Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Lilaza macho utafikri limewekewamo!
 
TATIZO LAKO NI UANITHI WA AKILI ..Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
 
Wewe acha kufunga watu kamba, mama yake ni mzungu wa wapi wa Pemba..!!!!
 
Mama wa Maria ni raia wa Hungary kwahiyo Maria sio mtanzania? Mtoto hujitambulisha kupitia upande wa baba au mama? Kama Ndejembi ni Mzanzibari inawasaidiaje CHADEMA kutoka kwenye mkwamo mkubwa walio nao? Kwanini CHADEMA wasiiache CCM izidi kukosea ili wao wachukue nafasi yao badala ya kushinikiza CCM ifanye maamuzi sahihi ya kukijenga zaidi?
 
Inashangaza sana mkuu ,binafsi nikiona mtu anashadadia haya kwanza namvua vyeo kabisa .
These shows them how most of them are brainwashed🙌
Kuna mjomba wa kikurya, yeye hapa mtaani kazi yake kubwa ni kuchambua wanasiasa na kupiga ramli chonganishi, na ukimuuliza maswali hana majibu wala hawezi kujieleza. Ni wale walio kama nyumbu wa Dada Mange kasema. Na bado utakuta na yeye anajikuta ni mtu smart kuliko waliopo CCM wakati bichwa lake linasubiri Maria au Mange aseme kitu na lenyewe lije ku share ujinga na wanakijiji wenzake.
 
hilo la UISLAM sidhani maana watoto wake walisimamiwa Ubatizo na Antony Mavunde pale kanisani RC Dodoma,na tangu wakiwa wadogo yeye na Mavunde walikuwa wakitumikia Misa Kanisani,sasa kama amebadili Dini ukubwani sina uhakika
Siku na wewe ukipata cheo kikubwa au umaarufu usishangae kuzushiwa jambo lolote lile zuri au baya.
Si ajabu ukaambiwa umebadili jinsia
Wanadamu wengi ni ******* sana, nafsi hazitulii bila kuzusha jambo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…