye baada ya hizi tarrifs, JinPing akaanza ziara za ushawishi kwa Malaysia, Vietnam na Cambodia!? Au kuna China mwingine!?Hii imenikumbusha trade war ya 2018.
China sasa hivi imeshakua giant HUWEZI tumia sera za kupambana na Myanmar kiuchumi dhidi ya China.
Unafahamu kuna majimbo wala hawamjui trump? Na maisha yanaenda?Trump kaangukia pua, sasa dunia nzima inajua superpower ni nani
Anaelewa kiasi gani soko la Marekani lilivyo muhimu kwa mataifa husika.
Wapo kwani nani kasema hawapo mkuu?
Vijana hawa hawajui kitu na sasa nimeamua kuwavalia njuga *****Huyu huyu China ambaye baada ya hizi tarrifs, JinPing akaanza ziara za ushawishi kwa Malaysia, Vietnam na Cambodia!? Au kuna China mwingine!?
Wapi mimebisha kuhusu homeless?Sasa ulikuwa unabisha nini?
Makubaliano yao kwenye hichi kikao China kashuka hadi wapi na USA hadi wapi?
Hiyo ni vita yao wenyewe ya madhehebu, kwa hiyo wenye akili wanaitumia kwa faida yao. Ushia na Usuni. Vita ya Panzi, kinguru lazima afaidike.That's just politics kaka.
Ila kiuhalisia USA haipendi waislam.
Tizama nchi za kiislam zilivyoharibiwa.
Leo hii mataifa ya middle east yasingeingiliwa kisiasa basi yangekua yametulia na kusingekua na kelele za refugees.
Wapi mimebisha kuhusu homeless?
Wewe ndio haujui hata unachokitetea🤔你不知道你在说什么。
Wapi us wnadai hawana homeless?Kama tunakubaliana basi tunazungumza lugha moja
Tupia video ukiwa China mimi nitupie nikiwa China na usChukua 145% toa 115%, Chukua 125% toa 115%.
Wapi us wnadai hawana homeless?
Unafikiri China inaendeshwa kama nchi yako Tanganyika kwamba wanaendeshwa tu na mihemko.Huyu huyu China ambaye baada ya hizi tarrifs, JinPing akaanza ziara za ushawishi kwa Malaysia, Vietnam na Cambodia!? Au kuna China mwingine!?
Nikupe mfano wangu? Kuhusu uchumi?Hawakatai ila wanakubali kuna homeless na sababu kubwa ni economic hardship
Mama aliyeleta maendeleo nchi nzima matibabu bure, simba kapewa boeing 787 bure akazurure nalo huko duniani amuogope Lissu kwa lipi?Kama ambavyo China haina kosa kuwekewa vikwazo vya kibiashara na USA, ndivyo ilivyo kwa Lissu
Kuna mtu anaogopa mwenzake kuwa mkubwa
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.
Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.
Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.