Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

Pumbavu kabisa hili, ni jitu la kupuuzwa. Wanamharibia sana mama Samia kuonekana wanawake hawawezi.
 
huwezi kushangaa kuambiwa Tanzania ni masikini na inaombaomba misaada kila kukicha, mpaka leo bado unaambiwa kuna upungufu wa madarasa na madawati... vitu hivi ndio vinatoa majibu haya
 
 

Attachments

  • 5BD35D5D-FDB6-418C-A0A3-DED9C3AA9443.jpeg
    39.8 KB · Views: 2
  • IMG_3435.MP4
    2.5 MB
Astaghfirullah, hakuna rangi hatutaona mpaka huyu bi mkubwa akwee kiti mara ya pili .
 
Kauli ya muuza k utaijua tu.
 
Hapa ndio inabidi tujiulize hawa watu wanatudharau kiasi gani hadi kutuwekea watu kama hawa kuwa viongozi wajuu kitaifa.

CCM must go, how (binafsi sijui), lakini lazima wapatikane watu wenye agenda ya kuelewa wanataka kuifikisha wapi nchi na mbinu ya kukitoa hiki chama cha hovyo madarakani.
 
Huyu mama namkubali sana

Inaelekea anapenda sana mambo ya

Mizagamuana

Ova
 

Damu za watu wa Arusha zinamlilia asijifiche kwenye uwenyekiti wa UWT.
 

Chama pendwa ndio kipi?. Hiki kinachosaidiwa na Jecha kushinda uchaguzi.
 
Hiyo ndiyo staili aliyoitumia kufika hapo alipo,lazima awape maujuzi akina mama na mashangazi ya Ccm. KIDUMU CHAMA CHA MAMA SA100 na Ndugu Makonda

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Kuongozwa na mtu kama huyo tutegemee nini zaidi?

Kwa kauli zake anaonesha hana maadili, kabisa tena.

Pambaf.
Kumbe! ndio CCM walivyo mwingine amesema anaipenda CCM kuliko watoto wake.
 
Ccm must go waende wapi [emoji1]

Ccm there are here to stay

Kuna uzi naona umesupport msaidizi wa lisu kushambuliwa

Acha tu ccm waendeleee kutawala maana nyie si mnawataka

Ova
 
Ccm must go waende wapi [emoji1]

Ccm there are here to stay

Kuna uzi naona umesupport msaidizi wa lisu kushambuliwa

Acha tu ccm waendeleee kutawala maana nyie si mnawataka

Ova
Ukisoma vizuri post yangu nimesema pia watu wenye kujua wanataka kuipeleka wapi nchi wajipange.

Lissu sio mtu mwenye kujua anataka kuipeleka wapi Tanzania, wala CDM.

Ndio maana kuna sehemu nimeandika hata sijui tunawatoa vipi hawa vibaka.

CCM ni hovyo, ila CDM ni hovyo hovyo kweli kweli; yaani mimi mtu yeyote anaeshabikia CDM katika watu wa hovyo sijui namuweka wapi.

Lipo wazi wazi Mbowe ni compromised na tapeli tu, pamoja na uozo wa CCM upinzani uliopo sio suluhisho kabisa.

Wanahitajika watu wengine sijui majina yao, ila Tanzania inao wakuwatoa CCM, lakini sio CDM (dah) hiko chama wafuasi wake lazima ni very desperate people.

Ni wazi CDM ni genge la warubuni, kwa kuanzia mwenyekiti wao Mbowe; ni watu wanaotumia shida za watanzania kwa mapungufu ya uongozi wa CCM kujinufaisha wao.
 
Kiongozi ni kioo ktika jamii, sasa huy ni kioo kilichopasuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…