Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Elezea kwa kiswahili basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea kwa kiswahili basi
Dola ni makaratasi tu yakipungua watu wanachapisha mengine, siyo kama madini yakipungua ni kweli yamepungua na wala uwezi kuyaongezea yajae huko chini aridhini!!USA Ameshalalamikiwa sana kwa kuchapisha pesa kuongeza kwnye mzunguko
Wwe tatizo lako umekariri sana elimu ya makaratasi, toka huko and think out of the box!! Kumbuka kua vita ya Uchumi ni ngumu sana!!Kwa hiyo dawa ni kuchapisha dollars sio?
Kwa hiyo the U.S Treasury na Federal Reserve waiamuru the Bureau of Engraving and Printing iprint notes walipe madeni?
Hata hawahitaji kuchapisha dola nyingi kulipa deni. Kufanya hivyo kuta devalue dola.Unamaanisha watachapisha Dola nyingi ili kulipa hilo deni?
Tatizo deni la TZ linadaiwa kwa US dollars ambazo TZ haina control nazo. TZ inakuwa rated na rating institutions za US ambazo haina control nazo. Kifupi TZ haina control na deni lake kama US.Msisahau kuwa hata Tz deni limeongezeka kwa siku miamoja kwa kiasi cha trillion 37.0
Kwa hiyo dawa ni kuchapisha dollars sio?
Kwa hiyo the U.S Treasury na Federal Reserve waiamuru the Bureau of Engraving and Printing iprint notes walipe madeni?
Deni la taifa la Marekani, lililo katika dola za Kimarekani, wanazozi control na kuzichapisha Wamarekani, halina usawa na deni la taifa la nchi nyingine.
Kwa sababu wao ndio wana control na kuchapisha dola za Kimarekani.
Ni sawa na serikali ya Tanzania idaiwe katika shilingi za Kitanzania, hela ambazo ina uwezo wa kuzichapisha.
Kitu muhimu ni ku control inflation tu.
Kwa hiyo dawa ni kuchapisha dollars sio?
Kwa hiyo the U.S Treasury na Federal Reserve waiamuru the Bureau of Engraving and Printing iprint notes walipe madeni?
Haujajibu swali mkuuWwe tatizo lako umekariri sana elimu ya makaratasi, toka huko and think out of the box!! Kumbuka kua vita ya Uchumi ni ngumu sana!!
As long as wao ndio wana hela yenye nguvu duniani na ndio wanao control uchumi wa dunia, hilo deni linakuwa halina impact.
Deni la taifa la Marekani, lililo katika dola za Kimarekani, wanazozi control na kuzichapisha Wamarekani, halina usawa na deni la taifa la nchi nyingine.
Kwa sababu wao ndio wana control na kuchapisha dola za Kimarekani.
Ni sawa na serikali ya Tanzania idaiwe katika shilingi za Kitanzania, hela ambazo ina uwezo wa kuzichapisha.
Kitu muhimu ni ku control inflation tu.
Hauwezi kusema hilo deni halina impact unakosea sana
Kila mwaka Marekani wanalipa billions of money kama interest payments kwa investors walionunua bonds.
View attachment 3067704
Pia, deni hili linashikiliwa na entities nyingi. Federal government ya US, pamoja na Social Security Trust Fund inashikilia kama 20% tu ya deni hili. Sehemu nyingine 40% inashikiliwa na US savers, pensions, mutual funds na financial institutions,
Hakuna pigo lingine kwa uchumi kwa sababu hata wanaodai hawataki uchumi wa Marekani uanguke, ukianguka na wao utaanguka. Marekani ni "too big to fail".Zisipolipwa ni pigo lingine kwa uchumi wa nchi kwa hiyo lazima walipwe kwa ajili ya economy stabilization.
Kwa hiyo kusema tu deni limeshikwa na entities nyingi bado haujafanya analysis kiuchumi
Na kulipwa wanalipwa, hakuna siku Marekani ime default kulipa deni.
bila nguli la uchumi hapa Dr Nshumbi Madelu hapa hatutoboiMambo ya uchumi magumu sana.
Unaongea kishabiki sana
Unajua mpaka kufikia mwaka 2023 Marekani imesha-raise debt ceiling mara ngapi?
Kwa nini kila mara inapofika ukomo wa kukopa (debt ceiling) wanaongeza kiwango cha ukomo wa kukopa?
Hizo habari za debt ceiling ni drama za kisiasa tu, kwanza kiuchumi debt ceiling haitakiwi hata kuwapo, ni kitu walichojiwekea wenyewe tu.