The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
π€£π€£π€£ Marekani alipiga kimya baada ya Iran kujibu kisasi ktk kambi zao majeshi ya USA kule IRaq na mpaka Leo USA hawakujibu mapigo , sembuse Hao Israel kama Baba yao wanae mlamba makalio kashindwa wao ni Nani haswaa , wajichanganye waone kilicho mtoa kanga manyoya , wanaujua mziki wa Iran ndio maana mpaka Leo wanaogopa kujibu mapigo wamebaki na porojo tuNdio apo yani kaka mtu.mwenyewe kashapelekewa moto na akurudisha majibu adi na leo .japo nae Tramp alituaidi majibu makali. Kaka akujibu na alifanywa ivi ivi kama Israel kwenye kambi zajesh iyo si vita.kabisa. lkn babake kasepa. Ndio mtoto asisepe!!! Karogwa nanani.
Wale jamaa ni hatari sana na wengi wanajichanganya wanadhani ni Waarabu pure kumbe ni % kidogo tu kavu sana wale.π€£π€£π€£π€£ Mijitu inayo wa- underrate Iran hawajaijua vizuri Iran , Iran hawanaga uoga wame vurugwa mnooo imagine Iran waliwapelekea Moto USA ktk kambi zao za kijeshi kule Iraq baada ya general wao Qassem kuuliwa na drone za USA . So kama hawa muogopi USA Hao Israel ndio Nani !?
Sasa kama magaidi yanajificha kwenye makazi ya watu ili kuwafanya ngao- ungekuwa wewe ungefanyaje? Magaidi yanajificha kwenye makazi ya watu, huku yakiendelea kushambulia. Msiwe mnatoa Comments kwa kuangalia upande mmoja wa shilingi.Iran angeamua kuyaelekeza kwenye makazi ya raia angeua kama kuku wazayuni lakin yeye Ali focus na military installation kama air base za north Israel Na huo ndiyo weledi sio kupiga piga hovyo tu kwenye makazi ya raia
Nduguzangu.izi ni propaganda vita l aminini kuwa air defence system muimu zote zilikuwepo apo Israel system zote zipo.apo kuilinda Israel, lkn zimedukuliwa wkt.viuma.vinatua. so izi ni propaganda kuzitoa izo THAAD system kwaajili y soko ndio mana wenyekujua tunaamini Israel kwasasa awezi mchokoza Iran sababu kuuu israel kagundua.Iran.anaweza mpiga popote saaa yoyote nayeye atoweza kuzuiya chochote sababu hii ndio.imeinyang,anya Israel aki yake ya kulipiza kiakili uwez lipiza ngumu na unajua unaweza.pigwa tena n utoweza zuiya shida kubws.apa.ni.kuzuiya baada y apo Israel watapiga mikelele tu propaganda kuwa tutashambulia lkn sio sasa sasaivi ameufyata kimya.kimatendo. mdomo tu ndio utasema.kile.kile.lkn akuna matendo spika w Iran katua Lebanon na kaenda kusini kwenye shida na akatangaza wazi kuwaunga mkono hezbollah na kaondoka salama wazili w mambo y nje pia tuliona kafika. Muimu Israel awez shambulia wanasiasa w Iran yoyote mana anawajua.waIran.awanadogo.wanajibiwa fasta na.cheo.kama.kile wamekizulu,
Ndiomana waIran awaogopi kwenda Lebanon wanajua. awatoguswa,
mkichokoza nyuki manundu yapo pale pale...IronDome imekuwaje tena???Safi jambo zuri
Kobazi lazima apanic
Mbona mmoja amevaa nyeus mwingine nyeupe wanamaana gani?
sasa hii THAAD ya nini!!!Zilifeli and then ICBM za Iran hazikuua hata mbu?
Vita ni ushirika mkuu wala sio sifa kufanya peke ako, mbona irani kapewa S-400 na baba yake Russia?sasa hii THAAD ya nini!!!
yaani unawaona wenzio wapuuuzi kusaidiana kuziba ziba matundu wapate ahueni pindi kidume Iran atakapoamua kupenyeza dyudyu ndani ya Israeli???wazaramo wanasema kalagabaho
Lakini si yalipenya.?Yalipenya baadhi ila hayakuleta madhara makubwa kwa maisha ya raia.
Mi naona duniani mchina hajawai kuwa serious kabisa. Kamsaidia Iran tech ya supersonic balistic missle Fakeπ€£.Hizo manati Iran anazirusha 180+ zinaishia kuua mpalestina na hizo ni teknolojia ya ya mchina na mrusi.
Sasa hapo sijui umeandika Nini.Kinachomsaidia Urusi ni wingi wa silaha na idadi ya wanajeshi. Baada ya zile S500 advanced radar systems zake zikipigwa tena na drones, basi hakuna guarantee kwa hizi air defense systems.
Naombea wapeleke huo mfumo alafu makombole ya iran yapenye kama kawa ili biashara ya silaha za marekani ziharibiwe kabisaHii habari ya jews wa malagarasi na hii chini kuwa bado hawajaamua Biden administration ni Wayahudi wa IsraelView attachment 3123345
Dalili zote zinaonyesha israel maji ya shingo, safari hii wqmekutana na wanaumeMarekani itatuma mfumo wa hali ya juu wa kukabiliana na makombora na wanajeshi wa Marekani kuuendesha - kwa Israel "ili kusaidia kuimarisha ulinzi wa anga wa Israel kufuatia mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel mnamo Aprili 13 na tena Oktoba 1," Pentagon.
Kutumwa kwa wanajeshi 100 wa Marekani kwa Israel kunadhihirisha mvutano mkubwa kati ya Israel na Iran wakati eneo hilo likijiandaa kwa shambulio linalowezekana la Israel dhidi ya Iran ambalo linaweza kuendelea kuzidisha uhasama.
Tunapoelekea tunaweza kuona full scale war kabisa
#iran #israeli
wamebanwa kinoma. Shambulizi la leo zaidi ya waisraeli 60 wamejeruhiwa. Mpaka wanapewa msaada wamezidiwaDalili zote zinaonyesha israel maji ya shingo, safari hii wqmekutana na wanaume
Mkuu vita unatumia kila kitu na rafiki yoyote ili ushinde, hakuna kumpangia adui atumie silaha gani au ashirikiane na naniSometimes nikiwa nasoma michango yetu kuhusu ugomvi wa mashariki ya kati, huaga nahisi hua tunachangia tukiwa tayari tuna either upande or maandishi yetu yanakua na milengo ya kiimani. Naombeni mfano mmoja tu wa taifa lolote kubwa lililowahi kwenda kupigana na taifa lingine likiwa pekee yake, just one. Fatilia vita vyote ambavyo USA kapigana either direct or indirect utagundua kuna mataifa zaidi ya 5 yanakua nyuma yake. Mnaikumbuka ile Gulfwar ya mwaka 1990 wakati Sadaam Hussein analazimishwa kuondoka Kuwait? Marekani alilwenda na mataifa ya Ulaya 29, Saudia ikiwa ime provide viwanja vya ndege na mafuta same as Egypt, well what about vita iliomuondoa Sadam Hussein hadi kupelekea kifo chake? All European community were involved except France only, same as Libya etc. Kinacho endelea Russia na Ukraine je? NATO wote wapo against Russia but same Russia anapewa support kubwa na Iran, North Korea na kidogo from China, Iran nae kwenye vita hi hi yote na Russia plus Yemen, cha ajabu nini kwa Israeli?
Drones buku kumi yule kamanda alisema na missiles bukuNakwambia Thad haiwezi kuzuia kifurushi cha buku never on earth, itaanza kupambana na drone za bei rahisi buku 2 zinamchosha battery alafu kina kuja kifurushi sasa cha ballistic buku sidhani kama atatoboa athari itakua kubwa mno