Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

Maandiko yamesha andika wazi kabisa muombezi wetu kwa Mungu ni Yesu lakini unakuta limtu na elimu yake kubwa kabisa limekazana eti maria utuombee sisi wakosefu linapiga magoti na kusujudia sanamu kabisa astakafiru 🙆
 
Tuliambiwa Kutoka katika kitabu cha Yohana mtakatifu kua Maombi yenu yatajibiwa ikiwa yatapitia kwa mwanae mpenwa Yesu kristo.
Jichanganye upite ya mkato uone kama utatoboa.
So far maombi yangu mengi yamejibiwa kwa njia hiyo hiyo mnayoikataa so Kila moja apite njia zake anazojua zinafaa kikubwa ya mwenzako usiyajadili hayatakusaidia chochote kwasababu sicho unachoamini
 
akili kisoda bichwa kubwa
unaokoteza picha za upumbavu kwenye mitandao hata mbuzi ana akili kukuzidi.
Kweli kabisaaaa upo sahihi asilimia %100 pigania Imani yako! Nipo hapa akili kisoda bichwa kubwa 😂 1 love
 
Acheni kuabudu mungu mwenye Mama huyo ni binadamu mwenzenu
 
Kumuomba Maria ni sawa na kuomba mizimu ya kisemitic, huna tofauti na Babu zako wanaoomba mvua kwenye mibuyu mikubwa , ila wewe umeenda kuomba mizimu ya wayahudi

Huna imani ya Mungu ungekua na imani ya Mungu ungemuomba yeye mwenyewe moja kwa moja, huyo mungu wenu mwenye secretary ambae maombi yenu lazima yapitie kwa mtu ndo yamfikie hana sifa ya kuwa Mungu.
 
Yesu anaombwa, Maria anaombea.

Mama wa Yesu, mama wa Mungu, akikuombea akikuombea unaona kuna shida. Lakini mchungaji mnyakyusa hapo akikuombea huoni shida!
 
Mamdogo muujiza Huwa ni kwa ajili ya watu Fulani, kwa sababu hujajindaa na maria ni kazi kuona msaada wake katika kupitisha maombi,

Waliosaidiwa wanaendelea kuomba awaombee😊😊





Mnaotaka ukamilifu wa kiimani na huku mkihoji kwa vichache mlivyonavyo mkidhani vinatosha msiumie kuona wengine wameenda extra mile kiasi hamuwaelewi, tambueni Mungu anahitaji imani yenu kidogo tuu kama punje ya haladali ili muexperience miujiza, hivo usiumie sana na wakatoliki, hawatapotea kamwe kama unavowaza kwa kujihesabia ukamilifu dhidi Yao, ila jifikilie wewe zaidi kwa ajili ya Mungu, ukifika huko Mungu atakupa mafunuo zaidi ambayo hata kuwaambia watu utapata shida ,mana yatakuwa zaidi ya yaliyoandikwa ,



Naipenda biblia, siyo kwa kufafanuliwa ,ila kwa kutakali maandiko yake, Mungu roho amenifunulia Mengi sana humo
 
Kwa mstari huu mamdogo ,nafikili Bado unapaswa kumuomba Mungu,


Kuna watu wanasali sanasana, ni masikini, wana magonjwa, wanafiwa ,ila kitu Cha pekee walichonacho ni amani,upendo na matumaini,. ...



Ndio mana tunaalikwa kushukuru mara nyingi kuliko kuomba, kwa sababu UWEPO wa Mungu haupimwi katika viwango vya mwili,

Wakatoliki wako mbali, ukiulewa huu mstari utajua ni kwa Nini Kuna watu wanawatangaza kama watakatifu, kasome Tena biblia, usikalilishwe mafundisho, soma ,Kaa TAFAKALI, utagundua mengimengi sana,



Nilipofikia Mimi, sijigambi, ila nishuhudie kwako mamdogo, Mungu hayupo classified katika dini zetu, Mungu ni WA upendo, Mungu ana-wish Kila mtu arudi kwake, hata ADUI Yako unayetaka akome Leo, yeye Mungu kwa upole sana ANATAMANI huyo ADUI atafakari,atubu arudi


Kwa nyongeza , kifo si hudhuni kama tunavyofikilia, wengine tumeishi Hadi Leo labda kwa sababu Mungu wa upendo anatuachilia ili tutubu,ila hatujastuka,


Rejelea agano la kale, laana ya Mungu kwa Adam, ! maelekezo ya sadaka za ukombozi kabla ya maajilio ya Yesu mwenyewe, lakini pia Maajilio ya Yesu na sababu ya kuplay low wasijue yeye ni masihi, utagundua kitu kikubwa sana



Mungu siyo msabato, siyo mkatoliki, siyo mwislamu, siyo ,,,,,,,,, ila Mungu ni WA wote, maana Kila alichokiumba kina thamani kubwa kwake, ndio mana akakiumba,


Hivo mamdogo Rudi Tena , hizo element za kibinafsi zitakiisha
 
Imani ni Jambo binafsi halichangiwi na yeyote kua unacho kiamini
Ushahidi wa maandishi Una mchango lakini si lazima uaminiwe
Maandishi unayo yaamini wengine hawayaamini
Kunavitabu vingi kila kimoja kikimuhusisha MUNGU Kwa uchache
Vya wayahudi
Vya wakristo
Vya waislamu
Vya wabudha
Nk
Kila mmoja huamini ni vya kweli
Cha kushangaza kitabu cha wakristo kuna madhehebu mengi tofauti
Vivyo hivyo waislamu Wana makonda tofauti suni Shia jamatia Ismailia nk
Nachangia kua unacho kiamini ni wewe cha mingi mshawishi asiye amini unacho kiamini amini ukimpata furahi
Anacho amini mwenzako kumkosoa si rahisi kama unavyo tarajia
Wengine wanamini Mlima Mito wanyama Ndege Mawe (vimondo)
watu walio hai na wafu
Uwezi kupata ushahidi wa kisayansi kuhusu Imani japo sayansi ina lugha moja duniani
Smbuse vitabu vilivyo andikwa na binadamu ambao wenye vitabu hivyo wanamini vimetoka Kwa MUNGU mmoja
Mbona vitabu vingi huyo MUNGU ana uwingi kila mmoja ana mafunuo yanayopishana na hiyo MUNGU mmoja
Anayeamini hiyo sanamu usimshangae wengine wanamini Mawe je hao
Wengine Mito nawo je
Na wengine wanyama
Linalotukutanisha wote ni Kifo ambacho hakuna kuludi tena kuja kumkosoa mwingine kua anakosea
Utajipa KAZI kubwa kumkosoa wanacho amini wengine
Washawihi unacho kiamini wakiamini
 
Maria Mtakatifu, Utuombee Sisi, Sasa Na Saa Ya Kufa Kwetu
Amen
 
N Nadhani umekosa ufahamu juu elimu ya Anthropology (Juu binadamu) mambo kama Transcendental propert of man hujui hata kidogo. Ndio maana unauliza maswali ya kipuuzi kama haya: "Kwenye harusi ya Kana, ni sawa kabisa, Maria alikuwa karibu nao. Ndio maana nimeuliza: kwa sasa Maria yuko wapi? Hapo ulipo Maria yuko karibu na wewe?".

Hapa huwezi elewa chochote hata uelezwe

Yafichikayo machoni Imani huyaona. Waachie wenye Imani nayo wanajua wanachofanya. Wewe tekeleza kile unachopaswa kufanya maana madai ya kuishi kama mkristo ni mengi endelea kuomba Neema tu.
 
Bin Biblia unayotumia wewe ina vitabu vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…