Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.