Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini alisema yanaona vizuriTuna Rais legelege kama macho yake yani, tushauzwa
Tumeisha,, huyu maza hana huruma kabisaLakini alisema yanaona vizuri
State Capture.
Zamani vyuo vikuu viliweza kusimamia nchi ikae kwenye msitari. Hili siku hizi halipo.Ndo imeisha hivo
Imeisha hiyoZamani vyuo vikuu viliweza kusimamia nchi ikae kwenye msitari. Hili siku hizi halipo.
Itakuwa ni upigaji tu wa wanyamapori.mizigo gani mikubwa ije Tanzania kwa ndege.Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!
Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225
Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi!
Lakini kwakuwa ni la mizigo basi linauwezo wa kubeba kilo laki moja na elfu hamsini na sita (156,000kg)
Gharama ya kuendesha ndege hii inazidi mara kumi na tano (~18) ya gharama za kuendesha ndege ile kubwa kabisa ya Air Tanzania ambayo inakwenda China!
Swali na wasiwasi wangu je hiyo ndege kubwa namna ile inawezaje kuja kutua KIA kwa kubeba vi nguo vya watalii?
Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!
Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!
Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!
Ukiunganisha na dot za mwamba aliyekuwa anasherekea bezidei mbugani juzikati mashaka yanazidi.
----
UFAFANUZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UWANJA WA KIA
PoleeDuuh mepitwaa
EEEeeenHeeeee!Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.
Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu ananambie ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni ilikualiana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenye huko.
Na mwezi hii limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai.
Haijilikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094