Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Kwa jicho la kawaida unaona anashare maumivu na wewe, funguwa jicho la tatu uone wired funds zinazoingia kwenye account yake kutoka kwa mabeberu.
..kazi anafanya au hafanyi..hizo hela anapewa bure? Lkn ana utu hata km analipwa, si rahisi kuhatarisha uhai wako kwa kutetea ubinadamu, kazi ziko nyingi angeweza kufanya kazi nyingine na bado akalipwa!
 
4R hawakuweza kuzitumia
 
 
Halafu huyu Mzee kazikwa Dar badala ya kwao Tarime kwenye makaburi ya wazazi na ndugu zake, tukisema watu wawe wanakumbuka kwao wakiwa hai hayo ndio matatizo mtu na heshima zote unazikwa makaburi ya jumuia utadhani huna kwenu, watu wa Mara mbona hivyo? muwe mnakumbukwa makwenu Dar sio kwenu! Pia ni muhimu kuoa mke mnayetoka wilaya/mkoa mmoja.
 
Kwani ukizikwa kwenye makaburi ya umma kuna ubaya gani?

Akili gani hizo wewe?

Hapo una insinuate kwamba marehemu hajazikwa huko alikozaliwa/ alikotokea kwa sababu hakuwa na chochote!

Yote hayo wewe umeyajuaje?
 
Muongo anaokopa kuwa mbali nabwana wake hanahathari yoyote kwautawala huu nanianahabari nayeye aache uongo naujinga
 
Samia Leo alikua na mikutano ya kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM ulitakaje mkuu aache kuiongoza? Mbona viongozi wengi wa chama na serikali waliopo na wastaafu waneshiriki au ulitakaje? Maria anaposema sababu za Kiusalama amefanya nini kinachomfanya aogope mbona watu wapo na wanaendesha harakati zao?
 
Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.


Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.

Hatutakiwi kuheshimu wala kutii mamlaka gandamizi zinazodhulumu haki za msingi za binadamu. Tunatakiwa kupambana kuziondoa.

Mamlaka zinazoteka, kuua na kupoteza wanaomkosoa Rais au Serikali, ni mamlaka za kishetani. Na mwanadamu mwenye Roho wa Mungu kamwe asiziinamie mamlaka hizo hata kama zinatisha kwa kiwango gani.
 
Ana akaunti twitter anapost vitu vingi tu vingine hata maana havina. Nimemaliza
 
Kwani ukizikwa kwenye makaburi ya umma kuna ubaya gani?

Akili gani hizo wewe?

Hapo una insinuate kwamba marehemu hajazikwa huko alikozaliwa/ alikotokea kwa sababu hakuwa na chochote!

Yote hayo wewe umeyajuaje?
Roho mbaya, ukosefu wa hekima ni vitu vinavyomsumbua huyo muungwana.
 
Hoja yako ni nini?
 
Chadema mlishasema hamfi na hamziki ma CCM. Anatekeza msimamo wa chama.

Ukiwa na magonjwa ya akili, unasikia na kuona mambo ambayo wenye akili timamu hawaoni wala kusikia.

Hayo iyoyasema kuhusiana na CHADEMA, hakuna mwenye akili timamu aliwahi kuyasikia. Wenye akili timamu, wakati wote wameshuhudia CHADEMA wakishiriki misiba mbalimbali bila mipaka ya aina yoyote.

Pole sana kwa changamoto unazopitia.
 
Ana akaunti twitter anapost vitu vingi tu vingine hata maana havina. Nimemaliza
Hivi angepost huo msiba si ajabu pia mngemkosoa au kusema anajipendekeza maana wenyewe huko Twitter akina Maria wanaita spana!! Ndo Yale watani zangu wamakonde wanasema ukikaa nchale ukisimama nchale!!

Yote kwa yote hizo harakati anazofanya maria zinamsaidia nini Kama unashindwa hata kumzika babake wa Kumzaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…