Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

Where did you get this data from?

Uwezi kuleta misleading statements kama mijadala ya vijiweni kwenu.

Weka source ya vitu unavyoweka.
Screenshot_20240808-113028_Chrome.jpg


SOURCE: U.S dept of the Treasury
 
Deni litazidi kuwa kubwa maana Sasa hivi nchi nyingi zimeanza kuacha kutumia dola Kama fedha ya biashara.
Unaachana kutumia dollar na wakati system za malipo wao ndio wanatengeneza. Unafikiri marekani wamefika apo kwa akili za kijinga za kususa susa
 
Bila kusahau machine za kuhesabia hizo dollar zipo controlled na mfumo wao uitwao SWIFT yaani USA kuwa na deni ni kiini macho wanazuga kwamba na sisi wajinga tuone kwamba tunalingana nao kumbe changa la macho
Deni la Marekani liko kwenye mfumo wa bonds

Kwa hiyo unataka kumaanisha serikali za mataifa mengine ambao wananunua bonds za Marekani ni changa la macho?

Na investors wa ndani ya Marekani walionunua bonds nao wamepigwa changa la macho?

Mambo ya uchumi Kazi kwelikweli
 
Kumbuka kwa mwaka wanalipa deni over 1trillion kutoka kwenye mapato yao.
Hiyo ni interest payments ya bonds waliozouza.

Kulipa hizo pesa ni mojawapo ya mzigo mkubwa wa serikali ya Marekani

Kila mwaka kwenye bajeti ya taifa lazima waweke pesa za kuwalipa walionunua bonds zilizo mature
 
Unaachana kutumia dollar na wakati system za malipo wao ndio wanatengeneza. Unafikiri marekani wamefika apo kwa akili za kijinga za kususa susa
Sisi dunia ya tatu ndio tunafikirua hivyo, Brics Sasa hivi wanatengeneza mfumo wao wa malipo usiitegemea swift.
Kwa akili za kuazima za viongozi wetu ndio wanaweza kuwa haiwezekani.
 
Mambo ya fedha hayapo hivyo chief
Marekani ndo kinara wakuchapisha hela kuliko nchi yeyote duniani ndo maana deficit haziaffect kitu chochote. Jaribu kujielimisha kwa hii topic.

Soma kuhusu Brenton Woods agreement ya kuondoa gold backing kwenye currency ya marekani miaka ya 80 na mikataba na Saudi kuwa petroleum iuzwe kwa USD pekee.

Kuna tofauti kubwa kati ya marekani kuchapisha pesa na nchi kama Tanzania. US Dollar is the global reserve currency hivyo hata wakichapisha ni nhumu kupata hyperinflation kwa sababu kila nchi inahitaji US dollars duniani
 
Kwa hiyo dawa ni kuchapisha dollars sio?

Kwa hiyo the U.S Treasury na Federal Reserve waiamuru the Bureau of Engraving and Printing iprint notes walipe madeni?
Zaidi ya asilimia 80 ya US dollars ni digital currency. Kichapisha ni kuongeza namba kwenye system tu sio physical printing
 
Hilo deni USA anadaiwa na nani?
Kuna wadai wa ndani na wa nje ambao kwa pamoja deni lao huitwa Debt Held By the Public (DHBP).

Halafu kuna intragovernmental debt (deni la ndani ya serikali).

Infographics hizo hapo zitakusaidia kuelewa na madeni wanayoidai Marekani

●Wa ndani (Domestic Holders of Federal Debt)
Screenshot_20240812-095830_Chrome.jpg



●Wa nje (Foreign Holders of Federal Debt)
Screenshot_20240808-083644_Chrome.jpg



●Intragovernmental debt
Screenshot_20240808-110213_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom