Haya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.Marekani lazima wamalizwe kabisa na Muumba wetu, shenzi sana hawa.
Pigo la kusabishwa na watu ndiyo majibu yake yanatoka kwa Muumba wetu.Kwa hiyo vita vinavyotokea mashariki yabkati na kuua watu ambao hawana hatia, watu ambao hata hawajui nini maana ya serikali na hata hawajui kusema. Je hilo siyo pigo?
Hawa wajinga wote hakuna ambaye huwa wanakimbilia uarabuni, wote utakuta wanajazanq airport za makafiri
Labda uislam wa ma freemason,,,maana huko ndo mnakoenda kuokoteza matakataka na kusema diniHaya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.
Uislam kwa sasa utatokea Magharibi.
Na zile Typhoons za Asia zinazoua maelfu na Matetemeko ya Ardhi kule Uturuki? Na wale Allah anawaadhibu Wazayuni?!
Kwasababu watu wa allah wamejazana kwenye nchi za makafiri na wanapeleka laana zao za mashariki ya kati hukoMada gapa ni Florida na North Carolina, vimechezea kichapo cha Muumba wetu, kwanini?
Muone mwenzako, baada ya janga, sasa kajuwa kumuomba Mungu:Kwasababu watu wa allah wamejazana kwenye nchi za makafiri na wanapeleka laana zao za mashariki ya kati huko
Dini zinawehusha Watu kiupeo na maarifa, 2024 June na July Saudi Arabia kulitokea kimbunga kikali sana na china pia palikuwa na mafuriko hatari, inamaana hao pia ni pigo toka kwa mnyaazi mungu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kumbe ni mungu tu,,nikajua ni yule mud na AllahMatukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Hata sie tunaoiomba miti na mito Mungu pia anajibu maombi yetu kwani kuna jipya??Muone mwenzako, baada ya janga, sasa kajuwa kumuomba Mungu:
View: https://www.youtube.com/live/waC0M4rXrdk?si=kRXx9hGwWp5PGWh7
Kuna siku utaiona nuru na utaacha kuabudu viumbe wenzio.Hata sie tunaoiomba miti na mito Mungu pia anajibu maombi yetu kwani kuna jipya??
Kwani wewe Muumba wako nani?Mimi nafahamu Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Soma:
Qur'an 30:33 Na yakiwapata watu matatizo na misukosuko wanamuomba Mola wao, hali ya kumtakasia, Awaondolee mashaka, na Anapowarehemu na Akawaondolea mashaka, punde si punde linatoka pote la watu kati yao wakarudi kwenye ushirikina mara nyingine wakamuabudu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu.
Hpana, usiseme uongo. Wenyewe wamesema kiwango hiki haijawahi kutokea Miami wala Florida, wewe hiyo ya kila siku umeitowa wapi?Unatuonesha nini sasa kuhusu Mungu? andamaneni basi mseme ameua watoto na kina mama wasio na hatia..
Mjanga yapo tokea enzi za Nuhu. Pia Marekani ni eneo la matukio kama hayo.. so ni kawaida sana kwao kila misimu.. wana reset tu then wana back kuwa the great
Niione nuru kwa makobazi.....hawa tunashinda nao tunawaona mambo yao halafu ndo tuione nuru kupitia hawa makobazi kweli........labda siku nikiamua kuanza kufuga majini nitawafataKuna siku utaiona nuru na utaacha kuabudu viumbe wenzio.
Cha ajabu, siku Marekani ilipoidhinisha pesa za kuwadidimiza Wapalestina ndiyo siku kimbunga kikapamba moto:
View: https://youtu.be/OurYYhQvAMc?si=gS_NS5wpcxSuXeii
Hii n janga kama janga zngne kama ya jangwan kpnd chamvua aiusian 🤣🤣🤣 bongo dah alaf mtu kama uyu anakuja kutuamnisha n Allah anafanya yake kisa waarabu wanachapka vp bhana Congo yy Allah ajaona uku kwa Wa Africa wakiuliwa?Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Bibie, wahi Milembe Hospital DodomaMada gapa ni Florida na North Carolina, vimechezea kichapo cha Muumba wetu, kwanini?
Soma kija na, usingoje kudanganywa tu.
Mwongozo wa Qur'an unatuhusu wote.
Una uhakiga gani kama mungu ndo amefanya hayo yoye? Shetani na yeye ana nguvu.Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.