Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Kwani mwamba was urusi maxmelo ajamuomba ajiunge huku tumuombe atusaidie ipiga bomu kabda haijapaa tupate hasara wote
 
Itakuwa ni upigaji tu wa wanyamapori.mizigo gani mikubwa ije Tanzania kwa ndege.
 
Mzanzibar anauza wanyama wetu Kwa udi na uvumba Kwa waarabu
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa.
 
EEEeeenHeeeee!

Wewe bado umeganda tu kwa hayo ya wanyama, na kusahau makubwa zaidi?

Mnapoweka kiongozi asiyekuwa na uchungu wowote na nchi anayoiongoza na hali ya maisha ya wananchi wake, unategemea ni kitu gani kitatokea?

Vuta subira kidogo, utayaona mengi yakifunuliwa muda siyo mrefu kabla ya 2025.

Yatapakwa sukari juu juu, na watu wataramba kwa furaha bila ya kujua wanauzwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…