Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #61
Nguvu ya ushawishi ndio kipimo cha maendeleo?We're talking about now kuhusu swala la ufumbuzi mataifa mengi tu yameshiriki katika gunduzi mbali mbali na zungumzia nguvu ya ushawishi uliopo katika mataifa ambayo ni super power katika hii Era
Kuanzia siasa uchumi technology na nguvu ya kijeshi , Mbona katka hii Era Belgium haingii hata robo Kwa mchina be honestly
Kati ya China na Canada nchi gani imeendelea zaidi?