ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Acha kuzingua, unadhani Kwa nini kunakuja ulazima wa kuongeza debt ceiling?Debt ceiling is a political problem, not an economic problem.
Hakuna hata haja ya kuwa na debt ceiling, it is something uniquely American. Wamejiwekea wenyewe speed governor.
Ndiyo maana huwezi kusikia mzozo wa debt ceiling Uingereza au Japan.
Hapana.Acha kuzingua, unadhani Kwa nini kunakuja ulazima wa kuongeza debt ceiling? Jibu ni kwamba hakuna hela za kulipa madeni yaliyoiva.
Kwa nini Debt ceiling iliongezwa? Kwa nini Wasiongeze Kodi kama deni linalipika? Kwani Nchi ambazo kuketokea sintofahamu ya Kisiasa kama Kenya shida ilikuwa ni nini kama sio kuongeza Kodi za kulipa madeni baada ya kufikia Ukomo wa debt ceiling?Hapana.
Hili ni tatizo la kifalsafa kati ya wale wenye mawazo ya kizamani kwamba hela zitaisha, au tutawarithisha madeni mengi vizazi vijavyo na wale wanaosema kuwa ukiwa una control ya pesa, hakuna tatizo hilo.
Ungemsoma Paul Krugman ungeona kuwa deni la Marekani hata kulipika linalipika kwa kuwa na kodi ndogo tu ambayo Wamarekani wanaweza kuilipa, tatizo ni siasa, Republicans hawataki kuongeza kodi.
Yani hao hao watu wanaojifanya hawataki deni, ukiwapa mpango wa kulipa deni kwa kuongeza kodi kidogo tu, hawataki kulipa kodi.
Tatizo la deni Marekani ni la kisiasa, si la kiuchumi.
Paul Krugman kaandika vizuri sana.
Tatizo Watanzania hamtaki kusoma.
Mkuu,Kwa nini Debt ceiling iliongezwa? Kwa nini Wasiongeze Kodi kama deni linalipika? Kwani Nchi ambazo kuketokea sintofahamu ya Kisiasa kama Kenya shida ilikuwa ni nini kama sio kuongeza Kodi za kulipa madeni baada ya kufikia Ukomo wa debt ceiling?
Hawajui chochote kuhusu Uchumi hao nyumbu ila wanajifanya Wana maelezo meengi.
Uchumi sio formula za Force of Gravity
Sikupingi uko sahihiUchumi sio wa Kila mtu ila Kila mtu hujifanya anajua uchumi kisa ana duka la mangi na kampuni uchwara 😆😆
Hawajui kwamba debt management ni course ya semister nzima