Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

Uzushi tu
Basi km ni uzushi kweli!! wataishi kwa amani sana! make couple wengi wanao zushiwaga daaaa! .......utawaonea wivu yaani ni km wanawaimarisha flani hivi!...amani, furaha, mafanikio km yote!
 
Yule Mgogo MC Pili pili ndio alimt.........ombiooooeeeeaaaa. duh dunia wanja wa fujo
weye semaga ukweli wako bana yule nae si mchungaji yule?? alijaribiwaje kondoo wa Mungu?? unajuaje labda alitubu??
 
ZAMA ZIMEBADIRIKA MMMNO, KWENYE NDOA HIZI HAKUNA ASIYE TOKA.

KUNA MAMA KANISA MMOJA, TUNAFANYA MATUSI NAYE WEEEE. NA MIKONO ANAWEKEA WAUMINI.
mu-mbili wa wa-mbili! hii nato kali
 
HV masanja akisupaza shingo yake wambee mtaweka wapi sura zenu mnk kila. Anayechangia au Kutoa Uzi wanatamani le mkandamizaji ampige chini kitu ambacho sioni ikitokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa kamu assassinate kitaalamu kwa kutumia nguvu za asili za mababu/ulimwengu huu yaani unamuondoa ili ubaki na mke kwa amani wengi hamjawaza hilo
Hizo nguvu za asili zisingempata kama angekuwa ajalamba asali
 
Hata usiposamehe mgoni si ashajileftisha maumivu hayapo tena
 
Hakuna mtu anaweza akasema kwa uhakika kabisa kwamba hachapiwi...Ila kukoseana adabu ni pale unapochapiwa halafu ukajua...huyo marehemu kaacha tafrani kubwa kama alichoandika ni kweli.

Kuna marehemu tena?
 
lkn msi mzushie mutu ya Mungu!! km ni uzushi mleta mada utakatika paaa!! bhatu zooote bhatashangaa!
 
Kuna post moja ya siku za nyuma kule Insta Masanja aliupost msambwanda wa mke wake alafu akaandika,"mke mwema hutoka kwa bwana",sasa ndo nimejua huyo bwana kumbe ni katibu wa kanisa,,,!
Picha iko wapi
 
Ndio busara iliyobaki, maisha ya ndoa sio mchezo na hayahitaji hasira vinginevyo kila siku utaacha au kuachwa na kuoa au kuolewa.Maamuzi sahihi Mch. Masanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…