Mtapiga ramli sana tu.Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.
Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.
Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Unaposema “ mpaka sasa kesi ilipofika ni ngumu sana kutokutwa na hatia” una maanisha hatia ya kosa la uhaini ambalo ameshitakiwa nalo?Mpaka pale kesi ilipo fika ni ngumu sana kuto kutwa na hatia
Ila kwa kua kesi za uhaini si ya kwanza hii na kwa vile hakuna aliye wahi kunyongwa wala kukaa jela maisha basi hata huyu atatoka mapema sana.
Kabisa, kabisamuhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Kitu cha msingi ni connection hata ukiwa unaishi Marekani ukiwa na connection unaweza kumzidi aliye dar.Hawa wanaharakati feki kama huyu shangazi huwa wanakurupuka kurupuka hovyo
Hayupo hata Bongo haya kajuaje? Kunguru muoga huyo lissu akitoka aanze na hawa wanaharakati wa online fukuzia mbali
Katuga alitoa nondo gani pale? Bichwa cabbage, sijui alifaulu vipi LS. ni debe tupu kichwani yule baba, khaaahKwa zile nondo za katuga, aiseee sioni lissu pakuponea, shingo ya lissu ni halali ya kamba!!
Haujui kwamba kuna watu wapo mabara ya mbali wanapata taarifa za ndani za yanayoendelea serikalini kabla ya wewe uliyepo nchini mkuu?Hawa wanaharakati feki kama huyu shangazi huwa wanakurupuka kurupuka hovyo
Hayupo hata Bongo haya kajuaje? Kunguru muoga huyo lissu akitoka aanze na hawa wanaharakati wa online fukuzia mbali
Katuga huyo anayetaka adhabu itolewe kwa mujibu wa sheria ya zamani badala ya sheria iliyopo?Kamuulize Katuga.
Wakili wa serikali Katuga: Kwamba shall be liable naomba hayo maneno yawe ni bold kwasababu mwanzo mwisho upande wa utetezi adhabu ya shauri hili ni kunyongwa tu.
Katuga: Matumizi ya neno shall be liable ni msimamo wa sheria kwamba adhabu katika shitaka hili ni kuanzia 0 up to death penalty. The maximum penalty in death by hanging.
Katuga: Mahakama yenu ina decretion yake ya kuamua aina ya adhabu.
Mkata viuno CCM HAINA rafiki kesho unaweza kusulubiwa wewe aha kushadadia ujinga siasa na viposho unavyopewa Sasa visikulevye mkata viuno CCM ni Kama joka kina ng'ata yeyote.muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Tunajua kosa la uhaini ni kunyongwa hii ndiyo hukumu iliyo ainishwa ktk makosa ya jinai kifungu cha 39. Hakuna kujibalaguza kuwa kuna kiungo cha miezi,miaka wala maisha.muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Hapa ndipo dunia itashangaa na kutuongezea nguvu ya mapambano dhidi ya udhalimuMimi ni mwanasheria pori. Uhaini haina hukumi za options kama ulivyoeleza. Mtuhumiwa akipatikana na hatia hukumu ni moja tu nayo ni Kunyongwa Hadi kufa.
Haiwezekani apatikane na hatia halafu hukumu iwe ya uchochezi, kwani shitaka lilikuwa ni la uchochezi?