Umeshawahi kufanya kazi na mchina? kama umewahi utagundua jamaa wanatufanya sisi hatuna akili kabisa, the way wanavyotukadiria ni afadhali hata ya mzungu
kwa sasa zambia shirika la umeme ambalo ni la uma linaendeshwa na mchina kupitia mikataba hiyo hiyo
inawezekana kweli viongozi wetu hawasemi vizuri, ila nafahamu pia ukiwa top layer, mchina ana package yake ya ku deal nawe. hii inawezekana viongozi wetu hawaijui mchina vizuri hadi mambo yanapoharibika kabisa
Inawezekana ukawa unawajua WACHINA ila inawezekana nikawa nawajua WACHINA vizuri zaidi kuliko wewe MKUU
Kwanza naomba tuelewane kwamba siwaungi mkono WACHINA kuhusiana naunayo yasema hapo juu
Kuhusiana na swala ka ZAMBIA sikulikuwa na mikataba ?!
Mpaka unasaini mkataba hukujua content ya mkataba unataka nini ?!
Kama hukujua wakulaumiwa hapo nani aloleta mkataba ama alosaini ?!
Mkataba kama hujauelewa kwanini unasaini kwakutaka nini ?!
Kama unasaini mkataba kwamaana umeuona unafaa naukauona una maslahi nawewe nandio maana ukasaini
Ikatokea ukaenda kinyume na mkataba lazma mkataba uheshimiwe na ufuatwe kama unavyotakiwa
Kama kuna kipengele kinasema usipoweza kulipa mkopo bank asset zako kama mashamba nyumba zinauzwa na ukausaini kwakujua ama kutokujua lakini mkataba ulipewa na ukausoma baadae nyumba zako zikija kuuzwa wakulaumiwa wewe ama bank wakati mkataba ulipewa ?!
Kwahili la ZAMBIA namikataba mengineyo ya UCHINA muwe nasababu nyengine kwani mikataba mnasainishwa mkiwa mmeshikiwa silaha ?!
Rais wa TANZANIA alikataa kutia saini kandarasi yaujenzi wa Bandari ya wapi sijui kule kutoka kwawachina je wachina walimlazmisha !?
Yaani viongozi namashirika yao kibao yakiusalama wasiujue ubaya wa WACHINA namikataba yao MKUU kweli ?!
Mikataba mnasaini wenyewe kwakuona inawafaa baadae mnakuja mnalia lia nini ?!
Kama mnaona mikataba haiwafai msitie saini yamakubaliano nakama mikataba hawaielewi kwanini wanasaini unasaini kitu ambacho hukielewi kwakutaka nini wakati kitu hakieleweki ?!
Kwani huko ULAYA hawaingii mikataba na UCHINA mbna hujayasikia yanayotokea AFRIKA