mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah jamaa waongo kinoma,ukiwaambia kuweka souce wanaanza kulia lia.US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Aaaaaa mkuu kwa hio unataka kusema hao Izrail Waliingia kwenye anga la Iran na kupiga picha bila ya rada za waajemi kuziona? Yaani Waliingia alaf wasishambulie maadui zao? Acheni utani banaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app