Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hapana Incase natumia jina la Yesu, na kusema Atukuzwe baba mwana na Roho Mtakatifu,Ubarikiwe sana kwa hatua hiyo.
Na hiyo asilimia 10 unamuomba nani? Maria? Kwanini?
Hivi kuna nchi hapa duniani ambako hakuna magonjwa? Kwa hiyo nchi zote hizo wanamuomba Maria?Jibu ni rahisi. Hayajibiwi. Yangekuwa yanajibiwa tusingeona watu wakiishiwa pesa. Tusingesikia watu wanaendelea kuteswa na magonjwa. Tusingesikia watu wanakufa kwa njaa. Shida zote hizo Yesu anaweza kuzitatua. Lakini kwakuwa tunamuomba mtu asiyeweza kutuondolea shida hizo, ndio sababu shida zetu haziondoki na furaha zetu haziwi timilifu. Sikiliza Yesu anavyosema:
Yohana 16:24
"...Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Hilo andiko mbona mimi naona liko wazi sana? Tukimuomba Maria, Yesu anahesabu kuwa hatujaomba neno bado, kwa sababu hajatuagiza tufanye hivyo, ndio sababu hatupati. Na ndio maana furaha zetu haziwi timilifu.
Ulisikia wapi kwamba Wakatoliki wanamwomba Bikira Maria wajibu? Hapo ni kwamba wanamwomba awafishie maombi yao kwa mwana wake ambaye kwa sasa hivi yuko naye huko mbinguni. Kwa hiyo inkuw rahisi zaidi mama akisema kuliko sisi wenyewe! Hayo ni maswala ya imani wewe usiyekuwa Mkatoliki huwezi kuyajua hayo!Kwa sasa mbona tunamuomba Maria lakini hajibu? Mbona anapiga kimya tu? Ndio sababu nimeuliza tena kuna ushahidi wowote kuwa Maria anatusikia tukimuomba?
πππ Mkuu tungependa utuwekee na mstar wa bibilia unaosema hayoUlisikia wapi kwamba Wakatoliki wanamwomba Bikira Maria wajibu? Hapo ni kwamba wanamwomba awafishie maombi yao kwa mwana wake ambaye kwa sasa hivi yuko naye huko mbinguni. Kwa hiyo inkuw rahisi zaidi mama akisema kuliko sisi wenyewe! Hayo ni maswala ya imani wewe usiyekuwa Mkatoliki huwezi kuyajua hayo!
Unafikri imani inapatikana kwa kufuata kilichoandikwa kwenye Biblia peke yake? Utakesha na ufalme wa Mungu hautauona! Liturgia ya Kanisa ndiyo inayotusaidia kuikoleza imani yetu na huko ndiko tunakochota maelekezo mengine ya kuifikia imani timilifu!πππ Mkuu tungependa utuwekee na mstar wa bibilia unaosema hayo
Mathayo 15;8;9Unafikri imani inapatikana kwa kufuata kilichoandikwa kwenye Biblia peke yake? Utakesha na ufalme wa Mungu hautauona! Liturgia ya Kanisa ndiyo inayotusaidia kuikoleza imani yetu na huko ndiko tunakochota maelekezo mengine ya kuifikia imani timilifu!
Ndivyo mlivyofundishwa kuwa mnaokoteza vi misitari vya Biblia? Mababa huku kwetu wamesoma elimu ya dini mpaka basi tofauti na nyie akina kajamba nani eti miezi miwili tu mtu anakuwa Askofu!Mathayo 15;8;9
Petro alikuwa mvuvi wa samaki, lakini aliyoyafanya ni zaidi ya wenye PhD za teo.Ndivyo mlivyofundishwa kuwa mnaokoteza vi misitari vya Biblia? Mababa huku kwetu wamesoma elimu ya dini mpaka basi tofauti na nyie akina kajamba nani eti miezi miwili tu mtu anakuwa Askofu!
Baba kama yupo?Akili hamna haoo we kula gambe. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujibu maombi yetu kupiti kwa mwanae wa pekee Yesu Kristo then Aameen!!
πππ Kumjua Mungu Hatusomei tunafunuliwa ndio maana mapdri wanasoma theology zaidi ya miaka 7 mwisho wa siku wanaishia kulawiti watoto na kuwa waleviNdivyo mlivyofundishwa kuwa mnaokoteza vi misitari vya Biblia? Mababa huku kwetu wamesoma elimu ya dini mpaka basi tofauti na nyie akina kajamba nani eti miezi miwili tu mtu anakuwa Askofu!
Mmmh, hujasikia kule kwenye madrasatul yenu nini kinafanyika?πππ Kumjua Mungu Hatusomei tunafunuliwa ndio maana mapdri wanasoma theology zaidi ya miaka 7 mwisho wa siku wanaishia kulawiti watoto na kuwa walevi
Monetary doctor njoo utasidie.Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?
Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
Bahati mbaya mi sio muisilamMmmh, hujasikia kule kwenye madrasatul yenu nini kinafanyika?
Ndo Yale Yale kwanini usimwombe Mungu moja kwa moja unamwomba mwanae akuombeeAkili hamna haoo we kula gambe. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujibu maombi yetu kupiti kwa mwanae wa pekee Yesu Kristo then Aameen!!
Ulivyokuwa huna akili, umetoka kusema hayaJibu ni rahisi. Hayajibiwi. Yangekuwa yanajibiwa tusingeona watu wakiishiwa pesa. Tusingesikia watu wanaendelea kuteswa na magonjwa. Tusingesikia watu wanakufa kwa njaa. Shida zote hizo Yesu anaweza kuzitatua. Lakini kwakuwa tunamuomba mtu asiyeweza kutuondolea shida hizo, ndio sababu shida zetu haziondoki na furaha zetu haziwi timilifu. Sikiliza Yesu anavyosema:
Yohana 16:24
"...Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Hilo andiko mbona mimi naona liko wazi sana? Tukimuomba Maria, Yesu anahesabu kuwa hatujaomba neno bado, kwa sababu hajatuagiza tufanye hivyo, ndio sababu hatupati. Na ndio maana furaha zetu haziwi timilifu.