DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hongera kwa busara
 
Hiyo clip ya pili huyo manager hakukumbuka kama kuna camera? ni mzembe, hapo namuhurumia tu huyo Dada Mfanyakazi sasa masikini ya Mungu anaanikwa kwenye ugomvi usiomuhusu.
Ndio raha ya kushirikiana na wachawi! Ni sawa na kuwa na bwana muuza madawa au mhalifu halafu udhani wewe au familia mnayoitengeneza itakuwa salama, ndoto.

Ulikuwa unaulizia dada amemsaidiaje kaka yake, umeona kingumi alichomrushia huyo Mr. bastola? 😀 She's so sweet nimempenda, yuko loyal sana.
 
Angalia vizuri, kilichomtoa damu ni kupigwa na bastola.
 
Jamani, tupate hata muda kidogo wa physical fitness, hata vingumi viwili vitatu basi...nmesikitika sana kuona mwanaume mwenzangu tena kijana akigaragara kama mtoto, jamaa huyo anayedaiwa ni usalama Yuko soft Sanaa Hana chochote zaidi ya kuringia chuma...kipindi Fulani nilishawahi kumfundisha mtu mmoja adabu eti naye ana vinasaba vya huko.

NB: Wahuni chungeni sana mienendo yenu, siku utaangukia Kwa wrong guy, choose wisely usije ukajuta.
 
Ukweli ni kwamba mwenye shati la maumaua kwa pigwa shaba. Rip in advance

Ugomvi wa kugombania mademu ni wakizamani sana.
Watu wanaopata vijisenti ukubwani Huwa Wana shida sana . Malimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…