Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Kwa jicho la kawaida unaona anashare maumivu na wewe, funguwa jicho la tatu uone wired funds zinazoingia kwenye account yake kutoka kwa mabeberu.
..kazi anafanya au hafanyi..hizo hela anapewa bure? Lkn ana utu hata km analipwa, si rahisi kuhatarisha uhai wako kwa kutetea ubinadamu, kazi ziko nyingi angeweza kufanya kazi nyingine na bado akalipwa!
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake

“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema

Yapi maoni yako

4R hawakuweza kuzitumia
 
Hatari sana.
 
Halafu huyu Mzee kazikwa Dar badala ya kwao Tarime kwenye makaburi ya wazazi na ndugu zake, tukisema watu wawe wanakumbuka kwao wakiwa hai hayo ndio matatizo mtu na heshima zote unazikwa makaburi ya jumuia utadhani huna kwenu, watu wa Mara mbona hivyo? muwe mnakumbukwa makwenu Dar sio kwenu! Pia ni muhimu kuoa mke mnayetoka wilaya/mkoa mmoja.
 
Kwani ukizikwa kwenye makaburi ya umma kuna ubaya gani?

Akili gani hizo wewe?

Hapo una insinuate kwamba marehemu hajazikwa huko alikozaliwa/ alikotokea kwa sababu hakuwa na chochote!

Yote hayo wewe umeyajuaje?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake

“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema

Yapi maoni yako

Muongo anaokopa kuwa mbali nabwana wake hanahathari yoyote kwautawala huu nanianahabari nayeye aache uongo naujinga
 
Liwe liwalo Sarungi hawezi kumkana mwanae kisa tu ishu za kupakazana.
Sarungi kama hujui aliishia kuwa masikini na Maria ndiye alikuwa anampa huduma zote.

Kisa cha Maria kutokuja Tanzania ni Samia na kwa hili Samia nimezidi kumuona hafai. Sarungi alikuwa mtumishi wa umma kwa miaka mingi. Unashindwa vipi kutambua kifo chake?

Sarungi hakuwahi kuhasi CCM kama kina Sumaye na Lowassa, mbona wao wanaheshimika licha ya kutaka CCM ianguke mwaka 2015? Samia kilichomkaa kooni ni chuki na kilichomshinda Maria kuja ni ishu za usalama!

Yule ameshaandaliwa mpaka mashtaka. Unataka aje ili ashikiliwe mahabusu bila dhamana kama walivyofanyiwa wengine?
Samia Leo alikua na mikutano ya kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM ulitakaje mkuu aache kuiongoza? Mbona viongozi wengi wa chama na serikali waliopo na wastaafu waneshiriki au ulitakaje? Maria anaposema sababu za Kiusalama amefanya nini kinachomfanya aogope mbona watu wapo na wanaendesha harakati zao?
 
Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.

Hatutakiwi kuheshimu wala kutii mamlaka gandamizi zinazodhulumu haki za msingi za binadamu. Tunatakiwa kupambana kuziondoa.

Mamlaka zinazoteka, kuua na kupoteza wanaomkosoa Rais au Serikali, ni mamlaka za kishetani. Na mwanadamu mwenye Roho wa Mungu kamwe asiziinamie mamlaka hizo hata kama zinatisha kwa kiwango gani.
 
Samia Leo alikua na mikutano ya kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM ulitakaje mkuu aache kuiongoza? Mbona viongozi wengi wa chama na serikali waliopo na wastaafu waneshiriki au ulitakaje? Maria anaposema sababu za Kiusalama amefanya nini kinachomfanya aogope mbona watu wapo na wanaendesha harakati zao?
Ana akaunti twitter anapost vitu vingi tu vingine hata maana havina. Nimemaliza
 
Ndugu mbona msibani wameongea bila kuficha kuwa Maria Sarungi hakuchangia hata mia msiba wa baba yake

Kwa kabila la Proffessor Sarungi haikubaliki
Ok sawa hakuja kwa nini hakuchangia mchango wa hela wa msiba na mazishi ya baba yake ? Msiba vikao vimekaa toka Afariki kukusanya michango yeye hajatoa hata mia

Asilete porojo na michango aliogopa kutoa?

Hajamtendea haki baba yake marehemu

Lema sio msemaji wa familia

Familia wanalalamika maria Sarungi hajatoa hata mia shughuli ya mazishi ya baba yake

Angekuja kufanya nini?

Nduguye mmoja akasema Maria Sarungi alipoambiwa aje Tanzania kumzika baba yake akajibu kwa jeuri kuwa wamtumie nauli nduguye akauliza sisi tutoe wapi pesa za wewe kuja? akasema kwenye michango ambayo Viongozi wa CCM na CCM na serikali na Jeshi alikokuwa waziri.ambao wamechangia msibani

Nduguye akakata simu kwa hasira
Hoja yako ni nini?
 
Chadema mlishasema hamfi na hamziki ma CCM. Anatekeza msimamo wa chama.

Ukiwa na magonjwa ya akili, unasikia na kuona mambo ambayo wenye akili timamu hawaoni wala kusikia.

Hayo iyoyasema kuhusiana na CHADEMA, hakuna mwenye akili timamu aliwahi kuyasikia. Wenye akili timamu, wakati wote wameshuhudia CHADEMA wakishiriki misiba mbalimbali bila mipaka ya aina yoyote.

Pole sana kwa changamoto unazopitia.
 
Ana akaunti twitter anapost vitu vingi tu vingine hata maana havina. Nimemaliza
Hivi angepost huo msiba si ajabu pia mngemkosoa au kusema anajipendekeza maana wenyewe huko Twitter akina Maria wanaita spana!! Ndo Yale watani zangu wamakonde wanasema ukikaa nchale ukisimama nchale!!

Yote kwa yote hizo harakati anazofanya maria zinamsaidia nini Kama unashindwa hata kumzika babake wa Kumzaa?
 
Back
Top Bottom