Na mm nikakuuliza kwani hujawahi soma taarifa ya Urusi kuua maafisa wasio raia wa Ukraine? Ningependa ujiongeze kuwa hii vita ni USA washirika wake na Russia. Ukraine haiwezi kupigana na Urusi pekeyake kwa muda wote huo, serekali ingeshaangushwa.Nimekuuliza kwani jeshi la marekani lipo Ukraine . Ningependa unujibu kwanza nilichokuuliza.
Wacha nikuache . Pia wacha nikuachie swali tafuta maana ya mamluki na taarifa rasmi ya marekani kupeleka jeshi Kama ambavyo wanatoa taarifa kamili za upelekwaji wa silaha.Na mm nikakuuliza kwani hujawahi soma taarifa ya Urusi kuua maafisa wasio raia wa Ukraine? Ningependa ujiongeze kuwa hii vita ni USA washirika wake na Russia. Ukraine haiwezi kupigana na Urusi.
USA haiwezi kukupa taarifa rasmi ya kupeleka wanajeshi na ilishasema kuwa hawatapeleka ili wasiingie kwenye mgogoro wa moja kwa moja na Urusi but kwa akili ya kawaida tu unaweza kupiga hesabu na ukaona wana watu kule la si hivyo hii OP ingeshakwisha.Wacha nikuache . Ila wacha nikuachie swali tafuta maana ya mamluki na taarifa rasmi ya marekani kupeleka jeshi Kama ambavyo wanatoa taarifa kamili za upelekwaji wa silaha.
Marekani haijaanza leo kupeleka silaha Ukraine wala haitaishia leo maana hiyo ni vita kati ya Marekani (akitumia damu na mikono ya wa-Ukraine) na Urusi!! Urusi haina shida na hilo maana haliwezi kubadili matokeo ya vita wala haitapunguza malengo ya Urusi japo inaweza kuchelewesha kuyafikia!!Mbona tumepeleka silaha Urusi na hajatufanya lolote lile
Ukweli ni kwamba kama China hatachukua maamuzi magumu sasa hatakuwa na uwezo wa kuyachukua milele!! Taiwan itaimarishwa sana kijeshi na China itabidi ikubali matokeo!! Tatizo la China ni kuwa inaelekea haiko tayari kulipa gharama kubwa inayotakiwa ili kulinda usalama na heshima yake mbele ya jamii ya kimataifa!! Gharama ya kiuchumi ni kubwa sana lakini itazaa heshima kubwa sana!!Naunga mkono China akikubali huu ufedhuli namtoa kwenye taifa huru. Hakuna diplomasia kwenye suala la usalama wa nchi.
China ilitakiwa afanye SMO mapema sana pale Taiwan. Mtoto kaanza jeuri kama za Ukraine
Pelosi katumwa huko Taiwan na Marekani ili kupima ubavu wa China!!! China ikionekana si chochote manyanyaso mengi yatafuata! Taiwan haimzuii Pelosi, lakini Taiwan ni sehemu ya nchi ya China na China ndiyo inayomzuia Pelosi kutembelea Taiwan!!Kwani Pelosi yeye anafuata nini huko Taiwan?
Je, hiyo Taiwan inamzuia Pelosi kwa ajili gani?
hapa kama sijaelewa wanagombania nini.
Duh, aisee!Pelosi katumwa huko Taiwan na Marekani ili kupima ubavu wa China!!! China ikionekana si chochote manyanyaso mengi yatafuata! Taiwan haimzuii Pelosi, lakini Taiwan ni sehemu ya nchi ya China na China ndiyo inayomzuia Pelosi kutembelea Taiwan!!
Tatizo siyo watazungumza nini, ila ni kwamba Pelosi anaingia Taiwan bila kibali cha mwenye nchi. Ni sawa na mtoto anayeishi kwenye chumba kimoja nyumbani kwako kumkaribisha hasimu wako hapo chumbani kwake bila kibali chako. Na unapomkatalia yeye anasema lazima aje!!Duh, aisee!
Marekani imemtuma Pelosi akafanye nini huko Taiwan? Maana inasemekana Pelosi atalala hapo then asubuhi kuwa na mazungumzo na moja ya kiongozi wa kule.
Je, watazungumzia nini hasa ambacho China ndio inaonekana hawataki kuona kikitokea?
Huyo bibi atakuwa na moyo mgumu kama wa mchawi!China hana huo ubavu wa kumzuia huyo bibi.
Usiwatoe mkuu, China atakuwa yupo sahihi kabisa.Ni kweli Kuna muda diplomacy haina nafasi . Hii kitu kitamgharimu China . Pelosi akitua Taiwan leo nitaidharau China Sana tena Sana na nitawatoa kweli list ya mataifa matatu yaliyo huru hapa Duniani[ U.S.A , RUSSIA, CHINA ] na itakuwa [ U.S.A, RUSSIA, NORTH KOREA na IRAN ].
# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Kwa kosa gani hasa alilofanya?Upo sahihi mkuu 100% wanaume pekee wenye kauli zenye mamlaka dhidi ya marekani ni Urusi, North Korea na Iran . China ananitilisha mashaka Sana.
# Hakuna diplomacy kwenye dharau.
Ana miaka 82 ana historia kubwa sana ya kukwaruzana na wachina hadharani uzuri huyu bibi hakopeshi kwa kifupi wachina hawatomsahau. Anaamini anachokisimamia.Huyo bibi atakuwa na moyo mgumu kama wa mchawi!
Kuna muda busara inahitajika zaidi.Ila mkuu inapaswa tufahamu kuwa Hakuna diplomacy kwenye dharau.
WaleteeeeeeeeeMambo yamekwivaaaaaa, Pelosi tayari yuko angani kuelekea Taiwan
BREAKING: Aircraft that flew US House Speaker Pelosi to Malaysia has now departed Kuala Lumpur, amid reports it may fly her to Taiwan.
Unataka China akomaeje? Unafikiri ni kwanini Taiwan ameamua kujirisk?Taiwan nayo yatanua msuli!! Inatuma ndege za kivita kuvinjari eneo la anga ambalo ndege ya iliyombeba Pelosi inatazamiwa kupita!! Siamini kama Taiwan na wao wameamua liwalo na liwe!! Huu ni mtihani mkubwa kwa China!! Ukweli ni kwamba China akikomaa hiyo ndege haitatua!!
Taiwan relocates fighter jets ahead of Pelosi visit – media
The self-ruled island reportedly deployed additional Mirage 2000 fighter jets to patrol the US speaker's potential approach path.
Taiwan has relocated French-supplied Mirage 2000 fighter jets and other military hardware, according to local media, ahead of a possible visit by US House Speaker Nancy Pelosi.
Eight additional aircraft were moved to the Chihhang Air Base, adding to the two Mirage 2000 fighters already stationed there, the Taiwan-based China Times reported on Tuesday.
The base is located in the southeastern part of the island, where it is through Pelosi’s plane is expected to approach from, the outlet said. The facility was put on high alert, it added.
Kitu cha m-Taiwan kilicholenga kumtisha china hiki hapa:
View attachment 2311788
Dunia inasubiri kuona, je China atakubali kutishiwa nyau?