Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Jadili hoja, acha viroja.Hahaha kweli wewe kujiita Kiranga haukukosea
Nimekuwekea hoja za kisomi hujaweza kuzijibu, unabakia kuninyanyapaa kimipasho tu.
Ad hominem logical fallacy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili hoja, acha viroja.Hahaha kweli wewe kujiita Kiranga haukukosea
Na Wayemeni wanaendelea kuwakamuwa huko bahari nyekundu.Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani.
View attachment 3067380
Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi.
Kuna sababu kadhaa zinazotajwa kuifanya serikali ya Marekani au unaweza kuiita the Federal Government ifikie hatua ya kukopa kutoka kwa wakopeshaji (creditors) wa ndani au wa nje ni kuongezeka matumizi ya serikali kuliko mapato yanayokusanywa.
Hii imepelekea Marekani iwe na ufinyu wa bajeti (deficit budget), bajeti ya serikali inapokuwa kubwa kuzidi mapato yake. Kwa mfano:
Mwaka wa fedha wa 2023 serikali ya Marekani ilitumia $6.13 trillion na kukusanya $4.44 trillion tu.
–The Fed
Mara ya mwisho Marekani kuwa na ziada ya bajeti (surplus budget) yaani matumizi ya serikali yanapokuwa chini ya mapato yanayokusanywa kupitia kodi, ilikuwa ni 2001.
Sehemu kubwa ya pesa ambazo Marekani inakusanya ili kufidia ufinyu wa gharama ni kwa kuuza bonds.
Kwa sasa kwa wastani Marekani inatengeneza deni la $1 trillion kila baada ya siku 100 au $10 billion kwa siku.
Jadili hoja, acha viroja.
Nimekuwekea hoja za kisomi hujaweza kuzijibu, unabakia kuninyanyapaa kimipasho tu.
Ad hominem logical fallacy.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza, uchumi wa dunia kwa sasa hivi upo mikononi mwa Wayemeni.Hata hawahitaji kuchapisha dola nyingi kulipa deni. Kufanya hivyo kuta devalue dola.
As long as wao ndio wana hela yenye nguvu duniani na ndio wanao control uchumi wa dunia, hilo deni linakuwa halina impact.
Serikali ya Marekani inaweza kukopa kutoka global financials at very low interest rates.
Pia, deni hili linashikiliwa na entities nyingi. Federal government ya US, pamoja na Social Security Trust Fund inashikilia kama 20% tu ya deni hili. Sehemu nyingine 40% inashikiliwa na US savers, pensions, mutual funds na financial institutions, sehemu nyingine zinashikikiwa na wawekezaji wa nje kama Japan na UK.
Hili deni liko convoluted sana kiasi kwamba si deni la kudai straight up, ukilidai hivyo hata wewe unayedai uchumi wako unaweza kuanguka.
Paul Krugman aliandika article kueleza kwa nini deni la taifa la Marekani sio big deal.
Kaeleza kirefu kuliko ninavyoweza, this is a Nobel laureate (Economics, 2008)
responsiblestatecraft.org
China walianza kuziuza mwezi Febuari mwaka huu soon na mataifa mengine yatafuata .
Yani hicho ndicho ulichopata baada ya kuandika yote hayo na kuweka article ya Paul Krugman?Sijaona hoja yoyoye uliyotoa
Kwamba hoja yako kuwa deni la Marekani ni drama?
Yani hicho ndicho ulichopata baada ya kuandika yote hayo na kuweka article ya Paul Krugman?
Au hujui Kiingereza?
This logical fallacy is called ad hominem.Hakuna chochote cha maana labda ukaongeze uelewa kuhusu Federal Debt labda ndio tutaweza kuja kukaa na kuongea.
Kwa sasa wewe ni mweupe sana kwenye hii mada. Umedandia treni kwa mbele
This logical fallacy is called ad hominem.
Unaacha hoja zilizowekwa mezani, unamshambulia mtoa hoja.
Kwa sababu huwezi kuchambua hoja.
Kuna financial crisis ambayo itaiathiri sana US inakuja, actually crisis hii ni globally na itatokea very soon, kibaya kutakuwa pia na severe pandemic, yaani corona cha mtoto.Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani.
View attachment 3067380
Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi.
Kuna sababu kadhaa zinazotajwa kuifanya serikali ya Marekani au unaweza kuiita the Federal Government ifikie hatua ya kukopa kutoka kwa wakopeshaji (creditors) wa ndani au wa nje ni kuongezeka matumizi ya serikali kuliko mapato yanayokusanywa.
Hii imepelekea Marekani iwe na ufinyu wa bajeti (deficit budget), bajeti ya serikali inapokuwa kubwa kuzidi mapato yake. Kwa mfano:
Mwaka wa fedha wa 2023 serikali ya Marekani ilitumia $6.13 trillion na kukusanya $4.44 trillion tu.
–The Fed
Mara ya mwisho Marekani kuwa na ziada ya bajeti (surplus budget) yaani matumizi ya serikali yanapokuwa chini ya mapato yanayokusanywa kupitia kodi, ilikuwa ni 2001.
Sehemu kubwa ya pesa ambazo Marekani inakusanya ili kufidia ufinyu wa gharama ni kwa kuuza bonds.
Kwa sasa kwa wastani Marekani inatengeneza deni la $1 trillion kila baada ya siku 100 au $10 billion kwa siku.
Sasa kama unauonea huruma muda wako mbona unajibizana nami bado?Hoja yako ni ya kijinga unasema kuwa US public debt ni political drama.
Kweli nipoteze muda kuchambua hoja kama hiyo mkuu?
Nauonea huruma muda wangu. Kama ni uchambuzi nimeshafanya na watu wanaojielewa scroll up utaona
Sasa kama unauonea huruma muda wako mbona unajibizana nami bado?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Unajua unachotaka ni nini?
Hapana, hujui kusoma na kufuatilia mada tu. Niliulizwa nikajibu kirefu kuhusu habari ya kuchapisha dola mpaka hatari za inflation.Hoja yako hii hapa ukisema Marekani wachapishe dollars za kutosha walipe deni niliposoma tu hapa nikapata picha juu ya uelewa wako
View attachment 3068193
Unalitendea haki jina ulilojipa kiranga
Haiondoi ukweli kwamba deni linapaa,na pesa huchapishi tu kama karata za kuchezea last card na arba'a sittiniDeni la taifa la Marekani, lililo katika dola za Kimarekani, wanazozi control na kuzichapisha Wamarekani, halina usawa na deni la taifa la nchi nyingine.
Kwa sababu wao ndio wana control na kuchapisha dola za Kimarekani.
Ni sawa na serikali ya Tanzania idaiwe katika shilingi za Kitanzania, hela ambazo ina uwezo wa kuzichapisha.
Kitu muhimu ni ku control inflation tu.
Kote iko hivyo,hata tz kuna deni la ndani na la nje, serikali hukopa benki na kwa akina bakhresaUS National debt imegawanyika sehemu mbili
Debt held by the public Intragovernmental debt
Hapo kwenye debt held by public ndio kuna
Domestic holders of federal debt Foreign holders of federal debtDomestic holders of federal debt hawa ni creditors wa ndani kama mutual funds, commercial banks, pension funds, insurers, corporations na private investors.
Foreign holders of federal debt ni creditors wa nje hapa unazungumzia foreign central banks na foreign private investors walionunua bonds za Marekani. Ambapo kwa sasa mataifa yanayoshikilia sehemu kubwa ya deni la Marekani ni Japan na China wakifuatiwa na mataifa mengine.
Intragovernmental debt ni deni la ndani ya serikali ya Marekani ambalo ni sehemu moja ya serikali inadaiwa na nyingine
Kuchapisha pesa ina gharama karibuInalipa kwa hela gani?
Hela yake mwenyewe Mmarekani haim cost chochote.
Serikali ya Marekani ndiyo inayochapisha hela za Marekani halafu unasema kulipa interest kwa hela inayochapisha yenyewe, kwa interest rate inayo control yenyewe, kuna impact?
Huelewi wapi?
Kuchapisha pesa ina gharama karibu sawa na thamani ya pesa,ndiyo maana maharamia huchapa feki ili wapate faidaInalipa kwa hela gani?
Hela yake mwenyewe Mmarekani haim cost chochote.
Serikali ya Marekani ndiyo inayochapisha hela za Marekani halafu unasema kulipa interest kwa hela inayochapisha yenyewe, kwa interest rate inayo control yenyewe, kuna impact?
Huelewi wapi?
Sijasema pesa unachapisha tu, as a matter of fact nimeeleza kuwa hata kama unaweza kuchapisha pesa, usipokuwa mak8ni kwenye kuchapisha, unaweza kutengeneza tatizo la inflation.Haiondoi ukweli kwamba deni linapaa,na pesa huchapishi tu kama karata za kuchezea last card na arba'a sittini
Hapa umeandika jambo linalojipinga.Kuchapisha pesa ina gharama karibu
Kuchapisha pesa ina gharama karibu sawa na thamani ya pesa,ndiyo maana maharamia huchapa feki ili wapate faida
Then kwa nini maharamia hawachapishi originals ili wapigwe faida?Hapa umeandika jambo linalojipinga.
Ingekuwa kuchapisha pesa kuna gharama karibu sawa na thamani ya pesa, maharamia wangepataje faida?
Uzuri wa Marekani mifumo yote iko wazi.
Gharama za kuchapisha fedha za dola za Marekani zimewekwa wazi na Fwderal Reserve (Benki Kuu ya Marekani).
Noti yenye gharama kubwa kabisa kuchapisha ni dola 100, ambayo gharama za kuichapisha ni senti 8.6.
Haifikii hata senti 10 za Kimarekani.
Thats 0.086% of the face value.
![]()
How much does it cost to produce currency and coin?
The Federal Reserve Board of Governors in Washington DC.www.federalreserve.gov