Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Nilitembelea zoo moja nilipokuwa masomoni huko kwa mabeberu nikakutana na simba na twiga......kwa hiyo siwezi shangaa kinachoendelea huko kwa kuhusisha madege mazito mazito kama hayo. Yaani viongozi wanatumika kuua utalii nchini kwa maslahi yao binafsi, hii haina tofauti na uhujumu uchumi.
 
Waarabu sijui huwa na agenda gani nasikia walianzishaga mbuga huko uarabuni ili watalii wasifike huku, shughuli zote ziishie bara Arab,
SIFIKIRI KAMA TAIFA LETU MAKINI LINAWEZA KUFANYA UJINGA HUO.
Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
 
Mkuu tunaathirika vibaya mnoo. Sababu ni kuwa hizo hela haziendi kununua dawa wala kuboresha elimu, bali zinaenda tumboni kwenu huku mkiwaacha wananchi wanazidi kuumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…