Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

Yaani China Haina Maendeleo kuliko Belgium!? Tunapo zungumzia Maendeleo tuna tizama nini na nini !? Unazingua ujue 🤣🤣
China haina maendeleo kuliko Belgium, labda useme uchumi mkubwa, hata hivyo hayo maendeleo ya China yalipatikana baada ya kuachana na sehemu kubwa sera za kikomunisti katika uchumi na kuanza kukumbatia sera za soko huru.
 
Kasome tena historia kwa undani zaidi walikuwa hawana chaguo zaidi ya kuingia vitani. And mind you USSR ndio walikuwa wa kwanza kuingia pale Berlin yani wao wanapaswa kuchukua credit zaidi za kumpiga hitler kuliko mtu mwingine yeyote.
Kasome Hitler alivyombagaza PM wa Britain kama mtoto kwa demand kama za Trump.
Yaani na nafikiri hii kauli aliitoa hicho kipindi, fanya masikhara na Hitler nini.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    17.9 KB · Views: 21
Licha ya msaada wa US kwa USSR kuwepo, msaada huo haukuwa na effect ya moja kwa moja ya Wasoviet kumshushia kipigo Hitler.Ndio maana ukisoma wana-historia wote huwezi ukaona mtu kaandika kuwa et sababu ya Hitler kushindwa na USSR ni msaada kutoka West.
Sababu KUU za Hitler kushindwa na USSR:
1. Population na human labor: Supply ya wanajeshi wa USSR ilikuwa ya kutosha kupita kawaida.
2.Scorshed Earth Policy:Wa- soviet walikua wanahakikisha wanapohama miji - wanaharibu chakula chote, hawaachi chochote - wanajeshi wa Hitler njaa ikaanza kuwa tatizo huku supply zao zikilengwa kwa kuviziwa:
3.Industrial capacity: Stalin alihamasisha industrial capacity out put sio mchezo.Risasi, vifaru, magari vita etc...na walivyokuwa na maamuzi magumu wakapeleka viwanda vyote Urals huko ambako ni ngumu Germany kufika.
4.Dicisive battles zote zilikuwa kati ya pure SOVIET Machines na Germany machines (Hao west wengine sijui US machine zao hazokuhusika) Mfano the battle of Kursk:The largest ever tank battle ilikuwa kati ya Ts za Msoviet versus machine za Mjerumani.Hitler alikaa hapa.
5.Silaha zote mashuhuri zilizobadirisha mchezo zilikuwa za Kisoviet pure- Mosin Nagant rifle - simble of resistance:Simple to operate, produced in quantities.Katyusha rocket launcher- Wajerumani walikutana na jini la moto ambalo hawakutarajia.
6.Mazingira : Baridi & ardhi ya matope:Leopard zinazama tu..watu wanapigwa vyuma.
Thus:
West waliishatepeta- kwanza wote waliishasalimu amri isipokuwa Uingereza aliyekuwa ananyeshewa mvua za mabomu..
Hata US angeuchuna...wasoviet waliishaingia kwenye form, Hitler angekaa tu, lilikua ni suala la muda.
 
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.
Wala hawajakosea walishafanya ujasusi wakaona ni hatari zaidi Ujerumani ingetawala ASIA yote.. maana cha moto wangekiona. We fikilia hilter angewanya nini..Waltons ni nafuu zaidi kumkabili Russia kidogo kidogo kupitia Ukrane, Poland na Finland ..kuliko kama kumuacha Ujerumani ashindee Ile vita. Ideology ya Ujerumani ilikuwa nikuchukua ulaya yote.. trust me kwa kipindi kile alikuwa anao uwezo..ili kumzithibiti German ilibidi inchi nyingi ziunganee kupambanee naye. Walishinda lakini cha moto walikiona..
 
USSR ilipata $11.3 billion kutoka mpango wa U.S Lend-Lease program.
Usiwajibu hao mazwazwa mkuu...angejua game changer WA Ile vita asingekomenti ujinga hapa....
Anadhani ujerumani angekuwa anapigana na single war front urusi angefurukuta!?
 
Unajuaje Hitler wa Ujerumani alikuwa na uwezo wa kumshinda Stalin wa Soviet Union?

Pia, kama Hitler angeshinda vita dhidi ya Soviet Union, unajuaje kuwa hilo lisingemfanya Hitler kuwa adui mwenye nguvu zaidi ambaye Marekani angeshindwa kumdhibiti?

Umesoma kazi gani za historia kuhusu hili jambo?

Umekisoma "Yalta : The Price of Peace" cha S.M Plokhy ?

View attachment 3463917

Yalta : The Price of Peace.
Hata kama Hitler asingeishinda USSR lakini mwisho wa vita ingeibuka ikiwa dhaifu sana na mkondo wa vita baridi ungechukua uelekeo mwingine kabisa kama sio kutokuwepo. Hitler asingekuwa adui mkubwa zaidi wa Marekani kwa sababu hakuwa na sababu za kuwa adui na Marekani, malengo ya Hitler yalikuwa kuitanua Ujerumani kuelekea Ulaya Mashariki.
 
Iliwahi, Molotov-Ribbentrop Pact, 1939.
Huu mkataba haukumaanisha hawa ni washirika isipokuwa ulikuwa na lengo la kuweka Buffer zine kati ya USSR na Ujeruman ya Nazi, ni sawa na leo unaona Ukraine na Urusi wanapigana ila katika masharti ya kumaliza vita basi kuwe na Buffer Zone, ukiona mtu anaweka Buffer zone nawewe means hakuamini! kama Israel alivyoweka Buffer zone na Syria.
 
Wala hawajakosea walishafanya ujasusi wakaona ni hatari zaidi Ujerumani ingetawala ASIA yote.. maana cha moto wangekiona. We fikilia hilter angewanya nini..Waltons ni nafuu zaidi kumkabili Russia kidogo kidogo kupitia Ukrane, Poland na Finland ..kuliko kama kumuacha Ujerumani ashindee Ile vita. Ideology ya Ujerumani ilikuwa nikuchukua ulaya yote.. trust me kwa kipindi kile alikuwa anao uwezo..ili kumzithibiti German ilibidi inchi nyingi ziunganee kupambanee naye. Walishinda lakini cha moto walikiona..
Hitler hakuwa anataka kuitawala Ulaya yote au Asia, hata kama alikuwa anataka hivyo asingeweza pia, labda angeishia kuitawala nusu ya Urusi tu
Licha ya msaada wa US kwa USSR kuwepo, msaada huo haukuwa na effect ya moja kwa moja ya Wasoviet kumshushia kipigo Hitler.Ndio maana ukisoma wana-historia wote huwezi ukaona mtu kaandika kuwa et sababu ya Hitler kushindwa na USSR ni msaada kutoka West.
Sababu KUU za Hitler kushindwa na USSR:
1. Population na human labor: Supply ya wanajeshi wa USSR ilikuwa ya kutosha kupita kawaida.
2.Scorshed Earth Policy:Wa- soviet walikua wanahakikisha wanapohama miji - wanaharibu chakula chote, hawaachi chochote - wanajeshi wa Hitler njaa ikaanza kuwa tatizo huku supply zao zikilengwa kwa kuviziwa:
3.Industrial capacity: Stalin alihamasisha industrial capacity out put sio mchezo.Risasi, vifaru, magari vita etc...na walivyokuwa na maamuzi magumu wakapeleka viwanda vyote Urals huko ambako ni ngumu Germany kufika.
4.Dicisive battles zote zilikuwa kati ya pure SOVIET Machines na Germany machines (Hao west wengine sijui US machine zao hazokuhusika) Mfano the battle of Kursk:The largest ever tank battle ilikuwa kati ya Ts za Msoviet versus machine za Mjerumani.Hitler alikaa hapa.
5.Silaha zote mashuhuri zilizobadirisha mchezo zilikuwa za Kisoviet pure- Mosin Nagant rifle - simble of resistance:Simple to operate, produced in quantities.Katyusha rocket launcher- Wajerumani walikutana na jini la moto ambalo hawakutarajia.
6.Mazingira : Baridi & ardhi ya matope:Leopard zinazama tu..watu wanapigwa vyuma.
Thus:
West waliishatepeta- kwanza wote waliishasalimu amri isipokuwa Uingereza aliyekuwa ananyeshewa mvua za mabomu..
Hata US angeuchuna...wasoviet waliishaingia kwenye form, Hitler angekaa tu, lilikua ni suala la muda.
Huelewi chochote, wachambuzi wengi wanasema bila msaada wa Marekani na US kuingia kwenye hiyo vita ingechukua muda mrefu sana, sehemu ya Urusi ingechukuliwa na Ujerumani na kusingekuwepo na USSR tena.
 
Yaani China Haina Maendeleo kuliko Belgium!? Tunapo zungumzia Maendeleo tuna tizama nini na nini !? Unazingua ujue 🤣🤣
Wastani wa kipato cha wananchi, huduma za kijamii, miondombinu, life expectancy, elimu, mazingira, uhuru wa raia n.k
 
Hata kama Hitler asingeishinda USSR lakini mwisho wa vita ingeibuka ikiwa dhaifu sana na mkondo wa vita baridi ungechukua uelekeo mwingine kabisa kama sio kutokuwepo. Hitler asingekuwa adui mkubwa zaidi wa Marekani kwa sababu hakuwa na sababu za kuwa adui na Marekani, malengo ya Hitler yalikuwa kuitanua Ujerumani kuelekea Ulaya Mashariki.
Kwanza kabisa hujajibu maswali yangu mawili umeweka upande wako tu.

Pili, ukisema kuwa Hitler hakuwa na uadui na Marekani alikuwa na lengo la kutanua Ujerumani kuelekea Ulaya Mashariki tu, basi inaonekana huelewi kabisa historia, huelewi maana ya Third Reich.

Hitler alitaka Ujerumani itawale dunia kwa angalau miaka 1,000.
 
Licha ya msaada wa US kwa USSR kuwepo, msaada huo haukuwa na effect ya moja kwa moja ya Wasoviet kumshushia kipigo Hitler.Ndio maana ukisoma wana-historia wote huwezi ukaona mtu kaandika kuwa et sababu ya Hitler kushindwa na USSR ni msaada kutoka West.
Sababu KUU za Hitler kushindwa na USSR:
1. Population na human labor: Supply ya wanajeshi wa USSR ilikuwa ya kutosha kupita kawaida.
2.Scorshed Earth Policy:Wa- soviet walikua wanahakikisha wanapohama miji - wanaharibu chakula chote, hawaachi chochote - wanajeshi wa Hitler njaa ikaanza kuwa tatizo huku supply zao zikilengwa kwa kuviziwa:
3.Industrial capacity: Stalin alihamasisha industrial capacity out put sio mchezo.Risasi, vifaru, magari vita etc...na walivyokuwa na maamuzi magumu wakapeleka viwanda vyote Urals huko ambako ni ngumu Germany kufika.
4.Dicisive battles zote zilikuwa kati ya pure SOVIET Machines na Germany machines (Hao west wengine sijui US machine zao hazokuhusika) Mfano the battle of Kursk:The largest ever tank battle ilikuwa kati ya Ts za Msoviet versus machine za Mjerumani.Hitler alikaa hapa.
5.Silaha zote mashuhuri zilizobadirisha mchezo zilikuwa za Kisoviet pure- Mosin Nagant rifle - simble of resistance:Simple to operate, produced in quantities.Katyusha rocket launcher- Wajerumani walikutana na jini la moto ambalo hawakutarajia.
6.Mazingira : Baridi & ardhi ya matope:Leopard zinazama tu..watu wanapigwa vyuma.
Thus:
West waliishatepeta- kwanza wote waliishasalimu amri isipokuwa Uingereza aliyekuwa ananyeshewa mvua za mabomu..
Hata US angeuchuna...wasoviet waliishaingia kwenye form, Hitler angekaa tu, lilikua ni suala la muda.
I second You GT
 
Hitler hakuwa anataka kuitawala Ulaya yote au Asia, hata kama alikuwa anataka hivyo asingeweza pia, labda angeishia kuitawala nusu ya Urusi tu

Huelewi chochote, wachambuzi wengi wanasema bila msaada wa Marekani na US kuingia kwenye hiyo vita ingechukua muda mrefu sana, sehemu ya Urusi ingechukuliwa na Ujerumani na kusingekuwepo na USSR tena.
Basi nami nakusaidia kuwa wako wachambuzi wanaotilia shakha ushirika wa US na USSR kama ulikuwa wa nia ya dhati au lah? unajua kwanini?

1. Wakati USSR akielekea kuishinda Ujerumani nchi za Magharibi zilikuwa zikijiandaa kwa Operation ya kuipiga USSR (Operation Unthinkable).

2. US alimuomba USSR akifanikiwa kummliza kabisa Ujerumani basi atoe wanajeshi wake waende kuishamblia Japan kupitia China na USSR alifanya hivo mara baada ya kumaliza kwa Ujerumani.
 
Wastani wa kipato cha wananchi, huduma za kijamii, miondombinu, life expectancy, elimu, mazingira, uhuru wa raia n.k
Elimu mbona sioni Belgium wakiwa namchango wowote mkubwa kidunia kuhusu Technology na siasa za kimataifa kuliko china !?

Elimu Yao walivyo mzidi mchina wanaitumia Kwa manufaa yapi haswaa Ambayo manufaa hayo mchina kashindwa kuya tekeleza !?
 
Kwanza kabisa hujajibu maswali yangu mawili umeweka upande wako tu.

Pili, ukisema kuwa Hitler hakuwa na uadui na Marekani alikuwa na lengo la kutanua Ujerumani kuelekea Ulaya Mashariki tu, basi inaonekana huelewi kabisa historia, huelewi maana ya Third Reich.

Hitler alitaka Ujerumani itawale dunia kwa angalau miaka 1,000.
Hembu jaribu kufanya tafakari za kina zaidi katika hili jambo, pia jaribu kuchuja uhalisia kutoka hyperboles, na propaganda za vita. Hitler hakuwahi kutaka kuitawala dunia, hata hakuwa na mpango wa kuitawala Ulaya yote, ni sababu tu kimkakati za kivita na unxepected outcomes katika mipango yake ya kivita kwenda vibaya. Mfano aliivamia Ufaransa ili iwe rahisi kupigana na Uingereza baada ya Uingiereza kutangaza vita dhidi ya Ujerumani alipoivamia Poland(Ulaya mashariki), Hakuzivamia nchi nyingine nyingi tu za Ulaya mpaka mwisho wa vita. Lengo kubwa la Hitler lilikuwa Ulaya Mashariki hasa Urusi.
 
Elimu mbona sioni Belgium wakiwa namchango wowote mkubwa kidunia kuhusu Technology na siasa za kimataifa kuliko china !?

Elimu Yao walivyo mzidi mchina wanaitumia Kwa manufaa yapi haswaa Ambayo manufaa hayo mchina kashindwa kuya tekeleza !?
Unauliza mchango wa Belgium au maendeleo ya Belgium? Hata hivyo ni kwa sababu ya uvivu wa kufuatlia, nikusaidie kwa uchache, WorldWideWeb(WWW) unayotumia, Plastic unazotumia kila kona, BMI katika afaya na ujenzi wa barabara za lami ni vumbuzi za Wabelgiji au mchango wa ni mkubwa zaidi katika hizo vumbuzi.
 
We're talking about now kuhusu swala la ufumbuzi mataifa mengi tu yameshiriki katika gunduzi mbali mbali na zungumzia nguvu ya ushawishi uliopo katika mataifa ambayo ni super power katika hii Era

Kuanzia siasa uchumi technology na nguvu ya kijeshi , Mbona katka hii Era Belgium haingii hata robo Kwa mchina be honestly
Unauliza mchango wa Belgium au maendeleo ya Belgium? Hata hivyo ni kwa sababu ya uvivu wa kufuatlia, nikusaidie kwa uchache, WorldWideWeb(WWW) unayotumia, Plastic unazotumia kila kona, BMI katika afaya na ujenzi wa barabara za lami ni vumbuzi za Wabelgiji au mchango wa ni mkubwa zaidi katika hizo vumbuzi.
 
Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike naye na u-NAZI wake. Kama wangefanya hivyo leo West wasingekuwa wanahangaika na Urusi kama wanavyohngaika nayo. Pia wangeyaepusha mataifa mengi kuangukia katika mikono ya USSR, siasa za kikomunisti na vita baridi ya muda mrefu iliyofuatia.
Kwa hiyo Russia angeshindwa na Germany....unajua kuwa mrusi kaua 17 kati ya 20 na West na USA kwa pamoja wameua 3 kati ya 20
 
Basi nami nakusaidia kuwa wako wachambuzi wanaotilia shakha ushirika wa US na USSR kama ulikuwa wa nia ya dhati au lah? unajua kwanini?

1. Wakati USSR akielekea kuishinda Ujerumani nchi za Magharibi zilikuwa zikijiandaa kwa Operation ya kuipiga USSR (Operation Unthinkable).

2. US alimuomba USSR akifanikiwa kummliza kabisa Ujerumani basi atoe wanajeshi wake waende kuishamblia Japan kupitia China na USSR alifanya hivo mara baada ya kumaliza kwa Ujerumani.
Ni hivi US alikuwa anaisaidia USSR akijua sio rafiki zao na wao wakijua hivyo pia bali inawabidi tu kwa sababu waliamini Hitler ni adui yao mkubwa zaidi, baadhi ya Wamarekani mashuhuri kama General Patton na Omar Bradley walikuwa hata wanaamini na wanasema wazi wakati vita inaendelea kwamba USSR ni uovu mkubwa zaidi ambao ulipaswa kushughulikwa mara moja baada ya kumshinda Hitler.
 
Hembu jaribu kufanya tafakari za kina zaidi katika hili jambo, pia jaribu kuchuja uhalisia kutoka hyperboles, na propaganda za vita. Hitler hakuwahi kutaka kuitawala dunia, hata hakuwa na mpango wa kuitawala Ulaya yote, ni sababu tu kimkakati za kivita na unxepected outcomes katika mipango yake ya kivita kwenda vibaya. Mfano aliivamia Ufaransa ili iwe rahisi kupigana na Uingereza baada ya Uingiereza kutangaza vita dhidi ya Ujerumani alipoivamia Poland(Ulaya mashariki), Hakuzivamia nchi nyingine nyingi tu za Ulaya mpaka mwisho wa vita. Lengo kubwa la Hitler lilikuwa Ulaya Mashariki hasa Urusi.
Nimekuuliza umesoma kazi gani ya kihistoria kuhusu suala hili, hujajibu.

Hii itasaidia kujua maneno yako yanaendana na usomi gani, si maneno uliyoyatoa kichwani kwa hekaya zako tu.

Umemsoma William L. Shirer katika "The Rise and Fall of The Third Reich : A History of Nazi Germany" ?

Umesoma trilogy ya Richard J. Evans

1. The Coming Of The Third Reich
2. The Third Reich In Power
3. The Third Reich At War

20250903_103623.jpg

20250903_103705~2.jpg
 
Back
Top Bottom