Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
National debt ina public debt (deni la serikali) na private debt (madeni ya wananchi).
US National debt imegawanyika sehemu mbili
- Debt held by the public
- Intragovernmental debt
Hapo kwenye debt held by public ndio kuna
- Domestic holders of federal debt
- Foreign holders of federal debt
Domestic holders of federal debt hawa ni creditors wa ndani kama mutual funds, commercial banks, pension funds, insurers, corporations na private investors.
Foreign holders of federal debt ni creditors wa nje hapa unazungumzia foreign central banks na foreign private investors walionunua bonds za Marekani. Ambapo kwa sasa mataifa yanayoshikilia sehemu kubwa ya deni la Marekani ni Japan na China wakifuatiwa na mataifa mengine.
Intragovernmental debt ni deni la ndani ya serikali ya Marekani ambalo ni sehemu moja ya serikali inadaiwa na nyingine