Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
Anaflect mtazamo na akili za aliyemchagua!!, Huwezi ukapanda bangi utegemee kuvuna samaki!. Nchi inaongozwa na Malaya kabisa!.
 
Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
Kwa sasa makada wengi wa CCM hasa wanawake wenye vyeo vya juu ktk chama wako kama huyu Chatanda. Katibu wa itiladi na uenezi aliyepita mikutano mingi ilikuwa ikitawaliwa na kejeli kwa wanaume na mambo ya ngono kama haya. Na bado tulisikia comments za Mongella kwenye sakata la DPW. Pengine ndiyo sera ya chama kwenye uongozi huu tusiwalaum.
 

You wonder why hatuendelei , this type of pathetic leaders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…