Mwacheni mama asafiri akatuletee mahela ya bure bure kutoka kwa wazungu. Sisi tunapenda vya bure.Wakati Magufuli hasafiri mlikuwa mnasema hoo hasafiri kajifungia tu, ni mshamba nk
Hangaya anasafiri bado mnaalaumu.
Kwanza hakustaili azungumze mbele ya umati. Ni utovu wa maadiliKauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Kwanini Dr Musukuma apuuzwe wakati amenunua Phd yake binafsi kwa fedha zake.Mtu asiye na elimu ni wakupuuza kama Dr Musukuma.
Do you pay for any speech??Tanzania kuna free speech au hakuna free speech?
Ungesema Tanzania kuna freedom of speech?Tanzania kuna free speech au hakuna free speech?
ukiwa na mijitu 10 kama hiii, nchi haisogei. (opportunist)Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Hujui maana ya free speech I dont have time for you.Do you pay for any speech??
Eti akaongezea kusema Wajane nao watatinga kombe la dunia!! huyu mchungaji ni wa hovyo sana!Kijana hana adabu kabisa
Na ndio maana MC aliwatoa yeye na mwenzie aka nyerere alipogundua kuwa wameanzakudemka!!Hii haikuwa sawa, sio majibu sahihi lakini pia ni aibu kubwa kutumika kwenye jukwaa lile. We must have limitations with these fuckin dudez.
Hiyo ndiyo hazina ya CCM.
Mwakani atapewa ukuu wa wilaya kama kawaida
Freedom of speech?Hujui maana ya free speech I dont have time for you.
Anahela kuliko mamakoš¤£Huyo ni chawa tuu kama machawa wengine tena huyo ni chawa pro max kwahiyo hatuumizi kichwa
Hamnaaaa baaanaaa tatizo ilikuwa 'KIINGELETHA' Baas na ni bora aliamua kutosafiri angetuaibisha SanaNi wapi alisema hasafiri sababu hajui kingereza?
Na kama ni hivyo mbona wakati hasafiri mlilaumu na huyu anasafiri bado mnalaumu?
Bqvicha mna shida sana vichwani mwenu
Hawezi kuwa Mchungaji huyu. Ni msaka tonge fulani mjanja mjanja wa mjiniMasanja ni mchungaji kama Msigwa!
Hapana Aisee, Na sisi Wa-Tanzania tuna maneno sana, na hatujui tunataka nini. JPM alikuwa hasafiri, watu wakamsema sana, na kudai nchi haiwezi kwenda mbele bila ya JPM kusafiri. Wengine wakasema zaidi, kuwa jamaa lugha haipandi, ndio maana hasafiri. Sasa Mama anasafiri, tena amekwenda kuhutubia mpaka Baraza la Umoja wa Mataifa, watu tena wanasema. Sasa tunataka Rais gani? Akisafiri, maneno, asiposafiri, nayo maneno pia. Nadhani Tanzania kuna watu wakowako tu...wanatafuta cha kuongea, na sio uhalisia wa Mambo.Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.
Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?
Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.