Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii aya inajitosheleza!

Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا

(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,

وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!

Nakualika lunch kigogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]View attachment 1897747
Hujielewi ushaishiwa hoja.
Ktk hiyo ayah wapi imeonesha anazungumziwa mwanamke?
Tuanze na hapo.
 
Nakubaliana na ww! Utotoni Yesu hakufa wala kukatwa, wazazi wake walimkimbizia Misri baada ya Herodi kukusudia kumuua!
Heee wee mie nimezungumzia wapi masuala ya Nabii Issa kutaka kuuliwa utotoni?
Mbona wachanganya mambo?
Nayejua alokimbizwa misri ni Nabii Mussa sio Nabii Issa.
Na ukumbuke unaongea na mtu anayeiamini Quran sio biblia.
 
Unalazimisha hoja ndugu!?
😂😂😂😂😂😂😂😂daaah kweli shida.
Madrasa hujaenda hauna kiwango chochote cha elimu ya Quran kesha unalazimisha hoja.
Pole sana.
Nimekuuliza maswali huko juu hunajibu hata moja kesha walazimisha ujuaji doooh.
Pole yako.
 
Hawa nao walimnyanyasa nani??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Nenda afghanistan ukapate wepesi!
maana waisilamu wanaokimbia kule hawataki wepesi!

Hapo allah ameagiza wapigwe na kulipishwa kodi ya jizya!
Sababu ya wao kupigwa ni Hozi!;
1-Hawamuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho!
2-Hawaharimishi alivyo haramisha mungu!
3-Hawaishiki deen ya haqi!

Hizo sababu na bla bla ulizo jibu ziko wapi kwenye hiyo ayat??
Hamkawiagi kukosoa qauli za haqi za mungu wenu!
au unamgeza muhammad?!
Huna unachokijua .
Nishakufahamu we unalazimisha unachokiamini ndio kiaminike.
Nimekuuliza maswali ila hakuna ulichonijibu.
Nishakufahamu mbwa ukimjua jina hakupi tabu.
NITAENDELEA KUJADILIANA NA WW KM UTANIJIBU MASWALI NILOKUULIZA ILA KINYUME NA HAPO ACHA KUNI QUOTE.
 
Nijibu!;
Hawa nao walimnyanyasa nani??
[emoji116][emoji116]
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

Nenda afghanistan ukapate wepesi!
maana waisilamu wanaokimbia kule hawataki wepesi!

Hapo allah ameagiza wapigwe na kulipishwa kodi ya jizya!
Sababu ya wao kupigwa ni Hozi!;
1-Hawamuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho!
2-Hawaharimishi alivyo haramisha mungu!
3-Hawaishiki deen ya haqi!

Hizo sababu na bla bla ulizo jibu ziko wapi kwenye hiyo ayat??
Hamkawiagi kukosoa qauli za haqi za mungu wenu!
au MAAGIZO HAYATEKELEZI UNATAFUTA KISINGIZIO??[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaitaka pepp ya allah kwa bla bla[emoji56][emoji56]
[emoji116][emoji116]
أَمْ حَسِبْتُمْ أَن تَدْخُلُوا الْجَنَّةَ وَلَمَّا يَعْلَمِ اللَّهُ الَّذِينَ جَاهَدُوا مِنكُمْ وَيَعْلَمَ الصَّابِرِينَ

[ AL I'MRAN - 142 ]
Je! Mnadhani mtaingia Peponi na hali Mwenyezi Mungu hajawapambanua wale miongoni mwenu walio pigana Jihadi, na hajawapambanua walio subiri?
 
Unalazimisha hoja ndugu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah kweli shida.
Madrasa hujaenda hauna kiwango chochote cha elimu ya Quran kesha unalazimisha hoja.
Pole sana.
Nimekuuliza maswali huko juu hunajibu hata moja kesha walazimisha ujuaji doooh.
Pole yako.
qurani ni nyepesi sannaà usiitie ugumu bro!
[emoji116][emoji116]
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

[ AL-QAMAR - 22 ]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
 
Heee wee mie nimezungumzia wapi masuala ya Nabii Issa kutaka kuuliwa utotoni?
Mbona wachanganya mambo?
Nayejua alokimbizwa misri ni Nabii Mussa sio Nabii Issa.
Na ukumbuke unaongea na mtu anayeiamini Quran sio biblia.
Usisahau tulipo toka nilianzia hapa!
[emoji116][emoji116]
mchambuzi tuchambulie hapa!
Jee mwanaume akimkosea adabu mwanamke muumini naye alipize kisasi ili awe na Uhai kama alivyo agiza allah??
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii aya inajitosheleza!

Naenda na akili zako!; Hizi ayat zinashahabiana!
[emoji116][emoji116]
وَبِكُفْرِهِمْ وَقَوْلِهِمْ عَلَىٰ مَرْيَمَ بُهْتَانًا عَظِيمًا

(AN-NISAAI - 156)
Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa,

وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Hivyo basi Ukubaliane na mimi leo Kisa cha kukusudiwa kukatwa Yesu kilikuwa cha Utotoni! Ukubwani Yesu Aliteswa, Akafa, kisha Kufufuka!

Nakualika lunch kigogo sambusa tupate kitimoto na chachandu ya uhakika ushushie na ka-laga bardii kanatoa jasho?
Alihamdulilah![emoji106][emoji123]View attachment 1897747

Umezungumza hapa
[emoji116][emoji116]
Halafu katika hizo ayah hakuna palipoandikwa kuwa Yesu alikufa akafufuka usitake kupindua maana.
Bali Allah amesema Nabii Issa hakufa wala hakusulubiwa bali alimleta mtu wa mfanowe.
 
Ushaishiwa hoja.
Wacha nikuache
Uje na hii singo aliyo kuja nayo allah muham mad kushindwa ligi!; tena hata kwa kuwaahidi watu kungonoka na mahulu.72 wenye makalio uji uji, mito ya gongo, ku-update dhakar isisinyae...mbele ya allah! [emoji2301]

hadi akatumia jambia na kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi
Akashindwa [emoji56][emoji13]
Itakuwa ww[emoji15][emoji2957]

Ukristo Hadi Leo Unadunda [emoji123][emoji106]

Alipo zidiwa akaja na singo hii
[emoji1370][emoji1370]

قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ
1.
Sema: Enyi makafiri!
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
2.
Siabudu mnacho kiabudu;
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
3.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
وَلَا أَنَا عَابِدٌ مَّا عَبَدتُّمْ
4.
Wala sitaabudu mnacho abudu.
وَلَا أَنتُمْ عَابِدُونَ مَا أَعْبُدُ
5.
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
6.
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Hujielewi ushaishiwa hoja.
Ktk hiyo ayah wapi imeonesha anazungumziwa mwanamke?
Tuanze na hapo.
ww teja la kukariri ningeshangaa kama ungeona [emoji13][emoji13]
 
Hao wanawake wa Kiislamu wanaodai kubaguliwa kwa kutoalikwa ktk sherehe za ufunguzi wa Msikiti hawajui kanuni za Kiislamu.

[emoji117]Mbona hawadai haki ya kubaguliwa kwenda kuwazika ndugu zao Makaburini ?
Walikuwa wanalilia chakula cha sherehe tu hao.
 
Asa ulitaka Allah amuache mtume wake auliwe na makafiri?
Allah humuokoa amtakaye.
Hakuna aliyepotoshwa bali wamedhihakiwa .
Unajua maana ya kupotosha mkuu?
ww nakushangaa sana!
sasa hao maaudui na mashetani wa kiwatu muumbaji ni allah!
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِيٍّ عَدُوًّا شَيَاطِينَ الْإِنسِ وَالْجِنِّ يُوحِي بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ زُخْرُفَ الْقَوْلِ غُرُورًا ۚ وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ مَا فَعَلُوهُ ۖ فَذَرْهُمْ وَمَا يَفْتَرُونَ

[ AL - AN-A'AM - 112 ]
Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua.

Halafu mbona hakumuokoa mtu wake kule Taifu! Hadi alipewa adhabu zoote na nyingine ni aibu kuhadithia!; baada ya hapo mtume akavaa nguo zake na kukimbia!
Ref; kitabu maisha ya mtume muhammad mtunzi shehe qadi Abdallah Salehe Farsii uk.24
 
kawapotosha kivipi?
Wapi alipowapotosha?
Huyo nguruwe anaekusudiwa ni kila kitu haram hiyo ni collective term tu.
Nabii issa akirudi ataua masihi dajjar,nguruwe wanyama,nguruwe watu bimaana wasio waislam,misalaba ,kodi.
na ajjuju wamahjuju.
atatoaje hukumu wakati yeye ndiye aliye fanya Hila na kupotosha??
[emoji116][emoji116]
بَدِيعُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُ وَلَدٌ وَلَمْ تَكُن لَّهُ صَاحِبَةٌ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 101 )
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.

: وَمَرْيَمَ ابْنَتَ عِمْرَانَ الَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتْ بِكَلِمَاتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِ وَكَانَتْ مِنَ الْقَانِتِينَ ( 12 )
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

وَالَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلْنَاهَا وَابْنَهَا آيَةً لِّلْعَالَمِينَ ( 91 )
Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu

Surah 6: 101 ilisema kwamba ni vipi Mwenyezi Mungu anaweza kupata mwana bila mke? Ni nani alikuwa anauliza Swali hili la kipumbavu katika quran tukufu?

Sura ya 66: 12 na 21: 91 baadaye allah alikiri kwamba Mwenyezi Mungu alimpa ujauzito Mariamu kwa kupuliza uke wa binti amran (farjaha)

Ona na Hila hii ya allah! Ubavu wa kuhukumu mtu Ataupata wapi??
Halafu ona waisilamu mnavyo hitlafiana!
qadians wanaamini Yesu kafa! sunni wanaamini hakufa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116]
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
 
Mkuu sote ni wa Mungu na kwa Mungu tutarejea.
Huyo mtu alofanyiwa cloning ni wa Mungu na Mungu ndiye ana mamlaka naye huwezi uka question authority ya Mungu maan hukumuumba ww huyo mtu.
Uhalali na uharam upo kwa Mungu.
Wana wa israel ni wapinga Mungu na mitume na ni wabishi sana.
Wao kudhihakiwa ni haki yao kaka.
Vizuri umekubali Muongo hapo ni allah, maana aliwadanganya, Na akaja miaka mingi sana badae ndio kasema kwamba alifananisha
Kwa maana hiyo wakweli ni wale waliosema issa wa allah kasulubiwa maana walimuona, hapo tumemaliza

Mambo fikirishi
  • Tutaaminije hata ayo maneno kwamba alifananishia ni ya kweli au uongo maana alishadanganya mwanzo?
  • je kwa msingi huo tunaweza sema anaweza baadae kuja kutuambia muhammad hakufa bali alimnyanyua kwake na tulifananishiwa tu kwamba kafa? kama aliweza kufanya kwa issa inamaana hashindwi kwa muhammad!
 
Kiongozi kuna kitu kimoja hujaelewa .
Quran hakiitaji vitabu vya wanazuoni kueleweka.
Bali kunahitaji ufafanuzi aliouacha mtume kwa wanazuoni.
Pia kuna wanazuoni na wanazuoni.
Si kila mwanazuoni ni wa kumnukuu maelezo yake.
Kuna wanazuoni wa kishia,kiahmadia.
Unapaswa uangalie tafsir Quran unayosoma imenukuliwa kwa mwanazuoni gani?
Wanazuoni bora wa kuwanukuu ni Hambal,Shafii,Makil, Abuu Hanifah, hao ni wale wanazuoni baada ya kufariki mtume.
wanazuoni kipindi cha mtume kina Abuu hurayrah,Ally,Abdillahi Ibn masoud n.k n.k.
Halafu hiyo siyo hadithi hiyo ni asbab nuzul.
Tofautisha hadith na asbab nuzul.
Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe.
Bali inahitaji ww uielewe lugha kwanza pia ukasome uchambuzi alouacha mtume kwa wanazuoni ambayo siyo maneno ya wanazuoni bali ni kile alichorithisha mtume kwayo.
Kuhusu hiko kisa ni asali sio Mariyyatul qibtiyyah.
Kasome ht sirah ama wasifu wa mtume hiko kisa kipo.
HAO WANAOPINGA HADITH SIYO WAISLAM.
KUPINGA HADITH NI SAWA NA KUMPINGA MTUME.
  • Nimemaliza uthibitisho wangu , kwa kuthibitisha koran ni kitabu hakijajikamilisha na hakieleweki ukikisoma chenyewe , lazima utegemee scholar au hadith , kwa hiyo madai yako ya mwanzo nimeyafuta rasmi
Tafsir nazoweka ni za sunn, najua tofauti ya hadith na Tafsir ni jambo wazi kwangu

Kosugi says "Quran haitegemei hadith wala vitabu vya wanazuoni mkuu ili uielewe."
Nimekupa mfano wa haya hizi
  • Koran 66:1 1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?...
    • Bila kutumia Hadith wala Tafsir niambie ni nini Muhammad aliharimisha ambacho Allah alimuhalalishia?
  • Koran 36:14 Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. -
    • Bila kutumia Hadith na Tafsir nipe majina ya hawa watu watatu?
  • Wewe ulisema ni Asali lakini Al Jalalayn wanasema ni Mariya the coptic alipo bakwa na muhmmad kwenye nyumba ya mke wa muhammad anaitwa hafsa , ndio allah akashusha aya inamkanya muhammad asijikataze kula ma house girl kwani allah karuhusu kula mjakazi -tukusikilize wewe au Al Jalalayn?
    • Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed — by saying ‘She is unlawful for me!’ seeking by making her unlawful for you to please your wives? And God is Forgiving Merciful having forgiven you this prohibition.
 
Hayo unalazimisha wewe.
Asa tafsir ni hadith?
Hadith ni nn na tafsir ni nini?
Hadith inakaa kivyake na tafsir ni ufafanuzi wa Quran kutoka kwa mtume.
Halafu Quran imekamilika bali imeongea kauli za mafumbo.
Na siyo Quran yote imeongea kauli za mafumbo.
Kuna surah zingine zimeongelewa kauli za wazi mfano suratul kahfi,nnisaa n.k n.k.
Kama kuongea kwa fumbo ni kutokukamilika basi pole yako.
UNALAZIMISHA HOJA .
NARUDIA KUSEMA NA NITAENDELEA KUSEMA QURAN HAITEGEMEI HADITHI WALA MANENO YA WANAZUONI.
MAANA HAO WANAZUONI JE NI WA ZAMA GANI?
JE HAYO MANENO WAMEYATOA WAPI?
NDUGU WE SIO MUISLAM HUJAISOMA DINI YETU INAHITAJI NINI.
NIMEKUUTAJIA WANAZUONI WAKUWA NUKUU AMBAO NUKUU ZAO ZILITOKA DIRECTLY KWA MTUMEE .
WE UNANIAMBIA UMENUKUU KUTOKA KWA SUNNI.
HAO MAIMAMU NILOKUTAJIA VITABU VYAO VINAELEZEA KUWA MTUME ALIHARAMISHA ASALI NDIO KISA CHA HIYO AYAH KUSHUKA.
ASA HAO SUNNI ULOWANUKUU NA HAWA MAIMAM NILOKUTAJIA AMBAO WAMEFUNDISHWA DIRECTLY NA MTUME NANI YUPO SAHIHI??
UNAJUA TUNAPIMAJE ITHBATI?
HALAFU HADITHI HAUIJUI WW.
WE USHAKARIRI KILA ANACHOSEMA MTUME NI HADITHI YOU ARE TOTALLY WRONG.UMEKOSEA PAKUBWA.
TAFSIR NI MAFUNDISHO YA MTUME JUU YA UFAFANUZI WA QURAN NA WANAZUONI WAMETOA KWAKE ILA SIO HADITHI NA SIO VITABU VYA WANAZUONI.
USILAZIMISHE UJUAJI MKUU KAMA HUJUI HUJUI.
 
Vizuri umekubali Muongo hapo ni allah, maana aliwadanganya, Na akaja miaka mingi sana badae ndio kasema kwamba alifananisha
Kwa maana hiyo wakweli ni wale waliosema issa wa allah kasulubiwa maana walimuona, hapo tumemaliza

Mambo fikirishi
  • Tutaaminije hata ayo maneno kwamba alifananishia ni ya kweli au uongo maana alishadanganya mwanzo?
  • je kwa msingi huo tunaweza sema anaweza baadae kuja kutuambia muhammad hakufa bali alimnyanyua kwake na tulifananishiwa tu kwamba kafa? kama aliweza kufanya kwa issa inamaana hashindwi kwa muhammad!
KWANZA ONDOA NENO KUSEMA ALLAH NI MUONGO.
KAULI HIYO IKOME HAKUNA ALODANGANYWA BALI WATU WAMEDHIHAKIWA.
TOFAUTISHA KUDANGANYA NA KUDHIHAKI.
PILI KUHUSU HAYO MASWALI YAKO KILA ANACHOFANYA ALLAH KINA SABABU.
KWANINI ALLAH ALIMPAISHA NABII ISSA?
ALIMPAISHA KWASABABU ALITAKA KUMUOKOA NA KAZI YAKE HAIJAISHA HAKUTAKA ARUHUSU AFE KWA WAKATI ULE.

UNAPOZUNGUMZIA KUHUSU MUHAMMAD INATAMBULIKA ALLAH ALISHASEMA YEYE NI MTUME WA MWISHO NA HATOKUJA KUTOKEA MTUME BAADA YAKE.
NA HAKUNA SABABU YA KUSEMA ETI AWEKWE HAI KM NABII ISSA KWASABABU KAZI YAKE IMEKWISHA.
NDIO MAANA KTK HADITHUL QUDUSIYYI ALLAH ALIMWAMBIA MTUME WEWE NI MAITI NA KILA MTU ATAKUA MAITI.
BIMAANA LAZIMA ANGEFARIKI NA AMEFARIKI.

UNATAKIWA UPIME SABABU NI IPI MPK ILE KITU IMETOKEA NA KWA MINAJILI YA WAKATI UPI.
 
atatoaje hukumu wakati yeye ndiye aliye fanya Hila na kupotosha??
[emoji116][emoji116]
بَدِيعُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُ وَلَدٌ وَلَمْ تَكُن لَّهُ صَاحِبَةٌ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 101 )
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.

: وَمَرْيَمَ ابْنَتَ عِمْرَانَ الَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتْ بِكَلِمَاتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِ وَكَانَتْ مِنَ الْقَانِتِينَ ( 12 )
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

وَالَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلْنَاهَا وَابْنَهَا آيَةً لِّلْعَالَمِينَ ( 91 )
Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu

Surah 6: 101 ilisema kwamba ni vipi Mwenyezi Mungu anaweza kupata mwana bila mke? Ni nani alikuwa anauliza Swali hili la kipumbavu katika quran tukufu?

Sura ya 66: 12 na 21: 91 baadaye allah alikiri kwamba Mwenyezi Mungu alimpa ujauzito Mariamu kwa kupuliza uke wa binti amran (farjaha)

Ona na Hila hii ya allah! Ubavu wa kuhukumu mtu Ataupata wapi??
Halafu ona waisilamu mnavyo hitlafiana!
qadians wanaamini Yesu kafa! sunni wanaamini hakufa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116]
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

(AN-NISAAI - 157)
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.
Endelea kubwabwaja najadiliana na anayejielewa Mr.Spensa.
Ukijibu maswali nilokuuliza ndio nitajadiliana nawe kinyume na hapo nitabaki kukujibu pumba tu.
Amepotosha yeye au wamejipotosha wao wayahudi wenyewe?
Allah amemleta Issa bin Maryam kama mtume wao wanamzungumza Issa km mwana wa Mungu na Mungu mtu.
NANI ALOJIPOTOSHA NA KUJIHADAA?
ALLAH KAMUOKOA ISSA MTUME WAKE WAO WACHA WAMSULUBU ISSA MUNGU MTU WALOKUA WANAMSHADADIA.
NA LAZMA AJE ATOE HUKUMU KWANN YEYE AMEMLETA ISSA KM MTUME WAO WANAMPACHIKA UUNGU?
KWANINI WALITHUBUTU KUTAKA KUMUUA MTUME WA MUNGU?
HUKMU ZINAKUJA HAPO.
UMEELEWA KIJANA?
 
ww nakushangaa sana!
sasa hao maaudui na mashetani wa kiwatu muumbaji ni allah!
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِيٍّ عَدُوًّا شَيَاطِينَ الْإِنسِ وَالْجِنِّ يُوحِي بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ زُخْرُفَ الْقَوْلِ غُرُورًا ۚ وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ مَا فَعَلُوهُ ۖ فَذَرْهُمْ وَمَا يَفْتَرُونَ

[ AL - AN-A'AM - 112 ]
Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua.

Halafu mbona hakumuokoa mtu wake kule Taifu! Hadi alipewa adhabu zoote na nyingine ni aibu kuhadithia!; baada ya hapo mtume akavaa nguo zake na kukimbia!
Ref; kitabu maisha ya mtume muhammad mtunzi shehe qadi Abdallah Salehe Farsii uk.24
Unachekesha mpk basi kwa hoja zako.
Tuanze na twaif.
Ulikisoma vzuri hko kitabu?
Mtume twaif alienda kutangaza uislam.
Na alienda kiupole sio kwa upanga km ilivyo kwa wakatoliki wauaji walivyofanya.
Mtume alipigwa mawe na waabudu masanamu wakimuita muongo.
Allah alitaka iwe hivyo kwake yeye ili kuonesha kuwa kazi ya daawa sio ndogo.
Kama asingetaka angemuokoa km alivyowaokoa mitume wengine km Ibrahim kwenye moto na Yunus kwenye tumbo la Chewa.
Licha ya hivyo jibril alitumwa amuulize mtume wale watu wapewe adhabu gani mtume alikataa akasema anawaombea kheri kwa Allah wabadilike.
Ni sawana mie nikuulize kwanini Yesu ambaye ni Mungu alitundikwa msalabani na kuchapwa pasi na kujitetea tena na binadamu??

Tuje ktk hiyo ayah uloileta wewe.
Ndio Allah ni muumbaji wa kila kitu mpk majini.
Sio km Mungu wenu mnaesema kaumba vyote ila sio majini asa sijui majini wametokea wap km Yehovah hajawaumba!
Allah ndiye anayeleta mitihani kwa waja wake kuwapima kiimani.
Kila mtume kaletewa mitihani yake kupima uzito wa imani yake.
Hata huo pia ulikua ni mtihani wa kwetu waislam juu ya kuilinda dini yetu na kujitoa juu ya dini yetu.
 
Back
Top Bottom