Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

The Soviet Union couldn’t have beaten Nazi Germany during the Second World War without the Western Allies. Lend-lease was decisive in giving the Red Army the mobility, communications, and logistics to wage modern war. Lend-lease also gave considerable resources to help Russia’s faltering economy, and many weapons that tipped the balance in its favour against Germany.

While Russia generally outproduced Germany during the war, it would’ve been outproduced itself if not for the Combined Bomber Offensive that destroyed, or diverted, 50% of the German war effort by the end of 1944. As German weapons were generally better, and German forces had significantly higher loss exchange ratios than the Soviets, the latter would’ve been hard pressed to hold out.

The Western Allies also helped Russia by distracting German airpower at critical times. This included the Stalingrad campaign in 1942, the Battle of Kursk in 1943, and especially in 1944 when they destroyed the German air force as a fighting force. Even on land western allied interventions were important. German forces that could’ve been decisive at Stalingrad were diverted by the occupation of Vichy France and the Torch Landings. The invasion of Sicily convinced Hitler to stop the offensive at Kursk, while Hitler’s obsession with the expected invasion of Western Europe in 1944 meant less reserves for the Eastern Front.

The Soviet Union deserves credit as the power that did the most to defeat Nazi Germany during World War 2, but it couldn’t have won the conflict without the Western Allies.
 
Ijapokuwa ni vyema hizi nchi za west nazo zipate upinzani maana wangekuwa wako free kuiendesha Dunia bila upinzani au ushindani, mambo yangekuwa ya hovyo mno
 
Mzee urusi kapoteza watu wake wengi sana kwenye hii vita.. ilikua lazima Marekani na uingereza kumsaidia maana hawakua na jinsi.
 
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.
We jamaa hua ni punga sio bure. Kwanza kabisa USSR unayodai ilisaidiwa ilishaanguka miaka ya 90 pia sidhani kama hata hiyo USSR as we speak imeyavamia mataifa mengi ikilinganishwa na USA na washirika wake baada ya ya vita ya pili ya dunia. Una hoja nyingi za kipuuzi ila ya leo imevuka mipaka
 
Unajuaje Hitler wa Ujerumani alikuwa na uwezo wa kumshinda Stalin wa Soviet Union?

Pia, kama Hitler angeshinda vita dhidi ya Soviet Union, unajuaje kuwa hilo lisingemfanya Hitler kuwa adui mwenye nguvu zaidi ambaye Marekani angeshindwa kumdhibiti?

Umesoma kazi gani za historia kuhusu hili jambo?

Umekisoma "Yalta : The Price of Peace" cha S.M Plokhy ?

20250903_085530.jpg

Yalta : The Price of Peace.

A major new history of the eight days in February 1945 when FDR, Churchill, and Stalin decided the fate of the world

Imagine you could eavesdrop on a dinner party with three of the most fascinating historical figures of all time. In this landmark book, a gifted Harvard historian puts you in the room with Churchill, Stalin, and Roosevelt as they meet at a climactic turning point in the war to hash out the terms of the peace.

The ink wasn't dry when the recriminations began. The conservatives who hated Roosevelt's New Deal accused him of selling out. Was he too sick? Did he give too much in exchange for Stalin's promise to join the war against Japan? Could he have done better in Eastern Europe? Both Left and Right would blame Yalta for beginning the Cold War.

Plokhy's conclusions, based on unprecedented archival research, are surprising. He goes against conventional wisdom-cemented during the Cold War- and argues that an ailing Roosevelt did better than we think. Much has been made of FDR's handling of the Depression; here we see him as wartime chief. Yalta is authoritative, original, vividly- written narrative history, and is sure to appeal to fans of Margaret MacMillan's bestseller Paris 1919
 
We jamaa hua ni punga sio bure. Kwanza kabisa USSR unayodai ilisaidiwa ilishaanguka miaka ya 90 pia sidhani kama hata hiyo USSR as we speak imeyavamia mataifa mengi ikilinganishwa na USA na washirika wake baada ya ya vita ya pili ya dunia. Una hoja nyingi za kipuuzi ila ya leo imevuka mipaka
Wewe kilaza mwenye mdomo mchafu katika USSR Urusi ilikuwa inakomba misaada yote, mikopo yote na inanyonya kwa nguvu vassals states zilizo kwenye huo ushirika kwa kodi na rasilimali watu kufanikisha mambo yake.
 
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.
Nafikiri aliefanya makosa ya kuungana ni USSR, Maana licha ya USSR kumshinda Mjeruman wenzake walikuwa wanampigia mahesabu wamshabmbulie pale atapomalizana na Mjerumani. (Operation Unthinkable)
 
Udumavu wa uchumi na udikteta.
Mbona china Ina Maendeleo kuliko Belgium, Italy German yenyewe UK and the likes !?

And the way navyoona sera za USA zilivyo anavyo zivamia nchi nyingine na kuzipora Rasilimali kusababisha machafuko katika hizo nchi kuwa ua viongozi kama gadafi etc Kuna tofauti Gani hapo na udikteta ??

Kuwa ua wanaharakati waliokuwa wanapinga sera kandamizi dhidi ya watu weusi kama martin Luther Malcolm x and the likes Kuna tofauti ipi na udikteta!?
 
Lilikuwa jqmbo la mkakati, kama umoja wao ungedumu Kati ya NAZI na USSR hawa jamaa wasingelishikika

Bora walivyogeukana wakaanza na tatizo kubwa Kisha dogo ndio maana USSR ilipanganyalika
 
Putin amebobea kwenye propaganda.
Hakuna nchi inaishinda Marekani katika Propaganda! na ndiyo maana mpaka leo vijana wetu wanasoma Historia kuwa Uingereza na Washirika wake ndiyo walipigana na Ujeruman WW2 kumbe Uingereza haikushiriki ata kwa 30% katika hiyo vita.
 
Lilikuwa jqmbo la mkakati, kama umoja wao ungedumu Kati ya NAZI na USSR hawa jamaa wasingelishikika

Bora walivyogeukana wakaanza na tatizo kubwa Kisha dogo ndio maana USSR ilipanganyalika
USSR haikuwai kuwa ushirika na NAZI.
 
Mbona china Ina Maendeleo kuliko Belgium
China haina maendeleo kuliko Belgium, labda useme uchumi mkubwa, hata hivyo hayo maendeleo ya China yalipatikana baada ya kuachana na sehemu kubwa sera za kikomunisti katika uchumi na kuanza kukumbatia sera za soko huru.
 
Kuna hoja nyingi haujajibu
 
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.
Hao Ulaya na Marekani walipumua baada ya USSR kumtwanga Hitler the Fuhrer. Kabla ya hapo Walikalishwa chini vizuri kabisa, unamchukuliaje Hitler! Hao marekani walikuwa wapi tangu Mwanzo mpaka mwamba akaendeleza vita USSR.

Na WW2 mshindi ni USSR sio hao ulaya na Marekani kama tunavoaminishwa na walimu wetu wa history form 4 for Tanzania Students.
 
Back
Top Bottom