Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Iran iache kunyanyasa na kuua wanawake wasiovaa hijabu, Hao mabinti walienda kulipiza kisasi
Iran ina wasomi wanawake kushinda Nchi yoyote hapo Middle East

Baadhi ya Fact hizi hapa

1. Mwanamke wa kwanza Duniani kushinda Nobel prize ya Mathematics ni Muiran

2. Asilimia 70 ya wanaograduate Stem studies Iran ni wanawake

3. Gunduzi nyingi za dunia ya sasa kuanzia kwenye Ukimwi na field mbalimbali zinatokana na hao wanawake wa Kiiran.

But hey "mazombie wa media" hamuwezi jua haya sababu mnachojua nyie ni ku subiri Hasbara kundi la propaganda la Israel lipost kitu mnakimbilia kucopy na ku paste.
 
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.

Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.

IRAN IMETHIBITISHA:
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, Hakuna ndege yoyote ya Israel iliguswa, Iran walijaribu lakini hawakuweza

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wanne wa Iran.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Bila shaka umefurahi sana Moyoni mwako. Hongera kwa hatua hiyo kubwa
 
Waislamu walipigwa chenga kuhusu Mungu. Tunaposema Israeli ni Taifa la Mungu hawaelewi kabisa. Ni hivi, Biblia ndilo Neno la Mungu na limejaa habari za Israel. Israel ndilo Taifa lililoundwa na Mungu mwenyewe na lengo ni ili aweze kufikia mataifa yote. Mungu mwenyewe ndiye aliwatawanya kwa kumkosea Mungu. Lakini ni Mungu huyohuyo amesema atawarejesha. Tena akasema akishawarejesha hakuna mtu ataweza kuwaondoa pale. Kwa hiyo Wapalestina na Waislamu wenye chuki na Israel mnajichosha tu maana hata mkijiunga wote hamtaweza kumpiga Muisraeli. Mnapomlaani Muisraeli mnajilaani wenyewe. Iran itaendelea kupoteza na hata itakapojiunga na wengine haitaweza!
 
Kuna watu wana uwezo mdogo wa kuona, kusoma, kuelewa na kuchambua mambo.

Kubishana na watu wa aina hiyo ni hatari zaidi.
 
Ndege zilizotangazwa kuwa hewani zilikiwa 100!

Kuhusu madhila wala hatukutaka story si tukitaka clip za vyuma vikishuka angani kama ilivyokawa October 1 pale Israel
Ndege 100 wapi ni 25 tena za US zimerukia pale pale Iraq ni F16 hakuna cha ndege ya Israel ilio shiriki hata moja. Kama vile walipo piga Yemen ni ndege za US.A na UK wakasema za Israel.
 
Astaghafurah! Mwanajeshi wa kiislamu kuawa na mwanamke amekosa wale virgin 72 hakika.
 
Tandale ni bora kuliko taifa teule fake 😄
Ufake wa kitu unategemeana na mwonaji. But pia uteule unategemeana na nani anaamini nini. Mi naenjoy tu kichapo kinachotolewa. Hawa jamaa wametandaza kichapo sana kwa Hamas na Hezbollah
 
Ufake wa kitu unategemeana na mwonaji. But pia uteule unategemeana na nani anaamini nini. Mi naenjoy tu kichapo kinachotolewa. Hawa jamaa wametandaza kichapo sana kwa Hamas na Hezbollah
Wambie wakueleze Israel kuna vilema wangapi wacha walio kufa, afu kaulize vifaru kabla yavita walikuwa navyo vingapi na sasa vingapi.

Hizi habari za dunia unazo soma lazima ziwe za Israel, UK, France, Germany na US ndio zitakubaliana na wewe tena ni 40%
 
Waislamu walipigwa chenga kuhusu Mungu. Tunaposema Israeli ni Taifa la Mungu hawaelewi kabisa. Ni hivi, Biblia ndilo Neno la Mungu na limejaa habari za Israel. Israel ndilo Taifa lililoundwa na Mungu mwenyewe na lengo ni ili aweze kufikia mataifa yote. Mungu mwenyewe ndiye aliwatawanya kwa kumkosea Mungu. Lakini ni Mungu huyohuyo amesema atawarejesha. Tena akasema akishawarejesha hakuna mtu ataweza kuwaondoa pale. Kwa hiyo Wapalestina na Waislamu wenye chuki na Israel mnajichosha tu maana hata mkijiunga wote hamtaweza kumpiga Muisraeli. Mnapomlaani Muisraeli mnajilaani wenyewe. Iran itaendelea kupoteza na hata itakapojiunga na wengine haitaweza!
Uwe unable wa Biblia sio unadakia tu unayofundishwa na walokole. Taifa la Israel la kiblilia bado halipo Duniani.
 
Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Hawa ni wenyewe wanakiri, wewe nani?? Tumia akili punguza mahaba.Hivi ulitegemea wakiri kuwa walipigwa? Unajua jinsi gani brand ya kampuni yoyote ikichafuka??

Iranian attack caused damage to Israel Air Force bases, IDF says​

Kwani mwanamke siyo binaadamu kamili mwenye akili timamu? Mawazo yako ni finyu yenye kudhalilisha wanawake!!
Kwani rubani anatumia mabavu kusoma ramani na kubonyeza vitufe vya mapigo?
Kazi yake ni kuongoza ndege vita kwa ramani husika na kubonyeza vitufe vya mapigo anapokuwa yuko kwenye eneo sahihi kwa kuongozwa na mitambo iliyomo kwenye ndege vita anayoiongoza kutokana na mafunzo aliyopata na kufaulu kwa viwango vinavyotakiwa; ndiyo maana wakakabidhiwa jukumu hilo.
Mimi naona Israel imewadharau sana Iran. Au wewe unaonaje?

Kutuma watoto wa kike?

Au tumuulize Ayatola, kwenye jeshi lake la sijui Islamic Guard kuna wanawake wangapi?

Hivi kwanza huko uarabuni wanawake wanaruhusiwa kuwa wanajeshi?

Maana hizi dini zetu zinawapuuza wanawake, nashangaa wanawake nao wanazishobokea.
 
Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia
Siku nyingine ukiona kiongozi wa nchi anatoa hizi kauli jua hali ilikuwa tete.

Israel vows to retaliate after Iran fires nearly 200 missiles in 'extensive' attack​

Israel's Netanyahu vows to retaliate for Iranian missile attack​

Netanyahu vows to make Tehran 'pay' for missile attack: 'Whoever attacks us, we attack them'​

Mbona umeongea vitu ambavyo havikuandikwa kwenye link ya Aljazeera? Mfano mdogo tu hicho kipande hapo chini. Wewe umesema rada zimeteketezwa.

“Thanks to the timely performance of the country’s air defences, the attacks caused limited damage and a few radar systems were damaged,” the armed forces general staff said.“
Muwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.

Ukishindwa kutungua ndege vita kwenye anga lako ujue utapigwa tu na mabomu yake. Ndo maana wameweza kupiga maeneo hayo yote.

Hapo huyo Genaral hawezi sema ukweli, ila ni wazi Iran imepata hasara kubwa kijeshi, sidhan kama hata atathubutu kulipa kisasi. Maana inaonekana anga lake halina ulinzi mzito.

Cc T14 Armata
 
Wtf
 
Back
Top Bottom