4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu nimecheka kijinga sana , Mungu anakuona sina mbavuHuu mchezo hauhitaji hasira, kanywe maji ya kilimanjaro lita 1, nitalipia.
Hivi ni kweli Iran walikuwa wanadunguliwa lakini wameshindwa kudungua hata ndege moja ?
Iran ina wasomi wanawake kushinda Nchi yoyote hapo Middle EastIran iache kunyanyasa na kuua wanawake wasiovaa hijabu, Hao mabinti walienda kulipiza kisasi
Bila shaka umefurahi sana Moyoni mwako. Hongera kwa hatua hiyo kubwawiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.
IRAN IMETHIBITISHA:
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, Hakuna ndege yoyote ya Israel iliguswa, Iran walijaribu lakini hawakuweza
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wanne wa Iran.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.
Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Hii kitu imeshangaza sana ,wayahudi wapo na jeuri sana ,wametuma wanawake kwanza vipi wale wa siku zote wangeenda ingekuaje , ukweli usemwe isla inatisha wakuuIran wamepewa funzo kwamba wanawake wanaweza waache kunyanyasa na kuua wanawake wasiovaa hijabu
Na inasemekana Wata import kutokana Tanzania.Inasemekana Iran hawatakuwa na uwezo wa kutengeneza makombora ya masafa marefu labda waimport kutoka nje.
Tandale ni bora kuliko taifa teule fake 😄Adiosamigo Ukiwa Tandale kwa Mtogole na mwenzio Ritz manzese kwa mfuga mbwa.
Ndege 100 wapi ni 25 tena za US zimerukia pale pale Iraq ni F16 hakuna cha ndege ya Israel ilio shiriki hata moja. Kama vile walipo piga Yemen ni ndege za US.A na UK wakasema za Israel.Ndege zilizotangazwa kuwa hewani zilikiwa 100!
Kuhusu madhila wala hatukutaka story si tukitaka clip za vyuma vikishuka angani kama ilivyokawa October 1 pale Israel
Ufake wa kitu unategemeana na mwonaji. But pia uteule unategemeana na nani anaamini nini. Mi naenjoy tu kichapo kinachotolewa. Hawa jamaa wametandaza kichapo sana kwa Hamas na HezbollahTandale ni bora kuliko taifa teule fake 😄
Wambie wakueleze Israel kuna vilema wangapi wacha walio kufa, afu kaulize vifaru kabla yavita walikuwa navyo vingapi na sasa vingapi.Ufake wa kitu unategemeana na mwonaji. But pia uteule unategemeana na nani anaamini nini. Mi naenjoy tu kichapo kinachotolewa. Hawa jamaa wametandaza kichapo sana kwa Hamas na Hezbollah
Uwe unable wa Biblia sio unadakia tu unayofundishwa na walokole. Taifa la Israel la kiblilia bado halipo Duniani.Waislamu walipigwa chenga kuhusu Mungu. Tunaposema Israeli ni Taifa la Mungu hawaelewi kabisa. Ni hivi, Biblia ndilo Neno la Mungu na limejaa habari za Israel. Israel ndilo Taifa lililoundwa na Mungu mwenyewe na lengo ni ili aweze kufikia mataifa yote. Mungu mwenyewe ndiye aliwatawanya kwa kumkosea Mungu. Lakini ni Mungu huyohuyo amesema atawarejesha. Tena akasema akishawarejesha hakuna mtu ataweza kuwaondoa pale. Kwa hiyo Wapalestina na Waislamu wenye chuki na Israel mnajichosha tu maana hata mkijiunga wote hamtaweza kumpiga Muisraeli. Mnapomlaani Muisraeli mnajilaani wenyewe. Iran itaendelea kupoteza na hata itakapojiunga na wengine haitaweza!
Hawa ni wenyewe wanakiri, wewe nani?? Tumia akili punguza mahaba.Hivi ulitegemea wakiri kuwa walipigwa? Unajua jinsi gani brand ya kampuni yoyote ikichafuka??Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Mimi naona Israel imewadharau sana Iran. Au wewe unaonaje?Kwani mwanamke siyo binaadamu kamili mwenye akili timamu? Mawazo yako ni finyu yenye kudhalilisha wanawake!!
Kwani rubani anatumia mabavu kusoma ramani na kubonyeza vitufe vya mapigo?
Kazi yake ni kuongoza ndege vita kwa ramani husika na kubonyeza vitufe vya mapigo anapokuwa yuko kwenye eneo sahihi kwa kuongozwa na mitambo iliyomo kwenye ndege vita anayoiongoza kutokana na mafunzo aliyopata na kufaulu kwa viwango vinavyotakiwa; ndiyo maana wakakabidhiwa jukumu hilo.
Siku nyingine ukiona kiongozi wa nchi anatoa hizi kauli jua hali ilikuwa tete.Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia
Muwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.Mbona umeongea vitu ambavyo havikuandikwa kwenye link ya Aljazeera? Mfano mdogo tu hicho kipande hapo chini. Wewe umesema rada zimeteketezwa.
“Thanks to the timely performance of the country’s air defences, the attacks caused limited damage and a few radar systems were damaged,” the armed forces general staff said.“
Baada ya kufeli mnatafuta pa kuficha aibu
WtfMuwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.
Ukishindwa kutungua ndege vita kwenye anga lako ujue utapigwa tu na mabomu yake. Ndo maana wameweza kupiga maeneo hayo yote.
Hapo huyo Genaral hawezi sema ukweli, ila ni wazi Iran imepata hasara kubwa kijeshi, sidhan kama hata atathubutu kulipa kisasi. Maana inaonekana anga lake halina ulinzi mzito.
Cc T14 Armata