Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

US aliingia pakistan(a nuclear state),akamchomoa Osama karibu na jeshi la Pakistan na hawakushtuka mpaka marekani alipowataarifu,Marekani akiamua kumchukua ayatollah muda wowote anaotaka anaweza.
Israel kwa kutumia ndege ya kimarekani F-35 aliingia Iran last year akapiga picha maeneo sensitive ya Iran akaondoka na wala radar hazikumuona!US ni next level.
Hahah jamaa waongo kinoma,ukiwaambia kuweka souce wanaanza kulia lia.
Aaaaaa mkuu kwa hio unataka kusema hao Izrail Waliingia kwenye anga la Iran na kupiga picha bila ya rada za waajemi kuziona? Yaani Waliingia alaf wasishambulie maadui zao? Acheni utani banaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hio link ni Aljazeera au ni vyombo vya Habari kutoka sehem nyengine

Sent using Jamii Forums mobile app
"""The newspaper emphasized that it was the original media source that exposed the Israeli raids, which had taken place in March 2018. Al Jarida cited senior Iranian military who said that only following its March report did the intelligence services of the Revolutionary Guards and the Iranian intelligence ministry begin to investigate the case, under Khamenei’s direct orders."""

Nimeinukuu hio hapo naona unaiogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuripotiwa kwa vyombo vya Kiarabu vya Lebanon haimaanishi kuwa ni kweli, hii dunia sasa kuna propaganda nyingi sana mkuu, huko Lebanon pia kuna vyama vinawachukia Iran as well as meddle east kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe hii habari ya kufa Jenerali wa Iran umeipatia wapi hadi umekuja kututhibitishia hapa?
 
Ile drone ya US tuliyoambiwa ni latest with sophisticated tech. ilishushwa na vijana wa iran tena wanaofanya internship tu,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
So what????? Hivi mara ngapi tunasikia Iranian backed militias camps zinalipwa kila uchao Huko Syria[emoji28][emoji28][emoji28] tena strong facilities

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US alishasema "All Options Are On The Table" na too Bad War Monger Himself Michael Bolton hayupo mbona mambo yangenoga............Ila Binafsi natamani Saaaaana Saaaana IRAN aanzishe Vita na US tumalize Ubishi.
Bolton angekuwepo sidhani ata kama angevumilia huu Uvundo wa Iran
 
(The newspaper emphasized that it was the original media source) sasa mkuu apo hujajua tu magazeti kuwa wanapiga hela nyingi sana kwa hizo fake news?

Back
Top Bottom