Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

Ni kweli, na utasikia serikali za africa watapongeza sana hatua hiyo iliyofikiwa na wazungu, ila wakizungumzia tu suala la haki za binadamu na demokrasia, kwa viongozi, utasikia jina lina badirika!!kuwa mabeberu wanatuingilia kwenye mambo yetu!!

Mabeberu ndio wanatuweka mjini bila hao tungepata tabu sana.
 
Wachache tu watakuelewa. Huwa nashangaa sana watu wanavyopapatikia vitu vya weupe hali ya kuwa hao weupe kila kukicha wanaplan kutumaliza kwa style mbali mbali. Mzungu katengeneza virusi ili afanye business Africa ndio maana kujifanya umegundua dawa ya UKIMWI watafanya kila njia kuhakikisha unanyamazishwa kwa kila namna.

Amaka Africa.
 
HATUTAKI DAWA YA MABEBERUUUU CCM OYEEEEEE
 
Wanaelekea kuiacha biashara ya ARV baada ya mpya ya korona kushika kasi.
Watakaotoa chanjo ya corona ni AstraZeneca, Pfizer, BionTech, Oxford, Pasteur Institute pale Ufaransa nao wako bize. Russia anayetoa ni Gamaleya research facility. Kuna India, China na wengine wanapambana.

Haya makampuni hayawezi kuangusha wala kutawala biashara ya madawa duniani. Ukiiondoa corona hayatafirisika wala ukiileta corona hayatafanya maajabu kwenye soko maana competition ni kubwa tu. Hakuna dawa wataacha sio ARV, insulin, cancer wala nini.
 
Hivi kweli mkuu leo hii itokee hicho unachokiwaza kuwa pasiwe na muingiliano wowote ule na mabara mengine?nakuhakikishia sisi wafrika ndani ya muda mfupi tu, tutaangamia !!hadi wao waanze kuyaona madhara sisi huku, tumekwishaaaa!!!kwa akili hizi za viongozi wetu wa kiafrika?!!kama unasema chanjo za polio ni majanga si tutengeneze zetu?!!kwani tumezuiwa?kwa wasomi wetu hawa?Africa hatuna wasomi bwana!!sisi bila wazungu maisha yetu yapo rehani!!
 
Mzigo mpya umeingia sokoni, wadau endeleeni kujikaanga.

Ila kaeni mukijua kua
Upungufu wa kinga mwilini hauambikizi.
 
Hii ni ishara tosha kua dawa ya HIV ipo baada ya hapo itakuja ya mara moja kwa mwaka. Ila dawa na chanjo bado hawajagundua
Mkuu wasikuumize kichwa ni biashara tu hiyo, na hapo wapo kwenye matangazo ya biashara yao.
Upungufu wa kinga mwilini hauambikizi
Upungufu wa kinga mwilini sio ugonjwa
Upungufu wa kinga mwilini ulikuwepo kabla Yesu hajaja duniani
Upungufu wa kinga mwilini ni fursa kwa wajanja kupiga mfuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…